Wanabodi wenzangu, nimefikiri sana kuhusu Tanzania bara kurudi katika Tanganyika kama jina sahihi lakini pia kuirudisha Tanganyika yetu iliyokuwa na Neema zake enzi zile na Uhuru iliyoupata 1961...
Jana
wameshangazwa na kauli walizo kutana nazo vijijini na mitaani, wanapesa nyingi lakini wananchi kauli mbiu yao ni, "WAO WANA PESA, SISI TUNA MUNGU" Uchaguzi huu mdogo wa udiwani umewekewa...
Sikubaliani na kasumba inayo zidi kupamba moto hapa Tanzania.Kugawa gawa mikoo na wilaya ni ukosefu wa fikra chanya.Maendeleo hayapatikani kwa udogo wa eneo husika bali ni kwa kufanya kazi kwa...
Despite my limited time, to keep the records clear and straight this can't pass uncommented.
Wahujumu wa zao la pamba ni wabunge na wanasiasa wenye maslahi kwenye zao hili. Wabunge hawa wanatoka...
Ndugu wana JF,kuna minong'ono miongoni mwa wana CCM Morogoro Mjini kuwa Ridhiwani Kikwete atawania ubunge katika jimbo hili kwa tiketi ya CCM.Ridhiwani anaungwa mkono na Meya wa Manispaa ya...
Ni dhahiri Tume ya mabadiliko ya katiba inayoongwa na Jaji Joseph S.Warioba imefanya kazi kubwa ya kukusanya,kuyachambua na kuyatoa maoni ya wananchi kupitia rasimu ya katiba mpya...
Hii hali ya wabunge wa CHADEMA kutumia muda wao mwingi kwenye majukwaa badala ya kuwawakilisha wananchi bungeni ina sikitisha mno.
Ifike wakati sasa wabunge wa CHADEMA wachague moja, kama ni...
Juliana Shonza
Chadema waanza kutapatapa Arusha baada ya mashambulizi ya ccm yaliyofanyika kona zote za kata za uchaguzi leo hii. Wamebaki kusema uwongo na propaganda mara tumezomewa,mara...
Wanabodi jana dr. KITILA aliitisha mdahalo wa changamoto ya Elimu na rasilimari za nchi.
Na matangazo yalitolewa wiki nzima ktk vyuo vikuu vyote Dodoma, lakn cha kushangaza kulikuwa na watu 46...
Kwahiyo elimu ni mafunzo yahusianayo na nguvu za kiakili, yaani kuendeleza akili na maadili, kwa kusoma na nidhamu, ili kumfanya binadamu kutenda katika usahihi. Elimu hii ni lazima iunganishwe na...
Wizi wa Kimafia Kampuni za Simu Tanzania Unadaiwa kuwapo mtandao mkubwa wa watu mkao makuu au katika matawi ya taasisi husika ambao hushiriki katika matukio ya wizi wa fedha za wateja...
Ndugu zangu,
Gazeti la Mwananchi leo Jumapili, mbali ya habari nyingine kemkem, libeba habari iliyonivutia kuisoma kwanza;" Dk Mahiga asema Katiba Mpya ni heshima"- ( Mwananchi, Jumapili, Juni 9...
Ingawa zilipigwa 'promosheni' za muda mrefu huko kata ya Iyela jijini Mbeya kuwa kutakuwa na mkutano wa kamanda wa anga, bwana Mbowe..!!
Lakini leo ilikuwa ni aibu kubwa kwa Mbowe kwani...
baada ya kutoa hotuba nzito na zenye kugusa matatizo ya wananchi, wananchi hao walirudisha kadi zao na kwa kuwa kadi hizo lissu hakuja nazo akazichoma moto.
Chama cha mapinduzi chazidi kuvuna aibu jijini arusha ni baada ya mikutano yao kukosa watu na mvuto japo jana jioni Mbunge wa CCM alizomewa, leo hii wanafanya mkutano karibu na ngome ya CHADEMA...
Hii statement ni kutoka maktaba ya CHADEMA iliyomo ndani ya ilani ya uchaguzi 2010 - 2015:
''Kuna sababu tatu zilizosabisha nchi yetu ifike hapa ilipo, nazo ni: ufisadi, ufisadi na ufisadi''.
DR...
Hili alisema mkoani morogoro tarehe 01.06.2013. Dr Slaa alisema,amani ya nchi haihubiriwi kwenye nyumba za ibada bali hupatikana indirectly baada ya kuwa na mazingira conducive yanayoruhusu amani...
Katiba mpya inamichakato miingi, huu nao wa kila chama kwenda mafichoni kuuchakato nina wasiwasi na kuuchakachua,
Hii katiba ni wananchi sio ya chama chochote, lkn ninamashaka makubwa na namna...
Hii nakala ya Barua ya Mh.Godbless Lema imenaswa ikiwaimeshawafikia madiwani wa CHADEMA arusha ikiwataka kutomtambua meya. Na ametoa amri kwamba yeyote atakayemtambua meya wa jiji hilo atavuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.