Ufisadi Manispaa ya Kinondoni

Vicentsamwel

Member
Dec 5, 2012
11
0
World Bank walitoa miliono 200 ili kujenga mifereji na kuweka changarawe barabara ya salasala kwa Babu kutoka IPTL mpaka inapoungana na barabara ya lami Salasala kwa Mboma, lakini kilichofanyika ni usanii mtupu kwani mifereji wamejenga sehemu isiyozidi mita 10.

Wadau naomba mfuatilie kwani wafadhili watakata tamaa
 
namtumbo

Member
Aug 30, 2011
78
150

Inaonekana wewe ndio mwenye taarifa za kutosha kuhusu suala hili, sasa unataka wadau tufuatilie nini? Wapelekee hao wafadhili hizo taarifa ili wafuatilie kama ni kweli pesa yao haijatumika kama walivyotaka,wtajua pa kuanzia...kuliko sisi wengine tusiokuwa na details sahihi za suala lenyewe.
 
Vicentsamwel

Member
Dec 5, 2012
11
0
[QUOTE=namtumbo;5163704]Inaonekana wewe ndio mwenye taarifa za kutosha kuhusu suala hili, sasa unataka wadau tufuatilie nini? Wapelekee hao wafadhili hizo taarifa ili wafuatilie kama ni kweli pesa yao haijatumika kama walivyotaka,wtajua pa kuanzia...kuliko sisi wengine tusiokuwa na details sahihi za suala lenyewe.[/QUOTE]

NITAFANYA HIVYO ILA WAKEREKETWA WENGINE NAOMBA TUSAIDIANE
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom