Tumekuwa tukizoea kupokea taarifa humu jukwaani juu ya madai kwamba CCM kimefadhili chaguzi mbalimbali za vyuo hapa nchini.
Lakini jambo la kusikitisha ni baada ya kusikia kuwa viongozi wa...
Wakati nakua kulikua na chama kimoja kiitwacho CCM, pale Kigoma mwaka 1994 nikiwa darasa la nne alifariki mbunge wangu aitwaye Mbano kasha jimbo hilo kuwa wazi na hapo ndipo nilipo anza kumfahamu...
Ndugu wana JF,
Sijaelewa vema kuhusiana na mfumo wa serikali tatu uliopendekezwa kwenye rasim ya katiba mpya. Naomba kusaidiwa kwa haya yafuatayo:
1. Kama rasimu ikipitishwa, Nasi Watanganyika...
Kamanda Lema muda huu amewapokea wanachama wengi kutoka ccm walioamua kujivua gamba. Kati ya hao waliojivua gamba kuna mabalozi waaminifu wa ccm.
Tunawakaribisha kwenye mapambano mpaka ukombozi...
Tasmini niliyofanya nimegundua ccm arusha aina chake watu wameamka na hawataki kuisika ccm kutokana na siasa zao za maji taka,za udini, ukabila,uongo ,zimegonga mwamba.watanzania wote wangekua na...
Leo mkutano wa ccm kidogo uingie dosari baada ya Juliana Shonza kutamka jukwaani kuwa hakuna chama chenye mafisadi wengi kama ccm. Ilibidi ashushwe jukwaani haraka sana!
Inawezekana ulimi...
Ndio wanajamvi, nimeonelea niliweke hapa ingawaje yawezekana limeshawahi kujadiliwa.
Nilikuwa naangalia UBC TV na nikaona tangazo la StarTimes na nikashtuka kwa kuona lile tangazo eti labda kwa...
Na Maggid Mjengwa,
MABADILIKO makubwa yamefanyika katika nchi yetu kwa mujibu wa Rasimu ya Katiba Mpya iliyozinduliwa wiki hii.
Haya ni mabadiliko makubwa kuwahi kufanyika tangu mwaka 1977...
Baada ya bodi ya mfuko wa pensheni kwa watumishi wa umma[PSPF] kumfuta kazi mkurugenzi wa uendeshaji bwana Patrick Mongela[mtoto wa mama Getruda Mongela]kwa tuhuma za ufisadi,ufuska na...
Kuna ujumbe unaosambaa kwa kasi miongoni mwa walimu kwa sasa usemao: Bila kumung'unya maneno walimu tutakufa maskini,cheki nyongeza ya mishahara;Afya 65%, Elimu 25% na sekta zingine 55%. WALIMU...
Wakuu habari zenu na poleni na majukumu ya kujenga Taifa letu...
Kwa muda mrefu nimefikiria kama Chadema kweli kikichukua nchi japo ni(Ndoto ya mchana)kinaweza kuwa na Mawaziri japo wa 5 wenye...
Hakika CUF ni kama 'mke' mkorofi wa CCM. . Dr Shein ni mtu muungwana sana. We need a tougher guy to rescue muungano lest the nation split apart. Wapemba wa kariakoo watapata shida sana sababu ya...
Kamili!
Sio siri tena kuwa tangu jaji warioba aweke hadharini mwelekeo wa mawazo ya wananchi kwenye rasimu ya katiba mpya, CCM wameanza kuishiwa nguvu taratiiiiibu!
UTHIBITISHO:
1.tafakari...
Mengine yote ambayo yako kwenye rasimu ya katiba yanaweza kamilika mapema lakini swala la Muungano litatuchelewesha sana.Serikali 3 hazitakuwa na tija hakika. Serikali ya Zanzibar itapokuwa nchi...
Mwekezaji wa kampuni moja inayochimba dhahabu katika kijiji cha Uleling'ombe wilayani Kilosa anadaiwa kuwafunga jela wanachi 15 wa kijiji hicho kwa madai kuwa wamemuibia madini yake.Hata hivyo...
CCM waja juu Mbeya
na Christopher Nyenyembe
VIONGOZI wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) jana waliibuka kutoka mafichoni na kudai kuwa kambi iliyowekwa kwa ajili ya kuwafua vijana wao...
Tanzania au Tanganyika lakini kwa sasa tujitambue kuwa tuna wajibu wa kuandaa mstakabali mwema kwa vizazi vijavyo. Wenzetu wanaweza kuweka akiba mfano ya mafuta au chakula cha kutosha miaka kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.