Heche, Munishi, Msigwa na Rose Kamili kuwasha moto Vyuo Vikuu Morogoro

Mdutch

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
214
77
Mwenyekiti wa BAVICHA John Heche, Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi, Mbunge Peter Msigwa, Mbunge Rose Kamili na Mbunge Suzan Kiwanga leo wataunguruma Mjini Morogoro katika Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu wa CHADEMa litakalofanyika katika ukumbi wa SAVOA.

Kongamano hilo limeandaliwa na CHASO Mkoa wa Morogoro kwa mujibu wa matangazo yaliyabandikwa sehemu mbali mbali hapa Morogoro litaanza saa tatu kamili asubuhi.
 
50thebe

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
3,256
2,708

Chadema ishakuwa epidermic, ukisikia leo wapo Geita, kesho utaambiwa wapo Morogoro, mara utawasikia wanaunguruma Kinondoni..upande wa CCM utasikia mawaziri wamezomewa...CCM wanachofanya ni damage control tu, maana risk control wameshashindwa.
 
kinya

JF-Expert Member
Feb 20, 2009
495
71
Wakati wakihangaika kujitafutia umaarufu rahisi hasa kwenda na bendera msibani MAKAMANDA PIGENI KAZI MPAKA KIELEWEKE
 
Mlengo wa Kati

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
2,730
491
Mungu yupo upande wa CDM

Katibu Mkuu wa Chadema kapora mke wa mtu na hata Rose Kamili ni mjane alie achwa na Padri Slaa,Mungu hasikilizi maombi ya wazinzi hivyo naamini MUNGU hawezi kuwa upande wa CDM,kiongozi wao mikino yake michafu na ni chukizo mbele za Mungu!
 
ndomyana

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
5,004
1,130
Katibu Mkuu wa Chadema kapora mke wa mtu na hata Rose Kamili ni mjane alie achwa na Padri Slaa,Mungu hasikilizi maombi ya wazinzi hivyo naamini MUNGU hawezi kuwa upande wa CDM,kiongozi wao mikino yake michafu na ni chukizo mbele za Mungu!

aibu kwako libaba na heshima zako kuongea kama hadija kopa yupo jukwaani. Pole sana
 
Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
10,766
23,677
Usimkufuru Mungu. Kasome historia ya wokovu wa binadamu. Maana kipimo utumiacho binadamu kumhukumu binadamu mwenzako si hicho atumiacho Mungu. Mungu siyo wa hivyo. Kwa nini Mungu alimkweza Yakobo aliyekuwa mwongo na dhaifu dhidi ya Kaka yake aliyeitwa Essau? Kwa nini Mungu alikubali Yese azaliwe kwa mke aliyerithiwa na Boaz kuliko wake zake wa halali, Kwa nini Mungu amchagua Daud mtoto dhaifu wa Yese akawaacha wakubwa na wenye afya? Kwa nini Mungu alikubali Mfalme Sulemani azaliwe kutoka kwa mwanamke ambaye Daud alimpora askari wake? Hekima ya Mungu si kama ufikiriavyo. Nenda basi kajikumbushe utenzi ule wa Virgin Mary, 'aliwashusha wenye enzi katika viti akawakweza wanyenyekevu'. Kama Slaa anastahili na ameteuliwa kuleta ukombozi kwa Watanzania wadhulumiwa, hilo litatimia tu, tena kutimia kwa hilo wala si lazima Dr. Slaa awe Rais. Angalia kazi aliyoifanya mpaka sasa jinsi ilivyo na mafanikio. Uelewa wa watu umebadilika sana, penda usipende, mchango wa Dr. Slaa katika kuamusha uelewa wa Watanzania kamwe hautasahaulika katika historia ya Tanzania.

Katibu Mkuu wa Chadema kapora mke wa mtu na hata Rose Kamili ni mjane alie achwa na Padri Slaa,Mungu hasikilizi maombi ya wazinzi hivyo naamini MUNGU hawezi kuwa upande wa CDM,kiongozi wao mikino yake michafu na ni chukizo mbele za Mungu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom