Ndugu Lowassa, Zitto, na Wengine:
Hili suala ya elimu ya bure naona linajirudiarudia. Lakini umefika wakati sisi wananchi tuingilie kati na kuanza kudai elimu na huduma zingine zitakazobadilisha...
Zanzibar's communities Uk & USA
Amnesty International
1 Easton Street
London
WC1X ODW
UK
REF: HUMAN RIGHTS ABUSE IN ZANZIBAR ISLANDRecent developments in Zanzibar show that the authorities there...
Baada ya kusoma habari hii toka gazeti la mwananchi nimegundua kuwa vigogo wa chadema hawaelewani na kuna mgogoro mkubwa unaofukuta chini kwa chini!
habari zaidi soma hapa gazeti la Mwananchi...
Habari wana Jf,
Nina taarifa ya kuhuzunisha KIFO CHA MPIGANAJI WA CHADEMA wilaya ya Dodoma ndg E .Mgawe. CHADEMA wamepoteza JEMBE la UKWELI.
R.I.P E. Mgawe.
Saturday, November 24, 2012
Kwa niaba ya Uongozi wa Tanzaseattle Ndugu Amin Dola. (Public Relations.
Tanzaseattle/Mayor wa Seattle. 206 422 3050
Tunawatangazia waTanzania wote na...
Baada ya ziara za katibu mkuu wa ccm kumalizika kwa awamu hii ya kwanza, sasa tufanye tathmini kwa kifupi.
Kwanza nilishangaa kuona kinana kuanza ziara mara tu alipoteuliwa bila kufanya upembuzi...
Chama cha Siasa cha NCCR MAGEOUZI kimejikuta kikiwa katika hali ya kutoeleweka baada ya kuilalamikia Rushwa iliyopo katika chama Mwenzake CCM kwa kusema kuwa itawashugulikia viongozi wake...
ITV leo asubuhi kuna mgeni wamemualika anazungumzia mambo ya mapunduzi ya uchumi, kila baada ya sekunde anamtaja Kinana eti ni mwanamapinduziwa uchumi kwa kuwa amezungumzia tu kufufua kiwanda cha...
Chama Cha Mafisadi-CCM bado kimedhihirisha kuwa kinaendelea kutapatapa na kuweweseka kwa kuandamwa na jinamizi la RUSHWA na UFISADI.
Kwa watu makini katika nchi hii wanaweza kubaini jambo hili...
Katika hali inayoonekana Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa anatikisa anga la siasa za Tanzania jana wabaya wake wamemzushia kifo.
Katika SMS zilizokuwa zinasambazwa kwa watu mbalimbali...
Baada ya uteuzi wa Sekretariati mpya ya Chama Twawala-CCM na Kinana kuibuka kama Katibu Mkuu mpya wa CCM kwa mara ya kwanza watu wamesifia sana uteuzi huo kutoka kila kona ya nchi hii hasa...
HII SI HAKI MTU KAIBA MABILION YA FEDHA ET ANALIPA FIDIA YA MIL 5... UJINGA HUU "Jopo la mahakimu watatu waliokuwa wakiisikiliza kesi ya wizi wa Sh3.8 bilioni za EPA linaloongozwa na Jaji Samuel...
Napenda kutoa ushauri wa bure kwa watu wanaopenda kujiropokea hasa pale wanapohama chama kimoja kwenda kingine kwa kauli wanazotoa na kujisafisha mbele ya chama wanachohamia kwa sababu wengi wao...
Imekuwa ni kawaida kabisa kwa chombo hiki cha habari kuhodhiwa na kufanywa mali ya CCM.Hiki ni chombo cha umma na mmiliki wake ni Watanzania bila kujali itikadi za kivyama.Lakini cha ajabu...
Naomba utuambie kwa kifupi tu ni lini barabara za lami zifuatazo zinaanza kujengwa kama ulivyoainisha kwenye bajeti ya 2012/13?
1. Mbezi Luis-Goba-Tangi mbovu
2.Goba-Wazo Hill
3. Junction ya...
LA mgambo limelia wasomaji wangu natumaini nyote hamjambo na mnaendelea na majukumu yenu kama kawaida. Tunakutana tena Jumapili ya leo kujadiliana mambo mbalimbali ambayo yametokea ndani ya...
Naam, kila kona ya mtaa matangazo ni makubwa, Jana baada ya Bw. Kagasheki kuhutubia wananchi hapa Bukoba mjini leo ni Dr. wa Ukweli Dr. Slaa. Watu wameshaanza kuelekea viwanja vya Uhuru kwa ajili...
MAPOKEZI YA KINANA NA WENZIE NI "ZE COMMEDY"
Nimekuwa nikiwafuatilia jamaa, mtwara walipokelewa kwa " misonyo", wakajaribu Tandahimba wakafeli, wamekwenda Rukwa hola.....
Nimewaona tena Geita...
Katika kijiji cha Nyamwage wilaya ya Rufiji, kijiji hiki kipo barabara ya kuelekea Lindi, na ile round about ya kuelekea ofisini kwa DC utete MKOA WA PWANI.
KADI ZIPATAZO 150 NA BENDERA ZA...
Mheshimiwa Faustine Ndugulile na Fina Mango baada ya kipindi cha Makutano, Magic FM
Mheshimiwa Ndugulile akisikiliza swali toka kwa Muendeshaji wa kipindi cha Makutano Fina Mango
Mbunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.