• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

CCM imekosa umadhubuti,Rais ajaye ni lazima atoke nje ya CCM;

T

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Messages
1,374
Points
1,195
T

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2012
1,374 1,195
Hayati Mwl.JK Nyerere alipata kuyasema haya kwa nyakati tofauti, tena kwa msisitizo'Ndani ya CCM imara Rais hawezi kutoka nje ya CCM, na Ndani ya CCM dhaifu Rais ni lazima atoke nje ya CCM yametimia na wala hakuna sababu ya kumung'unya maneno,

kama Mwl. angekuwa hai hivi sasa, na kama maigizo haya ya viongozi wa ccm yangemshinda mathalani kuyatamka mafisadi,kushindwa kuyashughulikia mafisadi,kuyageuza mafisadi kuwa masemaji ya chama jukwaani, kuendelea kuwa na viongozi wanafiki ndani ya CCM,

kuendelea kuwa na ubaguzi katika uteuzi wa viongozi wa kada mbalimbali na mengine mengi hakika Mwl angesema, 'CCM ILIASISIWA NA WATU WALIOKUWA WANATANU NA ASP, KAMWE HATUWEZI KUACHA NCHI HII IONGOZWE NA MBWA,TUTAWATAFUTA NJE YA CCM WATUONGOZE KAMA MBWA NDANI YA CCM WATAONGEZEKA'. BARABARA.

K
aribuni Tuchangie falsafa hii ya Mwl JKN.
 
B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Messages
763
Points
170
B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2012
763 170
Ccm simbaya mkuu ila viongozi ndi hovyo kwa mantiki hii 2015 cdm wanakura yangu na hapa nilipo nimetengeneza kura 672 za cdm za uraisi
 
T

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Messages
1,374
Points
1,195
T

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2012
1,374 1,195
Ccm simbaya mkuu ila viongozi ndi hovyo kwa mantiki hii 2015 cdm wanakura yangu na hapa nilipo nimetengeneza kura 672 za cdm za uraisi
Mkuu huwezi kulaumu chama bila kulaumu mechanism yake,hivyo umadhubui finyu wa chama unatokana na umadhubuti finyu wa viongozi[mechanism]wake.ALIYEKO KWENYE MADARAKA NI MROHO WA MADARAKA.
 
S

Savannah

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
239
Points
0
S

Savannah

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
239 0
CCM Imekwisha haribika. Na hii ni kutokana na utatibu wa CCM unaotumika kuwapata viongozi wa ngazi mbalimbali katika chama. Kwa ufupi hauna demokrasi ya kweli au inayofaa. Chama sasa hivi kinaendeshwa na genge la mafisadi. Kwa hiyo hakifai.
 
T

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
15,346
Points
1,500
T

thatha

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
15,346 1,500
Hayati Mwl.JK Nyerere alipata kuyasema haya kwa nyakati tofauti, tena kwa msisitizo'Ndani ya CCM imara Rais hawezi kutoka nje ya CCM, na Ndani ya CCM dhaifu Rais ni lazima atoke nje ya CCM yametimia na wala hakuna sababu ya kumung'unya maneno,

kama Mwl. angekuwa hai hivi sasa, na kama maigizo haya ya viongozi wa ccm yangemshinda mathalani kuyatamka mafisadi,kushindwa kuyashughulikia mafisadi,kuyageuza mafisadi kuwa masemaji ya chama jukwaani, kuendelea kuwa na viongozi wanafiki ndani ya CCM,

kuendelea kuwa na ubaguzi katika uteuzi wa viongozi wa kada mbalimbali na mengine mengi hakika Mwl angesema, 'CCM ILIASISIWA NA WATU WALIOKUWA WANATANU NA ASP, KAMWE HATUWEZI KUACHA NCHI HII IONGOZWE NA MBWA,TUTAWATAFUTA NJE YA CCM WATUONGOZE KAMA MBWA NDANI YA CCM WATAONGEZEKA'. BARABARA.

K
aribuni Tuchangie falsafa hii ya Mwl JKN.
Umeongeza chumvi tu kwa sababu zako, Hakuna siku nyerere alisema rais atatoka nje ya CCM.
 
T

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
15,346
Points
1,500
T

thatha

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
15,346 1,500
Ccm simbaya mkuu ila viongozi ndi hovyo kwa mantiki hii 2015 cdm wanakura yangu na hapa nilipo nimetengeneza kura 672 za cdm za uraisi
BORA wewe angalau umesema kitu kuliko mwenye thread hii. CCM bado ni chama imara na 2015 rais bado ni humo humo atatoka President tena wa nguvu mpka CDM wenyewe watapagawa.
 
T

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
15,346
Points
1,500
T

thatha

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
15,346 1,500
CCM Imekwisha haribika. Na hii ni kutokana na utatibu wa CCM unaotumika kuwapata viongozi wa ngazi mbalimbali katika chama. Kwa ufupi hauna demokrasi ya kweli au inayofaa. Chama sasa hivi kinaendeshwa na genge la mafisadi. Kwa hiyo hakifai.
Haya ni maneno ya mfa maji, utaratibu mbaya wa kuwapata viongozi unakuhusu nini? si ungefurahia kwa sababu inawapa nafasi wapinzani kujipatia viongozi makini? Kweli utaratibu wa demokrasia ya CCM unawachanganya sana wapinzani, mtabaki kulalamika tu.
 
Ng'azagala

Ng'azagala

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2008
Messages
1,287
Points
1,225
Ng'azagala

Ng'azagala

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2008
1,287 1,225
CCM Imekwisha haribika. Na hii ni kutokana na utatibu wa CCM unaotumika kuwapata viongozi wa ngazi mbalimbali katika chama. Kwa ufupi hauna demokrasi ya kweli au inayofaa. Chama sasa hivi kinaendeshwa na genge la mafisadi. Kwa hiyo hakifai.
Ok hebu tuambie ni chama gani chenye demokrasia ya kweli ya kuwapata viongozi wake? I think CCM is a lot better huko upinzani ukitangaza kugombea nafasi fulani eti unatishiwa kwamba utaua chama, hiyo ndiyo demokrasia?
nadhani CCM inamatatizo yake lakini hili la kupata uongozi wanajitahidi angalau viongozi wanabadilika badilika kuliko oppositions ambako mpaka wazee fulani wakubali
 
Forum statistics

Threads 1,404,699
Members 531,700
Posts 34,461,986
Top