Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,988
Kwa taarifa za M4C ya jana iliyofanyika huko Mwanza kiasi hicho kimepatikana kama ahadi na taslimu...
Mkuu bado haijawa habari ila ni taarifa,hata kama ni taarifa basi walau tungepata 5Ws and H (nani-CHADEMA,wamefanya nini,wapi,kwanini,kivipi na matokeo yake ni nini katika kutekeleza maazimio yao.Lakini pia tungepata uwiano wa kilichopatikana (jana) na harambee zilizopita (sijui ilipatikana shilingi ngapi),uwazi katika matumizi na mwelekeo wa hazina ya chama kulinganisha na mahitaji ya fedha. Nadhani kuna kitu hakiko vizuri ndani ya CHADEMA kuhusu fedha na usimamizi wake,bila shaka demokrasia ya Chama chetu inatakiwa ifanyiwe political reform!
Kwa taarifa za M4C ya jana iliyofanyika huko Mwanza kiasi hicho kimepatikana kama ahadi na taslimu...
Mbona kidogo ulikilinganishwa na Dar milioni 300? hebu niwekee namba ya P-PESA KESHO NI CHANGIE, haiwezekani kabisa, tunaotakiwa kuchangia ni sisi wenyewe
Lini Dar walipata milioni 300?
Mwanza nzima wamepata milioni 9 na ahadi milioni 20.
Malengo ya Chadema ni kupata Bilioni 3 Mwanza kufikisha hicho kiwangu ni miujiza.
Kwa taarifa za M4C ya jana iliyofanyika huko Mwanza kiasi hicho kimepatikana kama ahadi na taslimu...
Mkuu wewe huoni kinacho Fanyika? Hizo pikikipiki ambazo zinatarajiwa kusambazwa kila Kata zimenunuliwa kwa pesa ipi? je hizo M4C zinazo endelea?
Au unataka kila wakitumie pesa basi watoe tangzao kwamba katika milioni 300 za M4C leo tumetumia milini 5. Kinacho takiwa ni waatu waendelee kuchangia tu, tuamnini pesa zinafanya kazi iliyo kusudiwa na si vinginevyo, na ishu ya kuto ruswa hewani itakuwa imechangia sana
Hao ni maskini waliotoa kwa moyo wao wa upendo. Hata kama ni chache, ni nafuu kuliko hizo fedha za wizi na utapeli mlizo nazo ninyi mafisadi!!!!Mwanza nzima wamepata milioni 9 na ahadi milioni 20.
Malengo ya Chadema ni kupata Bilioni 3 Mwanza kufikisha hicho kiwangu ni miujiza.