Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Raisi ajae 2015 awe naupande gani kati ya hizi zifuatazo upande a 1 safari za mamtoni kila siku 2ajaze maswahiba na wakwe na mashemeji serikalini 3avunje baraza la mawaziri kwa kuwalinda...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu wana JF tuisaidiye serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mawazo ili iweze kuboresha huduma kwa raia. Kwa kuanzia mi ninayo yafuatayo, hivyo ninaomba kuwakirisha: Barabara ya...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Kwa namna nnavyoona CDM inavyowanufaisha viongozi wake, ambao wengi sasa wanatembelea magari ya kifahari na kujenga majumba ya kifahari nnaona CDM ni kama NGO au pressure group ambayo inatisha ili...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
HABARI ILIYOTUMWA NA MWANDISHI NA ILIYOCHAPISHWA NA TZ DAIMA -CHEKI TOFAUTI Na Ashura Jumapili,Bukoba, Waziri asikitika meya kulalamika mbele ya madiwani MEYA wa Manispaa ya Bukoba...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hali ya hewa ilichafuka jana katika ufunguzi wa tawi la CCM la Isesa ambapo nusura vijana CCM na wa Chadema watwangane makonde baada ya vijana wa Chadema kuwatuhumu CCM kwamba wamewaibia bendera...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Viongozi wa ccm,wamepewa Angalizo na wananchi wa mji wa katoro-GEITA,baada ya kupata maudhuria machache sana,zikiwa ni salamu kwa chama hicho kuwa hakikubaliki!
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mi nimefurahishwa sana na nyimbo ya John Komba aliyoitoa hivi karibuni na kutamba kwenye Mkutano Mkuu Kizota kuwa Bila ya CCM Nchi Ingekuwa Wapi? Ni hakika kuwa motto anapokuwa hajala mchana...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwaka 2009 JK alifika Mugumu Serengeti,ilikuwa ufunguzi wa Hotel ya Bilila.Kituko cha kwanza kufanya ilikuwa kumfukuza mkuu wa mkoa ambae alihudhuria hafla hiyo as if ilikuwa dhifa ya...
6 Reactions
82 Replies
11K Views
WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dk. Aballah Kigoda, amewajia juu watu wanaodai viwanda nchini vimekufa, jambo ambalo si kweli. Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam jana, wakati akizindua rasmi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
http://blogs-images.forbes.com/mfonobongnsehe/files/2012/11/Ashish-Thakkar-207x300.jpg At 31, Ashish J. Thakkar is one of the wealthiest, most successful entrepreneurs of Ugandan origin. He is...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kujibu swali hilo na mengine kadhaa fuata link hii Hali ya siasa na demokrasia, kudorora kwa uchumi na ongezeko la umaskini nchini Tanzania Survey
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe amezomewa na wananchi wa mji mdogo wa Gallapo wilayani Babati wakati wa mkutano wa hadhara baada ya waziri huyo kuktaa kuulizwa maswali na wananchi kuhusu...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Kinana Atua Rukwa Kinana akizungumza na wana-CCM leo mjini Sumbawanga,mkoani Rukwa Kinana, Nape, Khatib wakisalimia wananchi Uwanja wa Ndege wa Rukwa
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Wana JF; Taarifa za kina nilizozipata zimewataja rais wa Kisomali waishio Arusha (SILVER PARM, DUKA LA PEMBEJEO ZA KILIMO, DRY CLEANER, NA INTERNET CAFE) wanatajwa kuwa ni ndugu wa karibu wa...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
NA CYNTHIA MWILOLEZI Mikataba yote iliyoingiwa kati ya mwekezaji wa Kampuni ya Hotels and Lodges (T) Ltd (Tahi) na iliyokuwa Tume ya Rais ya Kubinafsisha Mashirika ya Umma (PSRC) kwenye hoteli...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wafanyakazi wa bot ambao walikuwa wanshatakiwa kwa kesi zile epa kutoka kitengo cha madeni ya nje, wamapatikana na hatia katika hukumu ilyosomwa jioni na kuhukumiwa miaka 5 jela source...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Mh Zitto leo amesema mengi ya msingi katika live interview lakini ila moja ya mambo ambayo yamenigusa ni msimamo wake juu ya udini na ushauri wake kwa viongozi wa TZ kwa ujumla. Hili ndilo swali...
0 Reactions
66 Replies
5K Views
Edward Lowasa ALIYEKUWA Waziri Mkuu katika Serikali ya Awamu ya Nne, Edward Lowassa yupo nchini Ujerumani kwa matibabu na uchunguzi wa kiafya. Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli jana...
0 Reactions
104 Replies
11K Views
KINANA,NAPE,KHATIB WATUA MTWARA..kazi ya kusimamia ilani ya uchaguzi yapamba moto.
1 Reactions
144 Replies
14K Views
President Jakaya Kikwete Every year, 50 Zanzibar bachelor's and master's degree students, will receive full scholarships from the government of Oman, the Monarchy has pledged in a bid to end the...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom