Mwandishi 'Msomaji raia' wa Raia Mwema

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,870
Jamani nipo curious kujua huyu mwandishi wa gazeti la raiamwema anaejiita msomajraia.

Ni nani?
Na kwa nini gazeti hilo limemruhusu kuandika makala bila kufahamika jina lake kamili na uzoefu wake wa kisiasa kufahamika...

Nafikiri kuna kitu kimejificha nyuma ya huyu mwandishi

Anayemjua amtaje tafadhali
 
Anayemjua amtaje tafadhali

manataka kumwagia ACID?
soma habari zake jielimishe,
kama unataka mahusiano binafsi kamtafute huko raia mwema
ccm bana kila mtu maana taka kumjua ili hapate kashishi,
watu wanajitokeza kwa majina yao pale tutakapo kuwa na serikali ya watu
kwa ajili ya watu, inayoongozwa na wazalendo wenye utu na huruma
na kufuata sheria
 
always huwezi nini mtu anochosema lazima ulinganishe na nani hasa anasema.....

so kumjua mtu ni muhimu....

hata hapa kuna thread akianzisha mwanakijiji na nyingine akianzisha mtu mwingine

reaction ni tofauti hata kama zinafanana
 
kwa sasa mtazamo wako sio wa kizalendo ni wakichama zaidi so watu tunawasiwasi na wewe that all
ndio maana kuna totauti ya wewe na hao uliowataja
 
Unataka jina lake ili iweje wewe mbona hujatoa jina lako hapa JF,muhimu ni makala yake hayo ndio unaweza kuyasasambua kama upendevyo wangapi tunawajua majina na kwa kuyajua majina yao hayatusaidii kitu,tunayajua mafisadi kwa majina na vyeo vyao na biashara yao je kuna kitu kimebadilika dhidi ya matendo yao na wengine wanajiuzulu wanawaandaa watu wao kwa mabango ya kuwabembeleza wasijiuzulu ,wengine wanaadaliwa wazimie au walie ,mwisho wa siku kila mtu anaenda nyumbani kwake na njaa yake iko paleple
 
hata hvyo nadhani anamjuia , ukisoma vizuri article yake ni kama kuna mtu anaandika hizo makala
anajulikana na watu ila kaingia kwa jina hiyo.
magamba bana
 
mbona wewe sio denzel washington na wala sio boss,reveal your true identity and may be we will reveal ours...
 
always huwezi nini mtu anochosema lazima ulinganishe na nani hasa anasema.....

so kumjua mtu ni muhimu....

hata hapa kuna thread akianzisha mwanakijiji na nyingine akianzisha mtu mwingine

reaction ni tofauti hata kama zinafanana
Na kuna vichekesho vingine akiongea fulani watu hawacheki lakini akiongea mtu mwingine kichekesho kile kile watu wanacheka meno 32 yote nje. Hii ni Talent ambayo kila mtu kajaaliwa tofauti na mwingine
 
Kwanini tusijadili Makala yake tunajadili jina lake? au ndio simple mind? OK anaitwa Hamisi Bin Jumaa itatusaidia nini? kujua hilo? au itafanya makala iwe bora kwa jamii au hisiwe?

Mambo mengine!
 
nadhani makala zake ni tatizo kwa magamba sasa wanataka nasi ya huyo bwana kama kuna mtu anamjua
amshitue hakae kiulinzi zaidi chakula na kadhalika
 
always huwezi nini mtu anochosema lazima ulinganishe na nani hasa anasema.....

so kumjua mtu ni muhimu....

hata hapa kuna thread akianzisha mwanakijiji na nyingine akianzisha mtu mwingine

reaction ni tofauti hata kama zinafanana

Richard Lowas, amekugusa nini? Maana siku hizi presha zenu juu ,juu!
 
Jamani nipo curious kujua huyu mwandishi wa gazeti la raiamwema anaejiita msomajraia.

Ni nani?
Na kwa nini gazeti hilo limemruhusu kuandika makala bila kufahamika jina lake kamili na uzoefu wake wa kisiasa kufahamika...

Nafikiri kuna kitu kimejificha nyuma ya huyu mwandishi

Anayemjua amtaje tafadhali

Thank you Boss.

I kind of like his articles. Well thought and presented. Although I share the feelings of wanting to know his identity, I respect his remaining anonymous. Sometime this becomes a trademark and a selling strategy for the paper. I just noted the similarity with that of a famous driver with the BBC fast track "STIG". Everyone want to know who he is and this adds a flavor.

Thanks
 
Jamani nipo curious kujua huyu mwandishi wa gazeti la raiamwema anaejiita msomajraia.

Ni nani?
Na kwa nini gazeti hilo limemruhusu kuandika makala bila kufahamika jina lake kamili na uzoefu wake wa kisiasa kufahamika...

Nafikiri kuna kitu kimejificha nyuma ya huyu mwandishi

Anayemjua amtaje tafadhali
Kutumia Pen-name sio kitu cha ajabu wala sio mtu wa kwanza kufanya hivyo, kumbuka BWM alikuwa anatumia Pen-name "Mwana wa Matonya" 1980's. Kuwa curious ni jambo la kawaida kwa kila mtu. Kwa jinsi nilivyofuatilia nadhani ni Mbunge wa kuchaguliwa wa CCM, ambaye ana umri zaidi ya miaka 50, Mjumbe wa NEC ya CCM, Mwanaume, majeruhi wa Mtandao, aliyeshindwa kuingia kwenye Hybrid za Mitandao. Nahisi ushamjua.
 
Kama ndio makala zake, hawa hayawani lazima watafu jina lake ili mumwagie tindikali.
 
Kutumia Pen-name sio kitu cha ajabu wala sio mtu wa kwanza kufanya hivyo, kumbuka BWM alikuwa anatumia Pen-name "Mwana wa Matonya" 1980's. Kuwa curious ni jambo la kawaida kwa kila mtu. Kwa jinsi nilivyofuatilia nadhani ni Mbunge wa kuchaguliwa wa CCM, ambaye ana umri zaidi ya miaka 50, Mjumbe wa NEC ya CCM, Mwanaume, majeruhi wa Mtandao, aliyeshindwa kuingia kwenye Hybrid za Mitandao. Nahisi ushamjua.

Siyo kweli wewe
 
Kuna mchambuzi mmoja katika gazeti la Raia mwema ambaye anajitambulisha kwa MSOMAJI RAIA MWEMA,yaelekea ni mtu mkubwa sana serikalini,leo katika makala yake kuna sehemu moja kaandika hivi,"taifa hili siku moja litadai kujua ukweli wa uhasama na urafiki wa watu hawa watatu,MEMBE,KIKWETE na LOWASA na jina la kikwete limekaa katikati makusudi".kwa uelewa wangu nahisi kuna siri nzito sana hapo.Rai yangu kwa mwandishi arudi atueleze kwa siku za badae ikibidi.
 
Wakati mwingine usisumbuke sana kutaka kujua ni nani (mtoa hoja), angalia na pima soundness na validity ya hoja zake.
 
Sasa akiwa mkubwa ni nini, mbona hata hapa JF wapo wakubwa tu na wanatupa zikiwa bado za motomoto
 
Back
Top Bottom