Unafiki wa Mangula na Kinana

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,451
Rushwa si lazima uitoe mwenyewe bali mtu binafsi anaweza kutoa rushwa ili flani afanikiwe.

Kwa njia moja au nyigine kuna wana CCM waliojitolea kutoa rushwa au vipepe rushwa kama walivyo ibatiza wakati wa uchaguzi wao wa ndani ili mangula na kinana wapite, na jambo hili mhusika anaweza kulifahamu. Au unaweza kuwa ni mpango wao kwa maana unafiki ndiyo jadi yao.

Sasa unapoigiza kuipinga rushwa wakati wewe mwenyewe ulitokana na mfumo rushwa au ulitoa na ulitolewa vipeperushwa, utakuwa huna tofauti na muuwaji unae kula na kunywa nawewe huku akijuwa baadae atakuuwa.

Huu ni unafiki wa hali ya juu,watanzania yatupasa tuwaogope kuliko ukoma.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom