Upepo wa Kisiasa Wageuka; CCM Juu, CHADEMA Hakieleweki

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,189
Mkutano mkuu wa CCM ulioisha hivi karibuni, Kizota, Dodoma umebadili mwelekeo wa siasa za Bongo huku CHADEMA wakizidi kuweweseka na kupoteza fursa ya kuvutia watanzania makini. Safu mpya ya uongozi ndani ya Sekretaeti ya CCM imerudisha matumaini kwa kasi kubwa miongoni mwa wananchi hivyo wamefikia muafaka kurejea katika mstari na kurudi CCM baada ya kuvunjika moyo na siasa za maji taka ndani ya CHADEMA. Kudhihirisha hayo nisemayo, wiki iliyopita Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Slaa aliifanya ziara aliyoita ya kuimarisha chama mkoani DSM, matokeo yake amezidi kuporomosha CHADEMA katika mkoa husika.
Dalili chache za chama kuporomoka ni hizi:-

1. Mikutano ya Kigamboni ilikosa viongozi wa wilaya hivyo kuishia kwenda kuongea na wavuvi feri
2. Wilayani Kinondoni pamoja ni kuwa yalipo makao makuu ya Chama yalipo; kikao kilichelewa kuanza hadi wajumbe ilibidi wafuatwe majumbani kwao kwa kutumia bodaboda
3. Wafuasi wa Mdee kutoka jimboni Kawe hawakufurahishwa na kitendo cha Dr. Slaa kuponda utendaji wa mbunge wa Kawe huku katika pazia akiweka mazingira ya mchumba wake, Josephine amrithi Mdee 2015 kugombea jimbo la Kawe kwa tiketi ya CHADEMA.

CHADEMA kaeni chini mtafakari namna ya kujikomboa kisiasa, 2014 inakaribia msije mkapata kipigo mkashindwa kujenga hoja kwa wafadhili wenu kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2015
 
Joste

Senior Member
Jun 28, 2009
116
7
Naona kama uchambuzi huh unaukweli sana. Isije ikawa kama CUF, ipo ipo kiruzuku zaidi
 
MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,189
Wewe ni mfuasi wa Chama gani kwanza tukufahamu?

Mie ni mfuatiliaji wa harakati za kisiasa nchini Tanzania, pia mkereketwa wa vyama vya upinzani, mwanzoni nilikipenda CHADEMA;

Hatahivyo siku hizi sina mapenzi kwa CHADEMA kwa vile:

1. Siasa za upendeleo
2. Siasa za Ukanda na Ujimbo
3. Upendeleo ndani ya chama
4. Matumizi mabaya ya ruzuku
5. Kuburuzwa na wafadhili
6. Kitengo cha ustawi wa kanisa
 
THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
14,785
9,623
Nchi ina maajabu hiii,,leo umeamkia wapi??makaburini nini??

Hivi hii zomea zomea inayowakumba mafisadi huioni au huiskii??

Haya tumeskia,subiri 2015 tuone ipi mbivu na ipi mbichi...!!
 
GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,319
305
Ngoja wenyewe wenye chama chao wakushukie kama mvua, kwani ukiisema CDM vibaya hata kama ni kweli wao nikubisha kubisha tu kwa hoja mfu. Kama hili liko wazi kabisa, ngoja uwasikie sasa wafuasi wake watakavyosema. Karibuni wafuasi wa CDM.
 
pembe

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
2,096
662
CDM kuweni waangalifu kwani viongozi walioko madarakani ktk ngazi mbalimbali wengine ni mamluki wanapata posho kwingine wanaendesha siasa kwingine!

Halima wewe pambana tuu hakuna atakayekunyanganya jimbo. Tetea haki za wanajimbo kwani sisi ndio tutakaokupa kura kutokana na utakachotufanyia hadi 2015. Barabara ya Samaki Mbezi Louis iwekwe lami. Barabara za ndani zipigwe greda, zahanati, vituo vya polisi vijengwe. Wana-jimbo wahamasishwe kuhusu usafi. Maji machafu mikocheni ni kero. Fuatilia maeneo ya wazi yasiuzwe yawe ndio sehemu za kujenga zahanati na vituo vidogo vya polisi.

Eneo la kituo cha polisi Mbezi beach lipo pambana wavamiaji waondoke tuanze ujenzi kwa nguvu zetu wenyewe!
Boresha elimu jimboni vijana wasome wafaulu hata kama mazingira ya kusomea ni magumu. Madawati yapatikane shule za msingi na sekondari.
 
Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
47,003
64,021
Hahahaaaa upepo umegeuka kwa kudai kurudushiwa Kadi? Kadi zinajengaje Chama kinachokufa? Hahahaaa kweli CCM wana vituko na visa...Mimi nina kadi ya CCM niliyopewa Na Kikwete pale Sinza ukumbi siiukumbuki jina mwaka 2004, Tawil la Abjani Chuo Kikuu, but sijawahi kukipigia kura wala sina hata mpango huo......na kadi naiweka kibindoni kuja kuonyesha wajukuu zangu udhalimu wa CCM
 
THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
14,785
9,623
mie ni mfuatiliaji wa harakati za kisiasa nchini tanzania, pia mkereketwa wa vyama vya upinzani, mwanzoni nilikipenda chadema;

hatahivyo siku hizi sina mapenzi kwa chadema kwa vile:

1. Siasa za upendeleo
2. Siasa za ukanda na ujimbo
3. Upendeleo ndani ya chama
4. Matumizi mabaya ya ruzuku
5. Kuburuzwa na wafadhili
6. Kitengo cha ustawi wa kanisa

the number which you are calling is not reachable,,,please try again later...!!!

:a s 101: :a s 101: :a s 101: :a s 101: :a s 101:
 
MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,189
Mtoa Mada ni dhahiri kabisa inaonyesha upeo wako wa kufikiri haujafika ule wa binadamu wa kawaida(nikiwa na maana ya kwamba tuwaondoe wale wenye upeo mkubwa), siku zote hata kama una jambo binafsi jaribu ku balance mambo, childish urgement and ideas.....

Ukweli siku zote utabaki kuwa kweli, CDM ni janga la taifa, siasa zenu zimepitwa na wakati, rudini mkaandae maandamano
 
GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,319
305
Mie ni mfuatiliaji wa harakati za kisiasa nchini Tanzania, pia mkereketwa wa vyama vya upinzani, mwanzoni nilikipenda CHADEMA;

Hatahivyo siku hizi sina mapenzi kwa CHADEMA kwa vile:

1. Siasa za upendeleo
2. Siasa za Ukanda na Ujimbo
3. Upendeleo ndani ya chama
4. Matumizi mabaya ya ruzuku
5. Kuburuzwa na wafadhili
6. Kitengo cha ustawi wa kanisa

Watanzania wenzangu hiki chama kina yote hayo ambayo yote ni maovu , bado chatufaa kweli ? nasema kifutwe
 
THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
14,785
9,623

Ngoja wenyewe wenye chama chao wakushukie kama mvua, kwani ukiisema CDM vibaya hata kama ni kweli wao nikubisha kubisha tu kwa hoja mfu. Kama hili liko wazi kabisa, ngoja uwasikie sasa wafuasi wake watakavyosema. Karibuni wafuasi wa CDM.

:loco:
 
Kakende

JF-Expert Member
Aug 18, 2012
2,741
1,231
Mie ni mfuatiliaji wa harakati za kisiasa nchini Tanzania, pia mkereketwa wa vyama vya upinzani, mwanzoni nilikipenda CHADEMA;

Hatahivyo siku hizi sina mapenzi kwa CHADEMA kwa vile:

1. Siasa za upendeleo
2. Siasa za Ukanda na Ujimbo
3. Upendeleo ndani ya chama
4. Matumizi mabaya ya ruzuku
5. Kuburuzwa na wafadhili
6. Kitengo cha ustawi wa kanisa

Kwa majibu hayo tayari tumekujua ni mtu wa chama fulani na mwenye kutukuza u...d....i, so hautupi shida tena
 
MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,189
Mie nilikuwa mfuasi mzuri wakati chama kinaanzishwa, lakini baada ya uongozi kushikwa na DJ mambo yamekuwa ndivyo sivyo; Padri nae amezidi kulikoroga kwa kujipangia posho kubwa, Tshs, 12,000,000/= kwa mwezi badala ya kugharimia shughuli za chama matawini. Pia Padri kaonyesha upendeleo wa wazi kwa kumpa tenda mchumba wake bila ya ushindani. OGOPA CHADEMA, ni hatari kuliko HIV
 
iseesa

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
943
212
Mkutano mkuu wa CCM ulioisha hivi karibuni, Kizota, Dodoma umebadili mwelekeo wa siasa za Bongo huku CHADEMA wakizidi kuweweseka na kupoteza fursa ya kuvutia watanzania makini. Safu mpya ya uongozi ndani ya Sekretaeti ya CCM imerudisha matumaini kwa kasi kubwa miongoni mwa wananchi hivyo wamefikia muafaka kurejea katika mstari na kurudi CCM baada ya kuvunjika moyo na siasa za maji taka ndani ya CHADEMA. Kudhihirisha hayo nisemayo, wiki iliyopita Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Slaa aliifanya ziara aliyoita ya kuimarisha chama mkoani DSM, matokeo yake amezidi kuporomosha CHADEMA katika mkoa husika.
Dalili chache za chama kuporomoka ni hizi:-

1. Mikutano ya Kigamboni ilikosa viongozi wa wilaya hivyo kuishia kwenda kuongea na wavuvi feri
2. Wilayani Kinondoni pamoja ni kuwa yalipo makao makuu ya Chama yalipo; kikao kilichelewa kuanza hadi wajumbe ilibidi wafuatwe majumbani kwao kwa kutumia bodaboda
3. Wafuasi wa Mdee kutoka jimboni Kawe hawakufurahishwa na kitendo cha Dr. Slaa kuponda utendaji wa mbunge wa Kawe huku katika pazia akiweka mazingira ya mchumba wake, Josephine amrithi Mdee 2015 kugombea jimbo la Kawe kwa tiketi ya CHADEMA.

CHADEMA kaeni chini mtafakari namna ya kujikomboa kisiasa, 2014 inakaribia msije mkapata kipigo mkashindwa kujenga hoja kwa wafadhili wenu kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2015

Duh!! Kwako WAVUVI sio watu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

7 Reactions
Reply
Top Bottom