• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Maalin Seif Sharif afunguwa Mkutano wa Kimataifa wa Baraza la Utawala la ARIPO

Kakke

Kakke

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Messages
1,882
Points
2,000
Kakke

Kakke

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2010
1,882 2,000
[h=2]Monday, November 26, 2012[/h][h=3][/h]Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 36 wa Baraza la Utawala la ARIPO, ukifanyika Zanzibar kwa mara ya kwanza, ufunguzi huo umefanyika katika hoteli ya Zanzibar Beach Resort Zanzibar.Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Abubakar Khamis Bakar, akizungumza kuhusiana na mkutano wa ARIPO, unaofanyika Zanzibar kwa mara ya kwanza, kabla ya kumkaribisha Makamu wa Kwanza wa Rais kuufungua Mkutano huo katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.

Mkurugenzi Mkuu wa ARIPO Mr. G.H.Sibanda, akizumza katika mkutano huo.​
.
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa WIPO, Mri Geoffrey Onyeama, akisoma taarifa ya WIPO, katika mkutano wa 36 ARIPO, katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Mazizini.Viongozi wa meza kuu wakimsikiliza Mkuu wa OAPI akizungumza katika mkutano huo.

Mkurugenzi Mkuu wa OAPI Mr. Paulin Edou Edou, akitowa maelezo ya Taasisi yake katika mkutano wa 36 wa ARIPO wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Resort.

Naibu Mrajisi Mkuu wa Ghana Mrs. Jemima Oware, akitzungumza katika mkutano huo akielezea machache ya ARIPO, wakati wa ufunguzi wake uliofanyika katika ukumbi wa Haoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Mshiriki wa Mkutano wa ARIPO akifuatilia kwa makini mijadala katika mkutano huo.

Wajumbe wa Mkutano wa 36 wa ARIPO,wakimsikiliza Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad, akifunguwa mkutano huo katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar, ikiwa ni mara ya kwanza kwa mkutano huu kufanyika katika Visiwa vya Zanzibar na kuitangaza Zanzibar katika Utalii kwa Wajumbe wa Mkutano huo.

Mrajisi Mkuu wa Zanzibar Abdalla Waziri akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo uliofunguliwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif.


Wajumbe wa Mkutano wa 36, wa ARIPO, wakimsikiliza Mrajisi Mkuu wa Zanzibar Abdalla Waziri, akizungumza machache kuhusiana na mkutano huo wakati wa ufunguzi uliofanyika katika hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini,

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa Mkutano wa 36 wa (ARIPO ) unaofanyika katika Hoteli ya Kitalii ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.​


Imewekwa na MAPARA at 3:10 PM
 
KING COBRA

KING COBRA

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Messages
2,783
Points
1,225
KING COBRA

KING COBRA

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2011
2,783 1,225
Maalim Seif Sharif ni kundi la Uamusho
 

Forum statistics

Threads 1,402,724
Members 530,976
Posts 34,403,460
Top