Kila mpenda CCM, uongo na uzushi iwe nguzo zetu na zinatupeleka ikulu 2015.

Mlalila

Member
Nov 19, 2011
35
0
Kwa wana JF wanaCCM tu!!!.
Baada ya kuona namna uongo na ujasiri wa Mh. katibu wa itikadi na uenezi (Nape) anavyotunga stori isiyo na manufaa kwa watz lakini kwa CCM ni mtaji mkubwa, nimeamua niwahimize wenzangu.

Tukitaka, 2015 CHADEMA wasiende Ikulu, Wakati CHADEMA wanahangaika na kuwaelimisha watz, kazi yetu iwe kutengeneza ishu siyo lazima ziwe za kweli, yaani uongo, mipasho, udaku, porojo au kuibua vijimambo kama Nape na majembe yetu kuhakikisha tunawashambulia viongozi wa CHADEMA kona zote na wananchi wengi watatusikiliza na kutuamini 2015.
 
Lwesye

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
5,292
0
Waamuzi mzuri sana tayari tuna degree za uongo angalia Raisi amedanganya kwa ahadi lukuki 165 mpaka hajatekeleza hata moja na anadunda tuu
Waziri mkuu hawezi kukamata wezi nchi iatayumba anadunda tu
Mhongo na Tenesco anadanganya anadunda tuu
Magembe maji visima virefu Dar uongo mtupu anadunda tu
IG Mwema askari wanaua kila siku yeye na sera ya Polisi jamii anadunda tuu
huleee uongo ndio sera yetu ya CCM
 
luhwege

Member
Sep 17, 2010
90
95

Duu kweli Watanzania tumekwisha kama sera zao ni hizo basi tuamke Watz tumekwisha chini ya huyu shetani nyinyiem Mungu atuepushieupuuzi huu
 
SaidSabke

JF-Expert Member
Sep 28, 2006
2,071
1,500
Mimi nadhani unaishi pangoni.la sivyo unaishi nje ya nchi.au ni kipofu w
a macho.kama unasema rais hajatekeleza ahadi hata moja basi .wewe ni fasadi
 
Lwesye

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
5,292
0
Mimi nadhani unaishi pangoni.la sivyo unaishi nje ya nchi.au ni kipofu w
a macho.kama unasema rais hajatekeleza ahadi hata moja basi .wewe ni fasadi
Ahadi gani katekeleza ,kilimo kwanza kimemshinda,kukusanya kodi kashindwa,kuboresha elimu kashindwa ,kuboresha maisha bora kwa kila mtanzania kashindwa,Raisi wetu ni meneja wa kiwanda cha kutengeneza na kuzungumza uongo alichoweza safari 376 nje ya nchi yaani miezi kumi na moja katika mwaka yeye hayuko IKULU huleee CCM nzuri sera yetu uongo,alichokifanya kwa asilimia 100% ni kumfanya mkewe,wananwe na mdogo wake kupita bila kupingwa ujumbe wa NEC ha ha
 
Mlalila

Member
Nov 19, 2011
35
0
Hii ni sera ndani ya CCM, kama ujui elewa hivyo.Hii siyo sera kwa sasa, ila mi naona inalipa na kama chama kitaoona inafaa basi mimi naunga mkono 100%. Bila uongo kutumika 2015 hatutoki. Tena mawaziri wetu popote wanapoenda kama watakuwa na japo jambo moja lenye kuiumiza CDM hata kama la uongo, hiyo inatutoa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom