CHADEMA Safari ni Hatua

MAFILILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Messages
2,304
Points
2,000

MAFILILI

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2011
2,304 2,000
Waswahili kuna msemo maarufu usemao SAFARI ni HATUA; hivyo nachukua fursa kukikumbusha CHADEMA kuwa ni muhimu sana kwao kujifikiri mara mbili kabla ya kufikiria nafasi ya URAIS badala yake wafanye yafuatayo:
1. Sehemu kubwa ya ruzuku itumike kufungua ofisi maeneo ya vijijini
2. Chama kiwe na taswira ya kinchi
3. Maandamano isiwe mbinu mojawapo ya kueneza chama
4. Kuwa na mtazamo wa kupata viti vingi katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2014
5. Uchaguzi mkuu 2015 kuweka nguvu nyingi katika udiwani na ubunge
6. Kutosimamisha mgombea Urais 2015

Nawakilisha kwenu!
 
blueray

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Messages
2,219
Points
0

blueray

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2012
2,219 0
Waswahili kuna msemo maarufu usemao SAFARI ni HATUA; hivyo nachukua fursa kukikumbusha CHADEMA kuwa ni muhimu sana kwao kujifikiri mara mbili kabla ya kufikiria nafasi ya URAIS badala yake wafanye yafuatayo:
1. Sehemu kubwa ya ruzuku itumike kufungua ofisi maeneo ya vijijini
2. Chama kiwe na taswira ya kinchi
3. Maandamano isiwe mbinu mojawapo ya kueneza chama
4. Kuwa na mtazamo wa kupata viti vingi katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2014
5. Uchaguzi mkuu 2015 kuweka nguvu nyingi katika udiwani na ubunge
6. Kutosimamisha mgombea Urais 2015

Nawakilisha kwenu!
Chademaphobia!

CHADEMA ni watu wote, walio wanachama na wasio wanachama

CHADEMA iko kila sehemu ya nchi hii

Hata CCM huwaoni sasa hivi wanavyoandamana hadi wanasahau viatu!

Lengo la chama chochote cha siasa ni kushika dola-kushinda urais na kuwa na wawakilishi wengi iwezekanavyo

CHADEMA isisimamishe mgombea urais 2015-wewe Naona una ugonjwa wa Chdemaphobia, we ni fisadi nini au baba yako ndio fisadi!
 
Mlangaja

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
555
Points
225

Mlangaja

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
555 225
Kama mlivyoharibu nchi sasa mmeingia kuharibu JF. Unajua kuna wakati wa kufanya utani lakini mnayoyafanya sasa ni upumbavu. Laana ya wananchi ipo nanyi ndo maana mnaendelea kufanya upuuzi huu.
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
44,644
Points
2,000

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
44,644 2,000
Waswahili kuna msemo maarufu usemao SAFARI ni HATUA; hivyo nachukua fursa kukikumbusha CHADEMA kuwa ni muhimu sana kwao kujifikiri mara mbili kabla ya kufikiria nafasi ya URAIS badala yake wafanye yafuatayo:
1. Sehemu kubwa ya ruzuku itumike kufungua ofisi maeneo ya vijijini
2. Chama kiwe na taswira ya kinchi
3. Maandamano isiwe mbinu mojawapo ya kueneza chama
4. Kuwa na mtazamo wa kupata viti vingi katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2014
5. Uchaguzi mkuu 2015 kuweka nguvu nyingi katika udiwani na ubunge
6. Kutosimamisha mgombea Urais 2015

Nawakilisha kwenu!
Yanga wameshawai kumpa simba ushauri??
Iyo no.6 imeshihirisha uoga uliowajaa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
sosoliso

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
8,425
Points
2,000

sosoliso

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
8,425 2,000

6. Kutosimamisha mgombea Urais 2015
Nawakilisha kwenu!
Mnataka mambo ya uchaguzi wa kwenye chama chenu ambako mwenyekiti alikoseshwa mpinzani mlete kwenye uchaguzi mkuu wa raisi.. Mnaona haki wenyewe mwenyekiti wenu kupita bila mpinzani na kisha kumpongeza na mabango..!
Heri unyimwe macho lakini upewe akili ya kupambanua mambo...
 
BigMan

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2007
Messages
1,097
Points
1,195

BigMan

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2007
1,097 1,195
Arusha ndiyo ilivyo bila kutumia fedha hakuna,hata lema wakati kesi yake inaendelea wakati ule alikuwa anatoa buku ama mia tano na hivi sasa ile ashangilowe anatoa buku na elfu tano ili abebwe,Arusha ni kibiashara zaidi
 
Forum statistics

Threads 1,392,378
Members 528,604
Posts 34,107,248
Top