Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

NA MASHAKA MGETA 22nd November 2012 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepitia hatua tofauti ndani ya takribani 12, kikilenga kujisafisha na kurejesha kukubalika zaidi kwa jamii. Wapo wanaoamini...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu, Mojawapo ya masuala ya kiuongozi ambayo yamegusiwa sana hivi karibuni, ni uwezo wa mtu kuongoza. Wapo wanaohoji endapo kuna uhusiano kati ya umri alionao mtu na uwezo wake wa kuongoza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kwa mara nyinginetena kada marufu na mweny mvutio mkubwa ndani ya chama cha mapinduzi amedhihirisha tena kuwa kutowa si utajiri bali ni moyo wa kupendwa na kupenda watu wako
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni TBC live, mi nina swali 1 tu,hivi ile suti ya mzee wa uzinduzi ni ileile kila siku au ana nyingi za rangi moja?
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Siku za hivi karibuni kumekuwa na malumbano ama yana kuzwa kwa makusudi na vyombo vya habari au ni mkakati maalumu wa kuvuruga umaoja na mshikamano uliopo ndani ya CHADEMA.Mbinu hizo zinazo jaribu...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Aliyekuwa mbunge wa Arusha G. Lema leo jioni wakati mkutano wa CCM ulipoisha jijini Arusha watu wakitoka uwanjani walikutana na gari la msheshimiwa huo akitoa ishara ya people power na washabiki...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
si vyema wananchi wote watanzania hususwa ni vijana tukakabidhi imani yetu kwa wanasiasa eti watatukomboa. nadhani mtakubaliana na mimi kuwa kinamama ni kundi lakwanza lililo amini kuwa ukombozi...
0 Reactions
2 Replies
951 Views
Kwa muda mrefu sasa tokea Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, abadili uongozi mzima wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), huduma za bandari zimekua zikizidi kuzorota kwa kasi na yeye na...
1 Reactions
77 Replies
6K Views
Wakuu, Kumbe hata Bendera za CHADEMA zinatisha na zitaendelea kuwatisha sana Magamba. Jana Meya wa Manispaa ya Morogoro Mr. Nondo alikuwa awe na kikao na wanamtaa wa Visole ndani ya kata yake ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna watu bwana wanajifanya wapenzi wakuu wa vyama bila hata kujua mustakabali wa Taifa lao, Tanzania leo hii kuna magazeti mengi sana(hard newz) na yale ya udaku, mina zungumzia magazeti ya hard...
0 Reactions
3 Replies
967 Views
MIFUMO YA KINYONYAJI, TULIPOKOSEA HAPAZUNGUMZIWI: Matamanio ya kuwepo kwa jamii adilifu isiyokuwa na matajiri na masikini, wenye kunyonya na wenye kunyonywa, wenye kukandamiza na wenye...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Mimi nilipatwa na wasiwasi sana baada ya kusikia na kusoma habari ya nape akiwa arusha jamani watanzania mtadanywa mpaka lini na wanatuona kama watu tusiojua mambo yanavoenda hali ni mbaya sana ya...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Kumekuwa na mijadala mingi humu, mara Dr. Slaa na Zitto Kabwe nani anaweza kuwa mgombea sahihi wa nafasi ya urais kwa ticketi ya CHADEMA 2015, Kwa ushauri wangu haya yasitupotezee muda tena...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dear members of this blog. I wish to share with you about the sweet game of politics. Politics especially during this period of acceptable multiparty system make us think critically regardless the...
0 Reactions
1 Replies
754 Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amemshangaa Katibu Mkuu wa CCM Abdurahman Kinana kwa kuanza kulalamika kuhusu bei za Korosho, Ufisadi wakati Chama chake ndicho chenye serikali. Dr Slaa...
7 Reactions
94 Replies
8K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitafutia dawa migogoro inayotokana na baadhi ya makada wake kuonyesha nia ya kuwania urais na ubunge mwaka 2015, baada ya kuanzisha utaratibu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa amewaambia wakazi hawa wa Karagwe kwamba hata viongozi wapya wa sekretarieti ya CCM wakizunguka nchi nzima, hawana...
6 Reactions
43 Replies
5K Views
Tuko kwenye maandalizi wa ujio jmpiganaji Abdallahman Kinana hapa jijini Arusha, kwasasa tunawaandaa waendesha pikipiki kwaajili ya kwenda kumpokea katibu wetu. picha za matukio zinakuja...
6 Reactions
405 Replies
48K Views
Rwamlaza "awacharaza viboko" Meya na Mbunge Bukoba - YouTube http://www.youtube.com/watch?v=xLSwVdlwXu8
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Dr Wilbrod Slaa amesema kumteua Abdulrahman Kinana kuwa Katibu Mkuu wa CCM ni sawa tu na kumhamisha mgonjwa mahututi-CCM kutoka hospitali...
6 Reactions
71 Replies
5K Views
Back
Top Bottom