NI vipi tutaifanya serikali iupe ukweli wa NYONYA DAMU waliofanya zaoezi vibaya sana na kuacha hofu


Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,484
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,484 280
Kwa bahati nimeona thread inayoelezea uchangiaji damu na kunikumbusha, hofu za miaka ya 80,kurudi nyuma,watu waliogopa tembea peke yao ,kuelekea ktk shughuli za maendeleo kwa hofu ya kunyonywa damu.Na hii ilichangia sana kurudisha maendeleo nyuma.LThread hiyo imeamsha lengo langu la kutaka jua hilo zoezi lilikuwa na mikono ya nani haswa na kwanini halikuw ana njia nyingine?

Haya mambo yaliwakuta walevi, wachunga mifugo, akina mama wakitembea na watu wengine.Na walipigwa mihuri.Damu hizi zilisadikika kupelekwa nchi jirani ambayo ni maarufu sana kuchukua kila rasilimali ya nchi hii, na pia katika system zetu.

Wel, inawezekana kwa uelewa wa watu kipindi kile watuw asingekuwa tayari kutolewa damu kwa hiari ili ikasaidie hazina yetu.Ila zoezi zima lilifanyika ktk hali ya kuwatisha sana watu, na wengine walifikia mahali pa kufa kwa kumalizwa damu.

Kuna nchi kama Za India pakistan na nyingine watu wanaendelea na haya mazoezi na hata kuiba viungo vya watu vya ndani, kama figo, moyo, main etc.Watu wengine hutekwa, wengine hudanganywa na kuulizwa maswali mepesi ktk mazungumzo ya utani tuu na kujikuta wakisema status yao ya afya na hivyo kuwasaidia majangili kujua kama kuna uwezekano wakukut hivyo viungo ni salama.

Nadhani sasa it time watu wakaleta dondoo au hata serikali kusema hili, ili sasa paanzishwe mahusiano mapya kati ya taasisi za serikali zinazojihusisha na afya na raia wetu.Ili watu waanze jitolea damu, viungo, vya mwili huku wakilindwa.Ingawa bado nina hofu na ufisadi wa CCM kwani huchelewi sikia kuna viungo vya binadamu kutoka TZ vimepatikana Hong Kong au thailand.

Tunajua kila nchi ina story ya Vampires, ila hii ya kwetu haikubahatika kuitwa vampires kwani kuna watu wanajulikana kwa hilo zoezi na Familia zao hazikuishia vyema wala kuwa na mafanikio ya kweli.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,484
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,484 280
yeyote mwenye habari au ushuhuda wa haya mambo hembu aweke dondoo kwa staili anyoonahaitakuwa na shida.
 
Z

zodiac

Senior Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
109
Likes
0
Points
0
Z

zodiac

Senior Member
Joined Oct 13, 2012
109 0 0
Kuna jamaa anaitwa sekeni alikuwa maarufu sana mikoa ya Iringa na Maeneo ya mbeya huyo hakika alisababisha hofu sana
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,484
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,484 280
Kuna jamaa anaitwa sekeni alikuwa maarufu sana mikoa ya Iringa na Maeneo ya mbeya huyo hakika alisababisha hofu sana
Kuna wasomali walitikisa sana mikoa ya Kilimanjaro na arusha.
 

Forum statistics

Threads 1,235,534
Members 474,641
Posts 29,225,821