Bado natafakari kauli ya bosi wa takukuru "anayejifanya ana uchungu na nchi hii alete ushahidi"

kinyanyamba

Member
Apr 10, 2012
96
13
kwa kweli bado natafakari kauli aliyoitoa bosi wa TAKUKURU juzi kati kwamba "anayejifanya ana uchungu na nchi hii kuhusu tuhuma za mabilioni ya uswisi apeleke ushahidi ili wafanyie kazi". kwakweli kauli kama hizi zinaashiria kwamba sasa nchi haina mwenyewe maana polisi anataka apelekewe muhalifu?, tena ikiwa unajifanya una uchungu na nchi? so kama huna uchungu na nchi POTEZEA. DUUUUUUUUUUUUU
 
Mkuu achana nayo hiyo serikali ya magamba. Nothing lasts forever. When CHADEMA takes power all corrupt leaders will go to jail. That's where they belong

Dr. Slaa I hope will use the UN's program for STOLEN ASSETS RECOVERY
 
kwa kweli bado natafakari kauli aliyoitoa bosi wa TAKUKURU juzi kati kwamba "anayejifanya ana uchungu na nchi hii kuhusu tuhuma za mabilioni ya uswisi apeleke ushahidi ili wafanyie kazi". kwakweli kauli kama hizi zinaashiria kwamba sasa nchi haina mwenyewe maana polisi anataka apelekewe muhalifu?, tena ikiwa unajifanya una uchungu na nchi? so kama huna uchungu na nchi POTEZEA. DUUUUUUUUUUUUU

Hapo kwenye nyekundu ni dharau kubwa sana, hii mi-m^*b*w* imeishatudharau sana,lakini iko siku yao
 
Back
Top Bottom