Mipango ya kumrudisha Ole Millya CCM yaanza

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,195
Mkakati umeanza rasmi wakuhakikisha ole milya anarudi ccm.mkakatu huu umepagwa na kuratibiwa na lowasa akishirikiana na kinana.

Swali ni je ole milya atakubali?

Ikumbukwe kuwa aliapishwa na wazee wa kimila na akaapa kuwa hatawasaliti kamwe.na wazee walimwambia endapo akikiuka kiapo hicho basi litakalimpata litakuwa juu yake na wazee hawatahusika.

gazeti la mtanzania la leo
 
snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,363
2,000
Lowassa is a Blackmailing tycoon,atamjengea mazingira magumu sana James Milya ili tu arudi CCM....nakumbuka 2005 kuna jamaa ana butcheries nyingi sana pale soko kuu Arusha,alijifanya kushindana na EL kwa nafasi flani kwenye ngazi ya CCM,cha ajabu yule jamaa nyama za butcheries zake zikawa haziuziki kwa sababu aliuza kwa tenders za maofisi kadhaa,zinaoza tu,ila alivyojitoa kwenye kinyang'anyiro akapata na extra tenders....Milya has to be very careful with EL,,,he is not a good man kabisa.....na hata leo ukienda soko kuu la Arusha,kuna butcheries zina sticker za "CHAGUA LOWASA"......Tanzania ishaoza,tumwombe Mungu atusaidie
 
Havizya

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
470
2,000
Lowasa ahangaikie afya yake badala ya siasa, tayari amebungua huyo na ccm haimtaki.
 
Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
0
Huyo Ole Milya kwani yeye ni changudoa wa siasa? Leo kwa bwana huyu kesho yule, eti kisa ana hela!!!!
Mleta mada tunaomba vielelezo na vithibitisho vya mada yako
 
Elizabeth Dominic

Platinum Member
Dec 7, 2007
4,556
2,000
Akirudi atajimaliza, akibaki atakuwemo kwenye vitabu vya historia kama kijana aliyesimama imara dhidi ya vishawishi vya fisadi Lowassa
 
Mjamii

JF-Expert Member
May 27, 2009
1,028
1,500
Lowassa is a Blackmailing tycoon,atamjengea mazingira magumu sana James Milya ili tu arudi CCM....nakumbuka 2005 kuna jamaa ana butcheries nyingi sana pale soko kuu Arusha,alijifanya kushindana na EL kwa nafasi flani kwenye ngazi ya CCM,cha ajabu yule jamaa nyama za butcheries zake zikawa haziuziki kwa sababu aliuza kwa tenders za maofisi kadhaa,zinaoza tu,ila alivyojitoa kwenye kinyang'anyiro akapata na extra tenders....Milya has to be very careful with EL,,,he is not a good man kabisa.....na hata leo ukienda soko kuu la Arusha,kuna butcheries zina sticker za "CHAGUA LOWASA"......Tanzania ishaoza,tumwombe Mungu atusaidie

Please dont acronymise that filth guy EL because EL is synonym to GOD! How can such filth guy bear such a sanctified name just call him EdL please!
 
Feb 9, 2012
58
0
Millya anatakiwa awe na msimamo kama
Mpendazoe aliye acha mafao ya ubunge na hata alipo polwa ubunge
wa Segerea akafungua kesi magamba wakamfata na kumhonga ubalozi
alipokataa wakambambika kesi ya wizi gari na madawa ya kulevya
lakini bado anaendelea kuwatesa magamba.
 
mtotowamjini

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
4,527
0
akirudi ccm yeye mwenyewe anachoreka...huwezi kua mapepe leo una bwana huyu kesho bwana mwingine...unaonekana luza
 
Bobuk

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
5,870
1,500
Huyu si ndiyo Nape alimulinganisha na grease chafu?! Iweje tena leo CCM watake grease chafu?! Au zilikuwa zile hadithi za mbaazi akikosa maua ........................
 
Fredrick Sabuni

New Member
Nov 27, 2012
3
20
CHADEMA kweli ni UMA tena yakulia chipsi,Chama Cha Wachache wanaojipa madaraka kiundugu kimapenzi na Kihawara,Chezea CCM wewe chama cha Watanzania wa Matabaka yote
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom