Natangaza nia ubunge, Bukoba mjini 2015

M

msabato masalia

Senior Member
Joined
Dec 3, 2008
Messages
118
Likes
0
Points
33
M

msabato masalia

Senior Member
Joined Dec 3, 2008
118 0 33
Baada ya kutafakari na kuona siasa (za maji taka-kama CCM wanavyoziita) ambazo si za kuleta maendeleo bali habari za mipasho na "kumtafuta mchawi" kati ya Kagasheki MP na Mayor Amani. Na kwakuwa siasa zao zime-base kwenye kuwania kiti cha U-MP na wala hakuna lolote la maana zaidi ya kutaka kutumia ule msemo wa Laurent Desire Kabila-" Ntakuwa mtawala wa Congo either kwa msaada wa waasi, Mungu au shetani". Mayor Amani is just a corrupt guy so as his party (CCM) in which Kagashekiis a member.While Amani the former friend of the late frustrated Kabendera Shinani is "handpicked and made" by Kagasheki MP, Kagasheki is just a "handpicked and political made" guy form Father in law, Mzee Ruksa.These two guys belongs to the same criminal syndicate aka a family of organised crimes CCM. No one between the two has a clean backyard.
 
mayenga

mayenga

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2009
Messages
3,897
Likes
685
Points
280
mayenga

mayenga

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2009
3,897 685 280
Baada ya kutafakari na kuona siasa(za maji taka-kama CCM wanavyoziita)ambazo si za kuleta maendeleo bali habari za mipasho na "kumtafuta mchawi" kati ya Kagasheki MP na Mayor Amani. Na kwakuwa siasa zao zime-base kwenye kuwania kiti cha U-MP na wala hakuna lolote la maana zaidi ya kutaka kutumia ule msemo wa Laurent Desire Kabila-" Ntakuwa mtawala wa Congo either kwa msaada wa waasi,Mungu au shetani". Mayor Amani in just a corrupt guy so as his party(CCM)which doesnt leave Kagasheki as Mr. clean. Kagasheki is just a handpicked and political made guy form Father in law, Mzee Ruksa.
Kyoma!mbona huna hitimisho kwenye hoja yako?unagombea kupitia chama gani?na kwanini kupitia chama hicho?.Mimi mi mpiga kura wa jimbo hilo,namfahamu vema Kagashki na mbwebwe zake.
 
S

STIDE

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
998
Likes
11
Points
35
Age
38
S

STIDE

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2011
998 11 35
Mkuu hapo kwenye "kamombo" naomba nifafanulie, mwenzio wa 'kata' siambulii!! Pia si dhani kama kutumia "kamombo" ni qualification screen!!

Matokeo yake umejikita kwenye mbwembwe ukasahau hoja!!

Jikite hapa-:
-kwakuwa unatangaza nia kwa public post, ni vema utuambie jina halisi ili tukutathimini.
-kwa tiketi ya chama gani.
-tupe ABC za matarajio yako ukiwa mbunge
-kilichokufanya utangaze nia(kuchukizwa na siasa za majitaka haitoshi)!!

Zaidi, kila kheri, nasubiri jibu
 
M

msabato masalia

Senior Member
Joined
Dec 3, 2008
Messages
118
Likes
0
Points
33
M

msabato masalia

Senior Member
Joined Dec 3, 2008
118 0 33
So far so good sina political party kwasababu ya kuogopa mizengwe na kuwekwa mfukoni.I was born and raised there,went to school there.Originally from Buyekera.I have seen all of them come since I was a kid from Rwangisa,Katalaiya,Rwakatale and now Kagasheki. They all have the same fate except Rwangisa because he was old school.The so called "sera" za chama is just bullshit,you need a committed guy like me with a clean backyard to make it happen independent(lets hope our constitution is ready by 2014) with collaborations with people and not parties.Kinachotokea sasa hivi pale Bukoba sio kipya kama wewe umezaliwa na kukulia pale bukoba mjini,ukimtoa Mzee Rwangisa.Katalaiya alikufa kisiasa kama Kagasheki alivyoanza,Rwakatale was the same,it is difficult politically to fight Ghost within your own party. Kumbuka Wahaya ni watu wasiosahau,si watu wa ubwabwa na nyama, "omwange otae chonka oijuke ekyo wankozile".
 
charger

charger

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Messages
2,322
Likes
72
Points
145
charger

charger

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2010
2,322 72 145
Mkuu hapo kwenye "kamombo" naomba nifafanulie, mwenzio wa 'kata' siambulii!! Pia si dhani kama kutumia "kamombo" ni qualification screen!!

Matokeo yake umejikita kwenye mbwembwe ukasahau hoja!!

Jikite hapa-:
-kwakuwa unatangaza nia kwa public post, ni vema utuambie jina halisi ili tukutathimini.
-kwa tiketi ya chama gani.
-tupe ABC za matarajio yako ukiwa mbunge
-kilichokufanya utangaze nia(kuchukizwa na siasa za majitaka haitoshi)!!

Zaidi, kila kheri, nasubiri jibu
Hapo kwenye kamombo mkuu ''qualification screen'' ndio nani tena huyo? Na yeye ametangaza nia?
 
WA-UKENYENGE

WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Messages
2,908
Likes
264
Points
180
WA-UKENYENGE

WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2011
2,908 264 180
Naogopa msimamo wako msabati masalia, usije ukagoma kutoka kama wale wasabato masalia.
 
M

msabato masalia

Senior Member
Joined
Dec 3, 2008
Messages
118
Likes
0
Points
33
M

msabato masalia

Senior Member
Joined Dec 3, 2008
118 0 33
STIDE.....sio swala la mbwembwe kama unavyodhani.Hahahaha, yaleyaleee,Umeanza kwa kuponda "kamombo" kuwa sio kwalifikasheni ya "public post". Watu tunachokikosa Bukoba au Tanzania kwa ujumla ni kuwasiliana na wananchi na kuwa "accountable", lakini wewe na mimi tunajua kwamba siasa za visasi ndizo zinatupelekea kuwa watumwa wa magenge ya wakola aka political criminal syndicates. Baada ya kuwa tushakuwa watumwa wa hao wajanja wajanja wachache,hautaweza hata siku moja kusimama kuwaambia wananchi wako mapato na matumizi ya kata yako wala jimbo lako. People wants to hear that,how much they pay in tax and how much you spend it and how.But once you are "made" then you are under "OMERTA"-wananchi wako sio your priority tena but the "mtandao" you belong to. That is what you are watching, a nice movie with 3 "orgsnised crime families"- Rwangisa's former MP and Mayor,Kagasheki MP and Amani Mayor.
 
B

baba koku

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Messages
340
Likes
20
Points
35
B

baba koku

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2011
340 20 35
So far so good sina political party kwasababu ya kuogopa mizengwe na kuwekwa mfukoni.I was born and raised there,went to school there.Originally from Buyekera.I have seen all of them come since I was a kid from Rwangisa,Katalaiya,Rwakatale and now Kagasheki. They all have the same fate except Rwangisa because he was old school.The so called "sera" za chama is just bullshit,you need a committed guy like me with a clean backyard to make it happen independent(lets hope our constitution is ready by 2014) with collaborations with people and not parties.Kinachotokea sasa hivi pale Bukoba sio kipya kama wewe umezaliwa na kukulia pale bukoba mjini,ukimtoa Mzee Rwangisa.Katalaiya alikufa kisiasa kama Kagasheki alivyoanza,Rwakatale was the same,it is difficult politically to fight Ghost within your own party. Kumbuka Wahaya ni watu wasiosahau,si watu wa ubwabwa na nyama, "omwange otae chonka oijuke ekyo wankozile".
Msabato Masalia wewe kweli ni mzaliwa wa Buyekela? Ulitakiwa uandike hivi "Omwange otaemu kyonka oijuke ekyo wankozile"
 
rosemarie

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Messages
6,825
Likes
1,244
Points
280
Age
42
rosemarie

rosemarie

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2011
6,825 1,244 280
Una uhakika na unachokisema mbona unaficha identity yako hapa Jf? achana na mawazo yasiyo na tija Mkuu,huwezi kwenda popote dalili zinaonekana mapema
 
Lu-ma-ga

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Messages
3,130
Likes
685
Points
280
Lu-ma-ga

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2010
3,130 685 280
Mkuu hapo kwenye "kamombo" naomba nifafanulie, mwenzio wa 'kata' siambulii!! Pia si dhani kama kutumia "kamombo" ni qualification screen!!

Matokeo yake umejikita kwenye mbwembwe ukasahau hoja!!

Jikite hapa-:
-kwakuwa unatangaza nia kwa public post, ni vema utuambie jina halisi ili tukutathimini.
-kwa tiketi ya chama gani.
-tupe ABC za matarajio yako ukiwa mbunge
-kilichokufanya utangaze nia(kuchukizwa na siasa za majitaka haitoshi)!!

Zaidi, kila kheri, nasubiri jibu
tooo much majigambo, kina-nshamile bwaaaana, kazi kweli kweli
 
S

STIDE

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
998
Likes
11
Points
35
Age
38
S

STIDE

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2011
998 11 35
Mkuu Msabato,

Kidogo napatwa na mashaka na nia yako, kama hauko siriasi mkuu!! Yaani unatangaza nia paspo chama nawe ungali unajua katiba ya sasa hairuhusu mgombea binafsi!!? Pia unaonyesha nawewe ni mtu wa 'kitu kidogo' kwa jinsi unavojishtukia!! Japo nakutakia la kheri ila angalia na wewe usijekuwa mmoja wa "siasa za maji taka" kwa jinsi nilivokusoma hapo juu!!

Labda mkuu tujulishane bwana, uko Buyekera ya wapi, Polisi, msikitini, juu kwemye mawe, darajani au pale njia panda ya Kashura?

"Otugambile oli owa eyo wa, tukumanye, kolaba oli kishuma ti tukue kura!! Ahaa ha haa!!
 
M

msabato masalia

Senior Member
Joined
Dec 3, 2008
Messages
118
Likes
0
Points
33
M

msabato masalia

Senior Member
Joined Dec 3, 2008
118 0 33
:target: Piga ua chinja galagaza. Lazima kieleweke. 2015 namuonyesha mlango wa kutokea Kagasheki na wakora wenzie.

STIDE.....Kama kawaida,"omwatani takweta mushaija".
 
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
7,056
Likes
42
Points
145
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
7,056 42 145
Hii ni thread ya kikabila. Mods mpo?
 
Majita

Majita

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2008
Messages
606
Likes
94
Points
45
Majita

Majita

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2008
606 94 45
So far so good sina political party kwasababu ya kuogopa mizengwe na kuwekwa mfukoni.I was born and raised there,went to school there.Originally from Buyekera.I have seen all of them come since I was a kid from Rwangisa,Katalaiya,Rwakatale and now Kagasheki. They all have the same fate except Rwangisa because he was old school.The so called "sera" za chama is just bullshit,you need a committed guy like me with a clean backyard to make it happen independent(lets hope our constitution is ready by 2014) with collaborations with people and not parties.Kinachotokea sasa hivi pale Bukoba sio kipya kama wewe umezaliwa na kukulia pale bukoba mjini,ukimtoa Mzee Rwangisa.Katalaiya alikufa kisiasa kama Kagasheki alivyoanza,Rwakatale was the same,it is difficult politically to fight Ghost within your own party. Kumbuka Wahaya ni watu wasiosahau,si watu wa ubwabwa na nyama, "omwange otae chonka oijuke ekyo wankozile".
Wahaya wa Uganda na Waganda Kyaka utawajua tu."....you know waitu inshomile mpaka fwomu fwoo with no syndicate waitu...." mbwembwe nyiiiingi.
 
KIGENE

KIGENE

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2011
Messages
1,077
Likes
213
Points
160
KIGENE

KIGENE

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2011
1,077 213 160
Mkuu naona kama nia kweli unayo lakini dhamira inakusuta iaingii akilini kwa mtu anayewania ubunge aanze kwa kujifichaficha.
Lakini kwa vile hujulikani na hutaki kujulikana ningekushauri uanzie marathon yako huko huko Bakoba uchuane na Bigambo.
Ni ngumu sana kufikilia kuwa askofu kama hujawahi kuwa hata katekista.
 
M

Morinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2011
Messages
2,629
Likes
645
Points
280
M

Morinyo

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2011
2,629 645 280
Una uhakika na unachokisema mbona unaficha identity yako hapa Jf? achana na mawazo yasiyo na tija Mkuu,huwezi kwenda popote dalili zinaonekana mapema

Mkuu Director1: Naingana na wewe, huyu bwana ameshashindwa hata kabla ya kuanza.
 
M

Morinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2011
Messages
2,629
Likes
645
Points
280
M

Morinyo

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2011
2,629 645 280
Wahaya wa Uganda na Waganda Kyaka utawajua tu."....you know waitu inshomile mpaka fwomu fwoo with no syndicate waitu...." mbwembwe nyiiiingi.
Tusaidie kuwajua hao maana kisheria kama ni mhaya wa Uganda siyo raia wa Tanzania, tusije tukaweka mamluki.
 
Ta Muganyizi

Ta Muganyizi

JF Gold Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
5,261
Likes
555
Points
280
Ta Muganyizi

Ta Muganyizi

JF Gold Member
Joined Oct 19, 2010
5,261 555 280
Mkuu Msabato,

Kidogo napatwa na mashaka na nia yako, kama hauko siriasi mkuu!! Yaani unatangaza nia paspo chama nawe ungali unajua katiba ya sasa hairuhusu mgombea binafsi!!? Pia unaonyesha nawewe ni mtu wa 'kitu kidogo' kwa jinsi unavojishtukia!! Japo nakutakia la kheri ila angalia na wewe usijekuwa mmoja wa "siasa za maji taka" kwa jinsi nilivokusoma hapo juu!!

Labda mkuu tujulishane bwana, uko Buyekera ya wapi, Polisi, msikitini, juu kwemye mawe, darajani au pale njia panda ya Kashura?

"Otugambile oli owa eyo wa, tukumanye, kolaba oli kishuma ti tukue kura!! Ahaa ha haa!!
iyooooo chonka nanka naiwe wanyita...ija tubonangane ndi kunu Zam Zam
 
Forum statistics

Threads 1,236,755
Members 475,220
Posts 29,267,850