Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,401
VYAMA VYA UPINZANI WATCHOUT, CCM sasa wamebadilisha mfumo wa propaganda, sasa wanatumia mfumo ujulikanao kama POLITICAL STATUS, yaani kila mwenye nguvu katika chama au serikali yao anatoa tamko lake kwa wakati tofauti na wengine wanalisapoti kwa wakatitofauti na kuonekana kilichosemwa ni kweli hata kama kiliasisiwa naupinzani. Tatizo la upinzani ni moja tu, wenye nguvu hawatakiwi yaaniPOLITICAL STATUSinakuwa kwa mtu mmoja au wawili, hivyo inakuwa rahisi kuzidiwa nguvu naupande wa kwanza, ndiyo maana CCM wanaonekana wana nguvu kwa style hiilakini kiukweli ni wepesi ila Strategy zinatuangusha upinzani. Bilakujali level ya uongozi wapinzani anzeni kushirikisha ngazi za chini zauongozi ili mpate nguvu ya kupiku ujinga wa CCM.
KISANDU dp.
KISANDU dp.