Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

nimeikuta hii kwenye post ya jamaa yangu fb! wanajamvi nisaidieni nini sababu ya hizi tofauti? Tofauti ya mishahara miongoni mwa wafanyakazi wa umma wenye kiwango kimoja cha elimu? CHETI mwalimu...
3 Reactions
61 Replies
15K Views
kwa uchungu napenda kukosoa uwongo uliosemwa na huyo mama kuwa Lema alimtaka kimapenzi. Katika madiwani waliofukuzwa hakuna diwani wa Olasiti. Madiwani waliofukuzwa ni kata ya Themi, Kijenge...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Nilipata kujifunza ya kwamba Maendeleo ni mfumo na sio tukio, yaani kimombo wanasema ' Development is a Process, not an event'. Hakuna anayepinga kwamba watu wa Tanzania wamepiga hatua kidogo...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Kama kuna jambo ambalo ni dhahiri kwa sasa kwa Tanzania, ni hamu ya watanzania kupata mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi. Lakini pengo kubwa linaloonekana ni kukosekana kwa nguvu na sauti moja...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Clean
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waswahili kuna msemo maarufu usemao SAFARI ni HATUA; hivyo nachukua fursa kukikumbusha CHADEMA kuwa ni muhimu sana kwao kujifikiri mara mbili kabla ya kufikiria nafasi ya URAIS badala yake wafanye...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
kwa kweli bado natafakari kauli aliyoitoa bosi wa TAKUKURU juzi kati kwamba "anayejifanya ana uchungu na nchi hii kuhusu tuhuma za mabilioni ya uswisi apeleke ushahidi ili wafanyie kazi". kwakweli...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa bahati nimeona thread inayoelezea uchangiaji damu na kunikumbusha, hofu za miaka ya 80,kurudi nyuma,watu waliogopa tembea peke yao ,kuelekea ktk shughuli za maendeleo kwa hofu ya kunyonywa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya kutafakari na kuona siasa (za maji taka-kama CCM wanavyoziita) ambazo si za kuleta maendeleo bali habari za mipasho na "kumtafuta mchawi" kati ya Kagasheki MP na Mayor Amani. Na kwakuwa...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Katika muendelezo wa ccm kutumia sera makini za Chadema, Waziri wa nishati na madini Prof. Muhongo ameeleza kuwa serikali imeanza kutoa mafunzo maalum ya gesi na mafuta kwa vijana wa mikoa ya...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
inakuwaje vijana tubweteke hali ya kuwa mageuzi yapo mikononi mwetu?
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Mon, Nov 26th, 2012 By In2EastAfrica Reporter The government will attempt to revive the defunct electronics, equipment manufacturing company of Arusha which used to make products under the...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika kile na kutoamini ulilolitoa kwenye vyombo vya habari, umeshindwa kutumia busara Mgogoro katika sekondari ya Bagamoyo si kama ulivyoambiwa na kuchukua hatua kutangaza nilichosikia kupitia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, nadhani tuanze kupima upepo wa kisiasa wa CHADEMA ukoje majimboni mwetu. Je kama uchaguzi ungefanyika leo CHADEMA ingeshinda jimboni kwako leo?. Kwa kuanzia jimboni kwangu Iramba...
2 Reactions
115 Replies
10K Views
Monday, November 26, 2012 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 36 wa Baraza la Utawala la ARIPO, ukifanyika Zanzibar kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi sasa mbunge wa Bukoba mjini Balozi Khamis Kagasheki ambaye pia ni Waziri wa Maliasili......anawahutubia wananchi wa Bukoba Mjini na inaonekana kuna mgogoro mkubwa kati yake na Meya wa...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Akiongea katika mkutano wa CCM Arusha katibu mkuu wa CCM alitamka haya. nanukuu. ''Katika miaka ya hivi karibuni CCM ilikuwa imepoteza mwelekeo hali iliyowafanya watanzania kukata tamaa na...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Tangu ccm imalize mkutano wake wiki jana, kumeibuka staili mpya ya chama hiki katika kuendesha siasa zake! Chama kimeamua kuchukua nafasi ya serikali, kinazindua miradi ya maendeleo ya nchi...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari zenu wadau wenzangu wa JF, kwa kuthamini mchango wenu katika masuala mbalimbali ya kisiasa hapa nchini, nimeamua kuandika waraka huu kuomba ushauri wenu kwenu namna ambavyo naweza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Katiba mpya ya Tanzania inaandaliwa lakini Diaspora wa Tanzania hatujahusishwa wakati ukweli ni kwamba ni wengi sana dunia nzima kuanzia Europe yote, Asia, Americas, Africa and Australia. Tume ya...
0 Reactions
0 Replies
971 Views
Back
Top Bottom