Waziri wa katiba na sheria asema uongo

review

New Member
Nov 19, 2012
4
0
Mhe ANGELLA Kairuki ( naibu waziri katiba na sheria) wiki iliyopita aliwadanganya watanzania ktk ishu ya Mahakimu Wakazi wanaolipwa bure bila kufanya kazi yoyote kwa kusema kuwa " MAHAKIMU HAO WAKO KATIKA MAFUNZO YA KUANDIKA HUKUMU" Tanzania Daima la tarehe 29/11/2012

HIVI KWELI WATU WENYE DEGREE ZA SHERIA MIAKA 4 plus Mafunzo law School mwaka Mzima wanahitaji kufundishwa namna ya kuandika hukumu kweli? hii ni dharau kubwa kwa mahakimu hao pamoja na Vyuo walivyosoma, NA ITABIDI TCU ICHUNGUZE UHALALI WA VYETI VYAO AU Mhe ANGELLA Kairuki apimwe (akili??) kwa sababu haiwezekani hata kama mahakimu hao wangekuwa viraza kiasi gani wafundishwe kuandika hukumu kwa miezi sita sasa na hatujui hayo mafunzo yanaenda hadi lini ( INGAWA UKWELI NI KUWA HAKUNA KITU KAMA MAFUNZO YA KUNDIKA HUKUMU KINACHOENDELEA KWA MAHAKIMU HAO POPOTE NCHINI)

WADAU HII ISSUE NAKOMAA NAYO KWAKUWA WIKI ILOPITA KESI YANGU IMEPIGWA TAREHE HADI MWEZI WA 3 2013 KATKA MAHAKAMA FULANI KISA MAHAKAMA HIYO YA WILAYA INA HAKIMU MMOJA...NA PALE NJE WAPO HAO MAHAKIMU WAKAZI WASIO NA KAZI, NIMEONGEA NA NAO WENGI WANATAMANI KUMUONA ANGELLA (AWAAMBIE KWANINI ANAWADHARAU KIASI HICHO WAKATI WANAJUA MADUDU YAKE WHEN SHE WAS A STATE ATTORNEY MWAKA JUZI TUUU.

Mhe Angella kwa nchi zinazojiheshimu viongozi wa umma huwa hawasemi uongo!!! kama ukuwa na uhakika na sula hili angemuuliza jaji kiongozi

NYIE ENDELEENI KUCHEZEA PESA TUU WAKATI KESI ZETU ZINAPIGWA MA TAREHE MAREFU HUKU VIJANA HAMTAKI KUFANYA KAZI SIKU TUKICHACHAMAA MTAKIMBIA
 
Tumaini Makene

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
2,639
2,000
Aisee. Yule mama...aliyewahi kukubali hoja ya Lissu bungeni kwa kusema ndiyoooooooo, kwa maana ya kuunga mkono marekebisho ya kifungu cha sheria yaliyoletwa na Lissu, lakini akabadili ghafla na kusema siyoooooo.

Ilikuwa ni issue very very serious nakumbuka. Lissu alikuwa amewasilisha kwenye mchango wake na katika wakati wa bunge kama kamati, akipinga kifungu kilichokuwa kinataka wakuu wa wilaya na mikoa, wanasiasa tena makada wa CCM, wengi wao wasiokuwa na uwezo achilia mbali uaminifu na uadilifu, kuwa wenyeviti wa kamati za maadili za mahakimu. Ni ile siku ambayo Waziri Mkuu aliitikia hoja kwa kuunga marekebisho ya Lissu kwa kusema ndiyooooooo, mara mbili. Spika akapotezea mara zote.

Angela alionesha weakness kubwa kama mwanasheria kwa sababu tu ya partisan politics, akahusika katika kuliingiza taifa kwenye aibu ambayo ilikuwa inadhalilisha taaluma anayopaswa kuipigania kwa ajili ufanisi katika utoaji haki na uwajibikaji.

Suala hilo la kuwafanya wanasiasa hao kuwa wenyeviti wa kamati za maadili za mahakimu, lilikuja baadae, somewhere mwaka jana nafikiri au mwaka huu, kulalamikiwa na CJ Chande.

So akina Angela ndiyo uhalisia wa magamba. Si tu ni makosa, bali ni ujuha kusubiri meli airport na kinyume chake, yaani kusubiri ndege kutia nanga bandarini.
 
namtumbo

Member
Aug 30, 2011
78
150

Tumaini mbona unatutoa nje ya mjadala.......Review ameleta hoja hapa ambayo ni very serious na yenye kuhitaji mchango serious.....wewe umeruka from the issue sasa unazungumzia mtu. Hoja hapa sio Angellah na chama chake cha Magamba, hoja ni mahakimu walioajiriwa kuendelea kusota kwenye mafunzo wakati kuna shortage ya mahakimu wilayani kiasi cha kuchelewesha kesi nyingi. Kwani sote tunafahamu "justice delayed, justice denied". Turudi kwenye mada na sio ku policitize na personalize mambo.
 
salaama

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
251
250
Mhe ANGELLA ( naibu waziri katiba na sheria)Kairuki wiki iliyopita aliwadanganya watanzania ktk isshu ya Mahakimu Wakazi wanaolipwa bure bila kufanya kazi yoyote kwa kusema kuwa " MAHAKIMU HAO WAKO KATIKA MAFUNZO YA KUANDIKA HUKUMU" Tanzania Daima la tarehe 29/11/2012

HIVI KWELI WATU WENYE DEGREE ZA SHERIA MIAKA 4 plus Mafunzo law School mwaka Mzima wanahitaji kufundishwa namna ya kuandika hukumu kweli??? hii ni dharau kubwa kwa MAhakimu hao pamoja na Vyuo walivyosoma, NA ITABIDI TCU ICHUNGUZE UHALALI WA VYETI VYAO AU Mhe ANGELLA Kairuki apimwe (akili??) kwa sababu haiwezekani hata kama mahakimu hao wangekuwa viraza kiasi gani wafundishwe kuaandika hukumu kwa miezi sita sasa na hatujui hayo mafunzo yanaenda hadi lini ( INGAWA UKWELI NI KUWA HAKINA KITU KAMA MAFUNZO YA KUNDIKA HUKUMU KINACHOENDELEA KWA MAHAKIMU HAO POPOTE NCHINI)

WADAU HII ISSUE NAKOMAA NAYO KWAKUWA WIKI ILOPITA KESI YANGU IMEPIGWA TAREHE HADI MWEZI WA 3 2013 KATKA MAHAKAMA FULANI KISA MAHAKAMA HYO YA WILAYA INA HAKIMU MMOJA...NA PALE NJE WAPO HAO MAHAKIMU WAKAZI WASIO NA KAZI,NIMEONGEA NA NAO WENGI WANATAMANI KUMUONA ANGELLA (AWAAMBIE KWANINI ANAWADHARAU KISAI HICHO WAKATI WANAJUA MADUDU YAKE WHEN SHE WAS A STATE ATTORNEY MWAKA JUZI TUUU.

Mhe Angella kwa nchi zinazojiheshimu viongozi WA umma huwa hawasemi uongo!!! kama ukuwa na uhakika na sula hili angemuuliza jaji kiongozi

NYIE ENDELEENI KUCHEZEA PESA TUU WAKATI KESI ZETU ZINAPIGWA MA TAREHE MAREFU HUKU VIJANA HAMTAKI KUFANYA KAZI<SIKU TUKICHACHAMAA MTAKIMBIA

Mkuu "review" kwa uelewa wangu mdogo,waziri hajasema uwongo. Alichoeleza ndio reality. Kwa lugha rahisi kabisa Ukweli ni huu hapa:
1) Muhimu kutambua kwamba katika mtiririko wa mahakama,zipo za mwanzo, mahakama za wilaya na mahakama za hakimu mkazi. Kwa mujibu wa sheria za mahakama za mahakimu (magistrate court act ya 1984 pamoja na marekebisho yake, wahitimu wa shahada ya sheria wakitaka kuingia kwenye ajira ya mahakama wanaanzia katika ngazi ya mahakimu wakazi, wakati wale waliohitimu katika ngazi ya cheti na diploma ajira yao ilikuwa inaanzia katika mahakama za mwanzo na wilaya.
2) Kutokana na ukweli kwamba katika mahakama za mwanzo mahakimu sio wa ngazi ya shahada, basi mawakili (advocates) hawakuruhusiwa kwenda kutetea kesi katika mahakama hizo.

3) Kwa kutambua kwamba kitendo cha kuwakataza mawakili kutetea kesi katika mahakama za mwanzo kunawanyima wananchi haki ya kuwakilishwa mahakamani na mawakili; na kwa kutambua ukweli kwamba idadi ya wanasheria wanaohitimu katika ngazi ya shahada imeongezeka nchini, serikali imeamua kuchukua hatua za kuwezesha wanaohitimu shahada ya sheria kuwa mahakimu katika mahakama za mwanzo.

3)Mchakato umeanza kwa hatua kadhaa kuanza kuchukuliwa. Hatua hizo ni pamoja na a) mswada wa sheria kwa ajili ya kufanyia marekebisho vifungu vya mahakama za mahakimu kuruhusu graduates kuwa mahakimu wa mahakama za mwanzo umeshawasilishwa bungeni na kusomwa kwa mara ya kwanza.
B) wahitimu wa shahada ya sheria wameajiriwa katika nafasi za mahakimu wakazi na hivi sasa wanafanyiwa mafumzo maalum ya uhakimu. Kwa waliosoma sheria mtakubaliana nami,kule hakuna mafunzo ya kuwa hakimu. Hivyo mafunzo hayo yanawapa abc za shughuli za uhakimu ikiwa ni pamoja na kanuni za utumishi wa mahakama.

Lengo ni kwamba mahakimu hawa wawe deployed wakiwa wameiva ili kupunguza vilio na malalamiko kwamba mahakimu hawana sifa.
 
Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,132
1,225
Hivi wanafundishwa kuandika hukumu ya aina gani wakati kila mmoja atakuwa anasikiliza kesi tofauti , ushahidi tofauti na utetezi tofauti na kutoka hapo ndipo atapaswa kuandika hukumu, ama kuna fomula ya hukumu ?

Hawa mawaziri wetu hawa ndio wakina Mulugo kila uchao ni kututia aibu tuu hawakomi?
 
Aibu unatutia wewe unayetoa hoja nyepesi za aina hiyo....yaani unataka kutuaminisha kwamba kwakuwa kila mtu atakuwa na kesi tofauti,basi wasipatiwe skills zinazotakikana. Kama hivyo ndio ingekuwa inatakiwa kuwa,then madaktari wa binadamu waliofundishwa miaka mitano...hawakuwa na haja ya kufanya internship ya mwaka mzima...kwasababu watakayokumbana nayo kwenye interns sio watakayokutana nayo kila mmoja akienda kuangalia mgonjwa wake! Lo kaka umechemsha!
 
ligendayika

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,183
1,250
Mhe ANGELLA ( naibu waziri katiba na sheria)Kairuki wiki iliyopita aliwadanganya watanzania ktk isshu ya Mahakimu Wakazi wanaolipwa bure bila kufanya kazi yoyote kwa kusema kuwa " MAHAKIMU HAO WAKO KATIKA MAFUNZO YA KUANDIKA HUKUMU" Tanzania Daima la tarehe 29/11/2012

HIVI KWELI WATU WENYE DEGREE ZA SHERIA MIAKA 4 plus Mafunzo law School mwaka Mzima wanahitaji kufundishwa namna ya kuandika hukumu kweli??? hii ni dharau kubwa kwa MAhakimu hao pamoja na Vyuo walivyosoma, NA ITABIDI TCU ICHUNGUZE UHALALI WA VYETI VYAO AU Mhe ANGELLA Kairuki apimwe (akili??) kwa sababu haiwezekani hata kama mahakimu hao wangekuwa viraza kiasi gani wafundishwe kuaandika hukumu kwa miezi sita sasa na hatujui hayo mafunzo yanaenda hadi lini ( INGAWA UKWELI NI KUWA HAKINA KITU KAMA MAFUNZO YA KUNDIKA HUKUMU KINACHOENDELEA KWA MAHAKIMU HAO POPOTE NCHINI)

WADAU HII ISSUE NAKOMAA NAYO KWAKUWA WIKI ILOPITA KESI YANGU IMEPIGWA TAREHE HADI MWEZI WA 3 2013 KATKA MAHAKAMA FULANI KISA MAHAKAMA HYO YA WILAYA INA HAKIMU MMOJA...NA PALE NJE WAPO HAO MAHAKIMU WAKAZI WASIO NA KAZI,NIMEONGEA NA NAO WENGI WANATAMANI KUMUONA ANGELLA (AWAAMBIE KWANINI ANAWADHARAU KISAI HICHO WAKATI WANAJUA MADUDU YAKE WHEN SHE WAS A STATE ATTORNEY MWAKA JUZI TUUU.

Mhe Angella kwa nchi zinazojiheshimu viongozi WA umma huwa hawasemi uongo!!! kama ukuwa na uhakika na sula hili angemuuliza jaji kiongozi

NYIE ENDELEENI KUCHEZEA PESA TUU WAKATI KESI ZETU ZINAPIGWA MA TAREHE MAREFU HUKU VIJANA HAMTAKI KUFANYA KAZI<SIKU TUKICHACHAMAA MTAKIMBIA

mkuu mi nafuatilia sana viongozi wetu wanassema uongo hadhalani na bila woga hata ndani ya bunge kwahiyo usishangae mkuu nadhani hii ni pekee ambayo viongozi wanadanganya bila woga na hakuna hatua wanazoch ukuliwa
 
ligendayika

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,183
1,250
Mkuu "review" kwa uelewa wangu mdogo,waziri hajasema uwongo. Alichoeleza ndio reality. Kwa lugha rahisi kabisa Ukweli ni huu hapa:
1) Muhimu kutambua kwamba katika mtiririko wa mahakama,zipo za mwanzo, mahakama za wilaya na mahakama za hakimu mkazi. Kwa mujibu wa sheria za mahakama za mahakimu (magistrate court act ya 1984 pamoja na marekebisho yake, wahitimu wa shahada ya sheria wakitaka kuingia kwenye ajira ya mahakama wanaanzia katika ngazi ya mahakimu wakazi, wakati wale waliohitimu katika ngazi ya cheti na diploma ajira yao ilikuwa inaanzia katika mahakama za mwanzo na wilaya.
2) Kutokana na ukweli kwamba katika mahakama za mwanzo mahakimu sio wa ngazi ya shahada, basi mawakili (advocates) hawakuruhusiwa kwenda kutetea kesi katika mahakama hizo.

3) Kwa kutambua kwamba kitendo cha kuwakataza mawakili kutetea kesi katika mahakama za mwanzo kunawanyima wananchi haki ya kuwakilishwa mahakamani na mawakili; na kwa kutambua ukweli kwamba idadi ya wanasheria wanaohitimu katika ngazi ya shahada imeongezeka nchini, serikali imeamua kuchukua hatua za kuwezesha wanaohitimu shahada ya sheria kuwa mahakimu katika mahakama za mwanzo.

3)Mchakato umeanza kwa hatua kadhaa kuanza kuchukuliwa. Hatua hizo ni pamoja na a) mswada wa sheria kwa ajili ya kufanyia marekebisho vifungu vya mahakama za mahakimu kuruhusu graduates kuwa mahakimu wa mahakama za mwanzo umeshawasilishwa bungeni na kusomwa kwa mara ya kwanza.
B) wahitimu wa shahada ya sheria wameajiriwa katika nafasi za mahakimu wakazi na hivi sasa wanafanyiwa mafumzo maalum ya uhakimu. Kwa waliosoma sheria mtakubaliana nami,kule hakuna mafunzo ya kuwa hakimu. Hivyo mafunzo hayo yanawapa abc za shughuli za uhakimu ikiwa ni pamoja na kanuni za utumishi wa mahakama.

Lengo ni kwamba mahakimu hawa wawe deployed wakiwa wameiva ili kupunguza vilio na malalamiko kwamba mahakimu hawana sifa.

excellent. tunataka maelezo yanayotoa mwanga kama haya ndo mana hapa panaitwa the home of .......
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom