Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

na Hassan Ali, Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza mpango maalumu kwa vigogo na watendaji waliopora ardhi kuanza kunyang’anywa na kufikishwa katika vyombo vya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jaji mkuu mstaafu Bw Barnabas Samatta Saturday, December 1, 2012 Aeleza wanavunja haki za binadamu . Asema wana mtazamo wa chama kimoja Na Mwinyi Sadallah Jaji Mkuu mstaafu, Barnabas...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Jihadharini na kujibu hoja nyepesi na zisizo na msingi kwa jamii kwani zinawapotezea hadhi yenu.kazi hiyo mtuachie sisi wanachama au muikabidhi kwa BAWACHA na BAVICHA. hatutegemei viongozi kama...
2 Reactions
1 Replies
936 Views
Msigwa: Mangula ni Chichidodo ameyasema hayo akimlinganisha na ndege aliye tumika kwenye kitabu cha beutiful once are not yet born ambaye alikuwa anakataa kula kinyesi lakini anakula funza wanao...
9 Reactions
53 Replies
5K Views
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) linakabiliwa na mzigo mkubwa wa deni la kuilipa Kampuni ya Dowans, ambalo sasa limefikia Sh bilioni 122.5 kutoka Sh bilioni 90 walizoamuliwa kulipa awali...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Wakili wa Serikali: Lema arudishiwe ubunge NA HELLEN MWANGO 5th December 2012 Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema (kushoto)...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Wakuu wangu wana JF salaam...., Kila nikikaa na kuwaangalia au kuwasikiliza wanasiasa katika nchi yetu, siasa zao wanazopiga na hali ya nchi yetu ilipofikia huwa najiuliza kama kweli wana macho...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vya vingi imekua ni mtaji au jambo la kufurahiwa sana unapopata wanachama waliohamia toka vyama vingine. Nimelitizama hili jambo na nashindwa kuelewa kwanini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TAMKO LA KAMATI YA UTETEZI YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA DHIDI MAMIA YA WANAFUNZI WA ZANZIBAR KUFUTIWA USAJILI WA MTIHANI (ACSEE 2013) Ikiwa bado machozi hayajatukauka katika nyuso zetu kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
See them fightin for power,but they know not the hour,so they are bribing with their guns,spare parts and money,tryin' to belittle our intergrity now,they say what we know is just what they teach...
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Habari za saa hizi ndugu jamaa wa jamii ya Jamii Forums. Leo nataka tujadiliane njia rahisi ya kumuondoa huyu mbunge wa BUSANDA ifika 2015. Sababu za kumuondoa ni kama zifuatazo 1.NI...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Wadau katika pitapita yangu kwenye mitandao nimekutana nasocial network ya kibongo jamaa wame-design platform ya kuchati, kushare photo,job search nk. Kitu kama G+ hivi au facebook. Iko hapa...
0 Reactions
1 Replies
808 Views
Kila nikitafakari kilichofanyika kwenye muungano bado nakosa jibu. Nilijiunga CCM mwaka 1980 nikiwa mwaka wa mwisho Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Wakati huo,CCM ilikuwa chini ya Uenyekiti wa Baba...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Na Severin Blasio, Morogoro ALIYEKUWA Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Morogoro, Bw. Abeli Ruanda pamoja na Mwenyekiti wa chama hicho wilayani Morogoro Bw. Rajabu...
1 Reactions
117 Replies
8K Views
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amempongeza Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kwa kukiri kumiliki kadi ya CCM hadi leo. "Kwanza nampongeza kwa...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Ifikapo tarehe 9 mwezi huu tunasherehekea miaka 51 ya Tanzania kupata uhuru wake kutoka kwa wakoloni. Katika kusherehekea huku si katika kufurahia tu na kuangalia gwaride na baadae kujirusha...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa wana jamvi mliopo Arusha mjini, kama kuna mwenye taarifa kamili na ratiba ya hii tume ya kukusanya maoni ya katiba tafadhali atuwekee hapa. Nimejaribu kupitia mbao za matangazo sijaona chochote.
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Thursday, December 6, 2012 Wafuasi na wapenzi wa CUF wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad wakati akiwahutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TUESDAY, DECEMBER 4, 2012 Bw. Samson Chacha Boroyi KADA wa CHADEMA Bw. Samson Chacha Boroyi ambaye ni Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA) Wilayani Ilemela Mkoani...
1 Reactions
114 Replies
10K Views
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Kenya tunaona wanasiasa maarufu wa Kenya na wanaotoka vyama tofauti wakiungana kwa ajili ya kugombea urais na wakikubaliana kabisa nani atakuwa mgombea urais na nani ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom