Bingu wa Mutharika wrote Tanzania over Lake Malawi boundaries

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,000
Malawi's late leader Bingu wa Mutharika wrote Tanzania in 2005 over the need to reaffirm boundaries with Malawi after ‘small conflicts' were reported on Lake Malawi, President Joyce Banda disclosed on Sunday.

Banda said this at a news briefing at New State House in Lilongwe following her meeting with Tanzanian president Jakaya Kikwete on the Lake Malawi dispute. She said Kikwete attributed the recent warmongering to sensationalisation in the Tanzanian media and opposition politicians.

Said Banda: "The President [of Tanzania] indicated that our late president wrote to him in 2005 and he mentioned the dates. We should have the copy in our office. People were complaining of arrests and intimidation, so he wanted the countries to reaffirm their borders."

President Banda said Malawi maintains her position that the lake belongs to the country and Tanzanian founding president Julius Nyerere made the same position clear in his address to the then Organisation of African Unity (OAU)-a predecessor of the African Union (AU). President Benjamin Mkapa also reaffirmed the same position, said Banda.

"The president said he is the commander-in-chief and his Cabinet has not yet discussed anything. We will leave [this] to the technical teams starting [their discussions] tomorrow [Wednesday] in Mzuzu. He assured me to assure Malawians that nothing reported in the media is true about the war," said Banda.

The President, flanked by Vice-President Khumbo Kachali, Foreign Affairs Minister Ephraim Mganda Chiume and Information Minister Moses Kunkuyu, said the current source of the Tanzanian claims could not be ascertained, but nobody has mentioned oil exploration so far.

"The president did not raise the issue of oil exploration, the same with me as we are talking of the boundary. In terms of the oil exploration licence, we are reviewing the same here as the media reported of bribes. We don't know whether they were tendered, but nobody has spoken about the oil exploration," said Banda. She reiterated that Malawi's position is to resolve the matter diplomatically through dialogue and it is early to bring in other countries such as colonial masters Britain and Germany or organisations such as Sadc to mediate in the conflict.

Banda, who thanked local media and politicians for being patriotic over the matter, said she had assumed the position of deputy SADC chairperson after being elected unanimously and Kikwete is now chairperson of the Politics, Defence and Security organ of Sadc, which would entail that the two work for peace.
 

Sting007

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
274
225
Mkuu umeongea, dawa yao inakuja, hawa jamaa kwa kiasi kikubwa wanaitegemea Tanzania kuingiza bidhaa zao nchini kwao kupitia mipaka ya nchi yetu, sasa nawashangaa wanakalia tawi kavu, waache waendelee kutuchokoza.... Tutawapiga.
 

Bangoo

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
5,597
1,195
Grand Master Dulla #Heeh ! Mitusi yote ya nini aisee! Si uandike tu tutakuelewa? Una hasira sana, ukiwa kiongozi utakuwa unatukana ovyo, jadili tu sio lazma utokwe mapovu hivyo!
 
Last edited by a moderator:

Keykey

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
3,250
2,000
Hii habari sio mpya ilishawekwa hapa tukaijadili, weka chanzo tujue kama wame recycle habari au aliyeweka uzi huu ndio ameiona leo.
 

Pharaoh

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
843
250
Jeshi lijipange zaidi ziwa lote la upande wa kazkazi ni la Tanzania
 

Grand Master Dulla

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
411
250
Mi nawalaani mafisadi tu wa nchi hii wakati wenzao wanaangaika namna gani watazisaidia nchi zao wao wanachunguza namna gani wataziibia nchi zao!?!
Mfano mzuri ni huu mgogoro wa malawi huu ni mgogoro mkubwa sana tofauti tunavyoudhania sisi kwanza una mkono wa wazungu pili una mikono ya waafrika wenzetu majirani,wakati sisi tutakuwa tunapigana na malawi ukae ukijua huu mgogoro wa sasa karibuni asili yake ni rwanda na uganda,hivyo tukianzisha tu vita na malawi basi hapo hapo uganda na rwanda zitafanya vyovyote inavyowezekana kuisaidia malawi au hata kutupiga sisi,na lengo lao hasa ni kuiba baadhi ya ardhi yetu mana wao hawana ardhi na waifanye nchi yetu isiwe na serikali imara kama kongo ama ikiwezekana wamweke mtusi mwenzao hapa bongo waingie na kuishi wanavyotaka wao.
 

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,362
2,000
Sheria za mipaka zinajicontradict kwa mipaka ya maziwa..hata hivyo ni vigumu kusema mtu ukifungua mlango wako tu unaingia kwa jirani, haileti maana lazima kuwe na gap btn boundaries zinazocross maji.ingekuwa ni nchi kavu ingeeleweka.
Je ziwa halikupwi na kujaa?
 

saronga

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
909
195
Jeshi lijipange zaidi ziwa lote la upande wa kazkazi ni la Tanzania

Pale sio Anjwani tukiingia kichwa kichwa na hawa wanajeshi wetu waliozoea kudunda raia kila siku tutapokea kipigo cha Mbwa mwizi, ni heri diplomasia ichukue mkondo wake
 

bdo

JF-Expert Member
Nov 20, 2006
5,812
2,000
Kama ningekuwa na uwezo, ningekausha "ziwa (robotatu ya maji ikauke" halafu atuambie mpaka upo wapi?tukishauchora na kuweka bicon narudisha maji
 

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
15,013
2,000
Pale sio Anjwani tukiingia kichwa kichwa na hawa wanajeshi wetu waliozoea kudunda raia kila siku tutapokea kipigo cha Mbwa mwizi, ni heri diplomasia ichukue mkondo wake


Weee ... stop cowardness..... Malawi is a tiny country kama mkoa na weakest military force in Africa....!!! Sisi tunachukua tu Malawi yote in a day..... ww mwoga kabisa...... Hivi unaijua vizuri JWTZ au unaisikia.... Malawi tunapita tu na tunamvua nguo ya ndani huyo mama.....

Hatuwezi katu katu wazawa wa Ziwa nyasa wabakie walione ziwa na wanalolitegemea kwa maisha yao tangia MBINGU NA NCHI Mungu aiunde, leo aje Malaya jimama from nowhere eti anataka ziwa lote, si ana maziwa yake anyonye.......

Tutapiga..... we will swept all flat...!!! We are strongest mbwa hawa...!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom