TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
Wanabodi Asalaam Aleykum! Kasi ya ajabu inayofanywa na mkoa maalumu wa CCM wa vyuo vikuu ni ya kutisha.Kazi hii inaratibiwa na kikundi kilichohasi TAHLISO kiitwacho Uplink Youth Development.
Sihitaji maneno mengi kuyaweka humu,bali kwa kuwa mkakati huu ambao unaratibiwa na vigogo wa magamba, nataka uongozi wa CHADEMA popote ulipo uteue walezi wa matawi ya vyuo vikuu hasa ikizingatiwa speed ya kuelekea ikulu 2015.
Ni ukweli usiopingika CHADEMA imekamata vyuo kwa asilimia kama 67 hivi, sasa ijizatiti kwani pesa iliyo andaliwa ni nyingi kutibua hawa 'GROUP OF CHANGE IMPACTS' wasomi.NAOMBA ISOMWE NA KUFANYIWA KAZI NA VIONGOZI WA CHADEMA.