Tathmini ya kisiasa: Hali ya CHADEMA ikoje jimboni kwako?

MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
7,056
Likes
42
Points
145
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
7,056 42 145
Wakuu, nadhani tuanze kupima upepo wa kisiasa wa CHADEMA ukoje majimboni mwetu.

Je kama uchaguzi ungefanyika leo CHADEMA ingeshinda jimboni kwako leo?.

Kwa kuanzia jimboni kwangu Iramba mashariki dalili zinaonesha dhahiri ya kwamba kama uchaguzi ungefanyika leo CHADEMA ingeshinda katika nafasi ya ubunge kutokana na kupwaya sana kwa mbunge aliyepo madarakani, Salome D Mwambu [ CCM ].

Mbunge wa sasa ameshindwa kutatua kero mbalimbali zinazowakabili wananchi kama tatizo sugu la maji, barabara mbovu, huduma mbovu za afya, ukosefu wa walimu na vitabu mashuleni, nk. Mbunge wa sasa haongei na wananchi, ni mbaguzi wa kimaeneo na pia ni mgonjwa. Hajatimiza ahadi zake hata moja.

Katika nafasi ya udiwani na urais bado shughuli ni pevu kwani tathimini inaonyesha CCM na CHADEMA watagawana kura kwa usawa.

Je hali ikoje jimboni kwako kama uchaguzi ungefanyika leo?
 
Heavy equipment

Heavy equipment

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
958
Likes
282
Points
80
Heavy equipment

Heavy equipment

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
958 282 80
Naishi mtwara, CHADEMA tupo ila tunaangushwa na hawa wazee wa kahawa na kashata na wamama wanaopenda kanga
 
Communist

Communist

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Messages
5,382
Likes
42
Points
135
Communist

Communist

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2012
5,382 42 135
Ubungo; tunamalizia mbali mabakibaki ya CCM. Hawana kitu, sijui kama watasimamisha mtu huku.
 
WABHEJASANA

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Messages
4,225
Likes
8
Points
135
Age
40
WABHEJASANA

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2011
4,225 8 135
Kwanza kaa ukitambua kwamba kama ni ugonjwa kila mmoja anaweza kuugua ukiwemo na wewe,kwa hiyo usimnyanyapae kwa hili lake la ugonjwa,pili suala la ujenzi wa barabara na hayo mengine meengi uliyoyaleta sio kazi ya Mbunge,ni kazi ya serikali,nambie mbunge ambaye ameweza kuwajengea wananchi barabara hata kilomita tano tu kwa pesa zake,kwa hiyo huwezi kufanya tathmini kubwa kama hiyo kwa hivi vigezo ulivyovitoa,nenda kajipange urudi humu ndani vizuri.
 
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
7,056
Likes
42
Points
145
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
7,056 42 145
Kwanza kaa ukitambua kwamba kama ni ugonjwa kila mmoja anaweza kuugua ukiwemo na wewe,kwa hiyo usimnyanyapae kwa hili lake la ugonjwa,pili suala la ujenzi wa barabara na hayo mengine meengi uliyoyaleta sio kazi ya Mbunge,ni kazi ya serikali,nambie mbunge ambaye ameweza kuwajengea wananchi barabara hata kilomita tano tu kwa pesa zake,kwa hiyo huwezi kufanya tathmini kubwa kama hiyo kwa hivi vigezo ulivyovitoa,nenda kajipange urudi humu ndani vizuri.
Ameshindwa kuishauri na kuisimamia serikali itekeleze ahadi zake alizotuahidi kama kutatua kero ya maji, barabara, elimu, nk. Umenielewa?
 
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
7,056
Likes
42
Points
145
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
7,056 42 145
Ubungo; tunamalizia mbali mabakibaki ya CCM. Hawana kitu, sijui kama watasimamisha mtu huku.
Tuthibitishie maneno yako. Inamaana Mnyika kazitekeleza ahadi zake kwa ufasaha au ni kwamba wananchi hawaitaki tu CCM?
 
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
16,175
Likes
3,954
Points
280
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
16,175 3,954 280
Kutoka Sikonge-CDM inahimarika sana tokea kushinda udiwani-ipole,vijana wanachukua kadi,magwanda n.k... heko CDM!
 
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
7,056
Likes
42
Points
145
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
7,056 42 145
Naishi mtwara, CHADEMA tupo ila tunaangushwa na hawa wazee wa kahawa na kashata na wamama wanaopenda kanga
Sasa wewe unashauri kipi kifanyike? Je M4C haikueleweka ilipokuja huko au hakuna ufuatiliaje?
 
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
7,056
Likes
42
Points
145
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
7,056 42 145
Kutoka Sikonge-CDM inahimarika sana tokea kushinda udiwani-ipole,vijana wanachukua kadi,magwanda n.k... heko CDM!
Ahsante kwa taarifa hii mkuu. Nimefarijika sana na chembechembe za mabadiliko zinazoanza kujitokeza huko Tabora hasa ikizingatiwa Tabora ilikuwa ngome kuu ya CCM.
 
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
56,691
Likes
37,256
Points
280
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
56,691 37,256 280
Kwa hapa Dar, Jimbo la Kawe CDM bado iko juu. Japo kazi ya ziada inatakiwa ifanyike CCM hawachelewi kuchakachua kama uchaguzi uliopita.

Kule Mkoani: Jimbo la ROMBO linafahamika kuwa ni nguzo kuu ya CDM. Hata kipindi kile cha Mrema na NCCR yake, CCM na dola yake bado Rombo ilimchagua mbunge wa CDM bwana Salakana.
 
Communist

Communist

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Messages
5,382
Likes
42
Points
135
Communist

Communist

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2012
5,382 42 135
Tuthibitishie maneno yako. Inamaana Mnyika kazitekeleza ahadi zake kwa ufasaha au ni kwamba wananchi hawaitaki tu CCM?
Nenda pale Ubungo Msewe ukaulize wananchi, ua Baruti. Na kuanzia mwezi ujao, subiri uone rangi ya ubungo. Kaangalie matawi ya msingi yanavyojengwa. Tumechukua mabalozi kibao wa CCM. Nenda mwenyewe, au piga simu kwa Mbepela.
 
Avanti

Avanti

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2010
Messages
1,209
Likes
4
Points
135
Avanti

Avanti

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2010
1,209 4 135
Wakuu, nadhani tuanze kupima upepo wa kisiasa wa CHADEMA ukoje majimboni mwetu. Je kama uchaguzi ungefanyika leo CHADEMA ingeshinda jimboni kwako leo?. Kwa kuanzia jimboni kwangu Iramba mashariki dalili zinaonesha dhahiri ya kwamba kama uchaguzi ungefanyika leo CHADEMA ingeshinda katika nafasi ya ubunge kutokana na kupwaya sana kwa mbunge aliyepo madarakani, Salome D Mwambu [ CCM ]. Mbunge wa sasa ameshindwa kutatua kero mbalimbali zinazowakabili wananchi kama tatizo sugu la maji, barabara mbovu, huduma mbovu za afya, ukosefu wa walimu na vitabu mashuleni, nk. Mbunge wa sasa haongei na wananchi, ni mbaguzi wa kimaeneo na pia ni mgonjwa. Hajatimiza ahadi zake hata moja. Katika nafasi ya udiwani na urais bado shughuli ni pevu kwani tathimini inaonyesha CCM na CHADEMA watagawana kura kwa usawa. Je hali ikoje jimboni kwako kama uchaguzi ungefanyika leo?
We unamwangalia Salome Mwambu ama CCM kwa ujumla wake kwa nafasi ya ubunge? Msindai na wengineo watakaotokeza umewasahau?
 
J

JBK

Member
Joined
Aug 17, 2012
Messages
68
Likes
4
Points
15
J

JBK

Member
Joined Aug 17, 2012
68 4 15
Wakuu, nadhani tuanze
kupima upepo wa kisiasa wa CHADEMA ukoje majimboni mwetu. Je kama
uchaguzi ungefanyika leo CHADEMA ingeshinda jimboni kwako leo?. Kwa
kuanzia jimboni kwangu Iramba mashariki dalili zinaonesha dhahiri ya
kwamba kama uchaguzi ungefanyika leo CHADEMA ingeshinda katika nafasi ya
ubunge kutokana na kupwaya sana kwa mbunge aliyepo madarakani, Salome D
Mwambu [ CCM ]. Mbunge wa sasa ameshindwa kutatua kero mbalimbali
zinazowakabili wananchi kama tatizo sugu la maji, barabara mbovu, huduma
mbovu za afya, ukosefu wa walimu na vitabu mashuleni, nk. Mbunge wa
sasa haongei na wananchi, ni mbaguzi wa kimaeneo na pia ni mgonjwa.
Hajatimiza ahadi zake hata moja. Katika nafasi ya udiwani na urais bado
shughuli ni pevu kwani tathimini inaonyesha CCM na CHADEMA watagawana
kura kwa usawa. Je hali ikoje jimboni kwako kama uchaguzi ungefanyika
leo?
katika jimbo la Tabora manispaa mambo ni mazuri kwani baraza la vijana(BAVICHA) wakishirikiana na vijana wa saut tabora wamefanya operesheni katika kata 23 za manispaa na kubakiza kata 3 tu,ambazo muda si mrefu zitamaliziwa
 
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
7,056
Likes
42
Points
145
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
7,056 42 145
We unamwangalia Salome Mwambu ama CCM kwa ujumla wake kwa nafasi ya ubunge? Msindai na wengineo watakaotokeza umewasahau?
Nimemwangalia Salome kama kielelezo cha CCM jimboni. Serikali ya CCM imeshindwa kutekeleza ahadi zake. Mbunge wake amepoteza popularity jimboni. Kuhusu Msindai, Hollela, Dr Msengi na wengineo pia hawakubaliki kwa wananchi. Msindai alishaipata nafasi ya kuwatumikia wananchi kwa awamu tatu lakini hakuna cha maana alicho-deliver. Dr Msengi na Hollela wamegombea mara kadhaa na wananchi wamewakataa. Hawakubaliki. In general CCM ipo ICU Iramba mashariki.
 
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
7,056
Likes
42
Points
145
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
7,056 42 145
katika jimbo la Tabora manispaa mambo ni mazuri kwani baraza la vijana(BAVICHA) wakishirikiana na vijana wa saut tabora wamefanya operesheni katika kata 23 za manispaa na kubakiza kata 3 tu,ambazo muda si mrefu zitamaliziwa
Tutajie japo kidogo mafanikio ya kichama yaliyopatikana kutokana na hizo operation. Je uongozi wa CHADEMA kwenye manispaa ya Tabora upo imara?
 
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
7,056
Likes
42
Points
145
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
7,056 42 145
Nenda pale Ubungo Msewe ukaulize wananchi, ua Baruti. Na kuanzia mwezi ujao, subiri uone rangi ya ubungo. Kaangalie matawi ya msingi yanavyojengwa. Tumechukua mabalozi kibao wa CCM. Nenda mwenyewe, au piga simu kwa Mbepela.
Nimekupata mkuu. Vipi Hawa Ghasia hajaanza kujipanga kwa ajili ya uchaguzi ujao?
 
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
7,056
Likes
42
Points
145
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
7,056 42 145
Kwa hapa Dar, Jimbo la Kawe CDM bado iko juu. Japo kazi ya ziada inatakiwa ifanyike CCM hawachelewi kuchakachua kama uchaguzi uliopita.

Kule Mkoani: Jimbo la ROMBO linafahamika kuwa ni nguzo kuu ya CDM. Hata kipindi kile cha Mrema na NCCR yake, CCM na dola yake bado Rombo ilimchagua mbunge wa CDM bwana Salakana.
Ahsante kwa taarifa mkuu. Je unaweza kutuambia Halima Mdee ametekeleza ahadi zake kwa kiasi gani huko Kawe? Je wananchi wana maoni gani?. Kwa upande wa Rombo sina mashaka na wana Rombo kwa sababu ni wana mabadiliko wa muda mrefu. Pia wana uelewa sana.
 
Expedito Mduda

Expedito Mduda

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Messages
375
Likes
30
Points
45
Expedito Mduda

Expedito Mduda

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2009
375 30 45
Mimi huwa nasikitika sana kuona Watanzania wenzangu hawaelewi kabisa viongozi wao wanatakiwa kuwajibika kwa lipi. Kama mtu bado haelewi kwamba ubovu wa barabara ni kushindwa kwa mbunge, tumekwisha. Kama barabara ni mbovu mbunge anawajibika moja kwa moja maana ameshindwa kuisimamia serikali kujenga hiyo barabara. Huyo anafikiri kazi ya mbunge ni kugawa kanga, kofia na Tsh 5000. TUBADILIKE JAMANI
 
Fredrick Sanga

Fredrick Sanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Messages
3,149
Likes
19
Points
135
Fredrick Sanga

Fredrick Sanga

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2011
3,149 19 135
Nimekupata mkuu. Vipi Hawa Ghasia hajaanza kujipanga kwa ajili ya uchaguzi ujao?
Hawa ngumbi mkuu, aaaa huyo atafute vijijini, labda udiwani, kiwango chake kwa ubunge wa ubungo mmmm? Lile jimbo kichwa kweli.
 
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
7,056
Likes
42
Points
145
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
7,056 42 145
Hawa ngumbi mkuu, aaaa huyo atafute vijijini, labda udiwani, kiwango chake kwa ubunge wa ubungo mmmm? Lile jimbo kichwa kweli.
Ahsante mkuu kwa correction. Nilikuwa namaanisha Hawa Ng'umbi. Mshindani wa Mnyika 2010. Kero ya maji Ubungo Mnyika ameitatua kwa kiasi gani?
 
Forum statistics

Threads 1,238,675
Members 476,083
Posts 29,326,218