Mwezi septemba mwaka huu nilipata fursa ya kuzungumza na moja ya mtu maarufu ndani ya CDM kuhusu mambo mbalimbali ya kisiasa na kijamii na moja ya maneno yake yaliyonikosha sana The man is...
VYAMA VYA UPINZANI WATCHOUT, CCM sasa wamebadilisha mfumo wa propaganda, sasa wanatumia mfumo ujulikanao kama POLITICAL STATUS, yaani kila mwenye nguvu katika chama au serikali yao anatoa tamko...
Mkutano mkuu wa CCM ulioisha hivi karibuni, Kizota, Dodoma umebadili mwelekeo wa siasa za Bongo huku CHADEMA wakizidi kuweweseka na kupoteza fursa ya kuvutia watanzania makini. Safu mpya ya...
Kwa wana JF wanaCCM tu!!!.
Baada ya kuona namna uongo na ujasiri wa Mh. katibu wa itikadi na uenezi (Nape) anavyotunga stori isiyo na manufaa kwa watz lakini kwa CCM ni mtaji mkubwa, nimeamua...
World Bank walitoa miliono 200 ili kujenga mifereji na kuweka changarawe barabara ya salasala kwa Babu kutoka IPTL mpaka inapoungana na barabara ya lami Salasala kwa Mboma, lakini kilichofanyika...
Kuna habari kuwa kutokana na document ambayo mlalamikaji jimbo la kawe kuhusu kesi ya ubunge ameiandaa na kuiwasilisha mahakamani namna ilivyoandaliwa, wachunguzi wa mambo ya siasa wanasema HM...
Wanabodi Asalaam Aleykum! Kasi ya ajabu inayofanywa na mkoa maalumu wa CCM wa vyuo vikuu ni ya kutisha.Kazi hii inaratibiwa na kikundi kilichohasi TAHLISO kiitwacho Uplink...
Maoni leo asubuhi WELEZO: Waliotaka Zanzibar iwe na mamlaka kamili kitaifa na kimataifa na kisha kuwa na Muungano wa Mkataba kati yake na Tanganyika ni 49; Waliotaka muundo wa sasa wa Muungano wa...
Jamani nipo curious kujua huyu mwandishi wa gazeti la raiamwema anaejiita msomajraia.
Ni nani?
Na kwa nini gazeti hilo limemruhusu kuandika makala bila kufahamika jina lake kamili na uzoefu wake...
TANZANIA inaelekea kushindwa kufikia Maendeleo ya Malengo ya Milenia (MDGs) ya kupunguza vifo vya akina mama wakati wa uzazi ifikapo mwaka 2015. Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa jana na Mtaalamu...
Written by Zanzibar Moja // 05/12/2012 // Habari, Vidio // 1 Comment
https://www.jamiiforums.com/newthread.php?do=newthread&f=6
Bonyeza vidio
Aliyekuwa Waziri asiye wizara maalum kwenye...
kama Nimekosea hapo mtanisahihisha.
Rais Barack Obama,amekaa ikulu kwake miaka 4,Amesafiri safari 32,
Hayati Baba wa taifa,amekaa ikulu miaka 25,amesafiri safari 68.
Rais Wa Sasa wa...
Rushwa si lazima uitoe mwenyewe bali mtu binafsi anaweza kutoa rushwa ili flani afanikiwe.
Kwa njia moja au nyigine kuna wana CCM waliojitolea kutoa rushwa au vipepe rushwa kama walivyo ibatiza...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kwa niaba ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) natoa mwito kwa watumishi wa umma kote nchini kupuuza maagizo yaliyotolewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Ndiyo Wakuu, heshima kwenu!
Baada ya Kamanda Wenje, mbunge wa Nyamagana kuitikisa Geita katika mkutano mkubwa uliofanyika katika uwanja wa magereza 1.12.2012 pamoja na mafanikio yake kama...
Malawi's late leader Bingu wa Mutharika wrote Tanzania in 2005 over the need to reaffirm boundaries with Malawi after ‘small conflicts' were reported on Lake Malawi, President Joyce Banda...
Rais Jakaya Kikwete
The then CCM presidential flag seeker, Jakaya Mrisho Kikwete, in 2005 nominations acceptance speech made a rare revelation of how the "Kikwete project" was hatched and...
Mkakati umeanza rasmi wakuhakikisha ole milya anarudi ccm.mkakatu huu umepagwa na kuratibiwa na lowasa akishirikiana na kinana.
Swali ni je ole milya atakubali?
Ikumbukwe kuwa aliapishwa na...
Ndugu watanzania wakatitulionao ni wakati mzurisana wakufanyamarekebisho ya katiba ya nchi yetu, lakini vilele unawezekana ukawa wakati mbaya sana kama hatutautumia vyema ipasavyo, Maoni yakatiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.