Ushauri: Wabunge wa chadema hemu mjitambue.

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
Hii hali ya wabunge wa CHADEMA kutumia muda wao mwingi kwenye majukwaa badala ya kuwawakilisha wananchi bungeni ina sikitisha mno.

Ifike wakati sasa wabunge wa CHADEMA wachague moja, kama ni bunge au majukwaa, kwani huwezi kutumikia vyote hivi kwa wakati mmoja.

Hivi sasa bunge la bajeti linaendelea, bunge hili linahitaji umakini na ufanisi wa wabunge ili michango ya wabunge iwe yenye tija na kujenga wanapo ishauri serikali.

Lakini cha kusikitisha wabunge wa CHADEMA wamekuwa 'bize' kwenye majukwaa, hii ina pelekea wabunge wa CHADEMA kukurupuka kuandaa hotuba mbovu na kusababisha gumzo mara kwa mara pindi wanapo ziwasilisha bungeni hotuba zao.

Hivi sasa wabunge wengi wa CHADEMA wamejikita kutetea wagombea udiwani walio wasimamisha kwenye kata zenye uchaguzi mdogo wa udiwani.

Nitoe rai kwa CHADEMA, ni wakati sasa chama chenu kikomae, inapaswa chama kiwaache wabunge watekeleze majukumu yao ya msingi pindi bunge linapo kuwa hai, na chama kiunde kikosi kazi maalumu kwa ajili ya kampeni, hasa za chaguzi ndogo.
 
Hii hali ya wabunge wa CHADEMA kutumia muda wao mwingi kwenye majukwaa badala ya kuwawakilisha wananchi bungeni ina sikitisha mno.

Ifike wakati sasa wabunge wa CHADEMA wachague moja, kama ni bunge au majukwaa, kwani huwezi kutumikia vyote hivi kwa wakati mmoja.

Hivi sasa bunge la bajeti linaendelea, bunge hili linahitaji umakini na ufanisi wa wabunge ili michango ya wabunge iwe yenye tija na kujenga wanapo ishauri serikali.

Lakini cha kusikitisha wabunge wa CHADEMA wamekuwa 'bize' kwenye majukwaa, hii ina pelekea wabunge wa CHADEMA kukurupuka kuandaa hotuba mbovu na kusababisha gumzo mara kwa mara pindi wanapo ziwasilisha bungeni hotuba zao.

Hivi sasa wabunge wengi wa CHADEMA wamejikita kutetea wagombea udiwani walio wasimamisha kwenye kata zenye uchaguzi mdogo wa udiwani. Mfano Tundu Lissu yuko Morogoro, Godbless Lema yuko Arusha n.k

Wabunge wa chadema unawatakia nn mbona huko bungeni hoja za msingi nyie ccm mnazitupa kwa ushabiki ilihali zikiwa za manufaa kwa wananchi? waache waongee na wananchi wao kwani nyie mnakatazwa mgalitambua umuhimu wa bunge wabunge wenu wasingekuwa watoro wakubwa.
 
Mbunge wa iramba magharibi mwigulu Nchemba kupitia ccm yuko Arusha akikinadi chama chake kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi mdogo, pia yupo na mbunge wa viti maalumu wa ccm mh. DEVOTHA LIKOKOLA.
 
Hii hali ya wabunge wa CHADEMA kutumia muda wao mwingi kwenye majukwaa badala ya kuwawakilisha wananchi bungeni ina sikitisha mno.

Ifike wakati sasa wabunge wa CHADEMA wachague moja, kama ni bunge au majukwaa, kwani huwezi kutumikia vyote hivi kwa wakati mmoja.

Hivi sasa bunge la bajeti linaendelea, bunge hili linahitaji umakini na ufanisi wa wabunge ili michango ya wabunge iwe yenye tija na kujenga wanapo ishauri serikali.

Lakini cha kusikitisha wabunge wa CHADEMA wamekuwa 'bize' kwenye majukwaa, hii ina pelekea wabunge wa CHADEMA kukurupuka kuandaa hotuba mbovu na kusababisha gumzo mara kwa mara pindi wanapo ziwasilisha bungeni hotuba zao.

Hivi sasa wabunge wengi wa CHADEMA wamejikita kutetea wagombea udiwani walio wasimamisha kwenye kata zenye uchaguzi mdogo wa udiwani. Mfano Tundu Lissu yuko Morogoro, Godbless Lema yuko Arusha n.k

Nitoe rai kwa CHADEMA, ni wakati sasa chama chenu kikomae, inapaswa chama kiwaache wabunge watekeleze majukumu yao ya msingi pindi bunge linapo kuwa hai, na chama kiunde kikosi kazi maalumu kwa ajili ya kampeni, hasa za chaguzi ndogo.

Lema yupo Arusha,kwani ni mbunge wa jimbo gani?
 
Kwa uelewa wako mbunge anawatetea wananchi wake akiwa bungeni tu? Wewe nadhani ukanywe uji ukalale. Mwigulu anapozunguka mikoa kadhaa anawateteaje wana Iramba Magharibi?
 
CHADEMA si mbadala wa CCM? fanyeni tofauti na CCM basi, maelezo yako yana ashiria kuwa kila lifanywalo na CCM basi CHADEMA mnaiga.
 
Unaumwa au umelewa mkuu?hoja za binafsi nyingi zinawasilishwa na upinzani,ufisadi wote unaibuliwa na wapinzani bungeni!hao wabunge wa ccm ni matusi na NDIYOO! inakuuma wabunge wa cdm kufanya kazi kama nyuki wanashambulia kote kote
 
Lema yupo Arusha,kwani ni mbunge wa jimbo gani?

Ni wizara ngapi zimepita bungeni huku uwepo wa Lema haujulikani ulipo?

Ina maana huoni umuhimu wa Lema kuwa ndani ya bunge na kutoa mchango wake kwenye hizo wizara zilizo pita bila ya yeye kuwepo?

Wana Arusha mjini angalieni hasara mliyo pata kwa kumchagua huyo mbunge wenu Lema.
 
Naona unamponda bosi wako Mwigulu kiana.

Angalia na wewe utashushwa jukwaani kama Shonza.!!
 
Kwa uelewa wako mbunge anawatetea wananchi wake akiwa bungeni tu? Wewe nadhani ukanywe uji ukalale. Mwigulu anapozunguka mikoa kadhaa anawateteaje wana Iramba Magharibi?

Sijasema kuwa mbunge awatete wananchi bungeni pekee, lah hasha, ila nachosema bunge linapo kuwa hai, wabunge wanapaswa wawe bungeni.
 
CHADEMA inao wabunge wangapi? CCM inao wangapi? Huoni mpka Mawaziri hawahudhurii vikao vya Bunge? Huwaoni wengi wanakuwa na Misfara na Mkuu wa KAYA nje ya Nchi? Hiyo si kwa Wabunge tu tu hata Mkuu wetu wa Kaya tulimchagua atulie ofisini atatue matatizo na Changamoto za wananchi lakini sasa amegeuka kawa kama pilot make hata utalii haufanyki hivyo. Usiwalaumu CHADEMA hivyo ndo wanavyo chapa kazi maana mwanzoni mliwaita ni chama cha msimu sasa wamepiga kazi ya ukweli mnaanza kulalamika sasa tuwaeleweje?
TAFAKARI!!!!!!!!!!!!!!
 
Hii hali ya wabunge wa CHADEMA kutumia muda wao mwingi kwenye majukwaa badala ya kuwawakilisha wananchi bungeni ina sikitisha mno.

Ifike wakati sasa wabunge wa CHADEMA wachague moja, kama ni bunge au majukwaa, kwani huwezi kutumikia vyote hivi kwa wakati mmoja.

Hivi sasa bunge la bajeti linaendelea, bunge hili linahitaji umakini na ufanisi wa wabunge ili michango ya wabunge iwe yenye tija na kujenga wanapo ishauri serikali.

Lakini cha kusikitisha wabunge wa CHADEMA wamekuwa 'bize' kwenye majukwaa, hii ina pelekea wabunge wa CHADEMA kukurupuka kuandaa hotuba mbovu na kusababisha gumzo mara kwa mara pindi wanapo ziwasilisha bungeni hotuba zao.

Hivi sasa wabunge wengi wa CHADEMA wamejikita kutetea wagombea udiwani walio wasimamisha kwenye kata zenye uchaguzi mdogo wa udiwani. Mfano Tundu Lissu yuko Morogoro, Godbless Lema yuko Arusha n.k

Nitoe rai kwa CHADEMA, ni wakati sasa chama chenu kikomae, inapaswa chama kiwaache wabunge watekeleze majukumu yao ya msingi pindi bunge linapo kuwa hai, na chama kiunde kikosi kazi maalumu kwa ajili ya kampeni, hasa za chaguzi ndogo.

Pale kwenye red sijakuelewa kabisa! Michango yenye ufanisi ya wabunge wetu ni kama yale ya akina Serukamba, Nkamia, Nchemba au Livingstone? Bungeni wabunge hawajadili bajeti kwa manufaa ya wananchi bali wanaenda kupitisha bajeti kwa niaba ya serikali ndiyo maana majibu yao ni kama ifuatavyo; kifungu hiki kinaafikiwa? Ndiyoooooooooooooooooo, nadhani waliosema ndiyo wameshinda kwa hiyo bajeti ya wizara ya .......imepita, naomba mtoa hoja (waziri husika) aje kutoa hoja.
Kwa hiyo ndg, wabunge wetu hasa wa CCM hawapo kwa ajili ya kuwakilisha wananchi bungeni bali ni wawakilishi wa chama chao na walinzi wa serikali yao bungeni. Ni heri wabunge wa CDM wameamua kurudi majimboni wakifanya kazi ya kuelimisha wanachi juu ya haki yao kuliko hao wanaobaki bungeni wakipitisha bajeti isiyo na tija kwa wananchi. Ni miaka 50 tupate uhuru, bunge lilikuwepo na wabunge wamekuwa wakihudhuria vikao na vikao vya bajeti lakini mbona maisha wa wananchi wanaowawakilisha habadiliki? Uchumi wa Tanzania mbona hauleti unafuu? Serikali mbona imeendelea kufanya kazi kwa mtindo uleule, staili ileile kila mwaka il-hali kuna wabunge wa kuishauri? Kwa kadri ulivyotoa rai kwa CDM na mm natoa rai kwako kwamba kwa sasa Tanzania halina bunge la wananchi bali kuna bunge la vyama vya siasa likisimamiwa na chama tawala (CCM). Bunge hili ni muhuri wa serikali. Ni lazima wananchi tuamue kuunda bunge letu litakalokuwa linajadili maslahi yetu kama walipa kodi na kuachana na hili bunge la vyama vya siasa.
 
umetumia nguvu nyingi na hisia feki kuandika utumbo huu? We kweli hamnazo
 
Mungu akubari mwanajamii maana huyu kilaza mi natamani kumtukana ila sheria zinanibana ngoja nilale ameharibia siku
Pale kwenye red sijakuelewa kabisa! Michango yenye ufanisi ya wabunge wetu ni kama yale ya akina Serukamba, Nkamia, Nchemba au Livingstone? Bungeni wabunge hawajadili bajeti kwa manufaa ya wananchi bali wanaenda kupitisha bajeti kwa niaba ya serikali ndiyo maana majibu yao ni kama ifuatavyo; kifungu hiki kinaafikiwa? Ndiyoooooooooooooooooo, nadhani waliosema ndiyo wameshinda kwa hiyo bajeti ya wizara ya .......imepita, naomba mtoa hoja (waziri husika) aje kutoa hoja.
Kwa hiyo ndg, wabunge wetu hasa wa CCM hawapo kwa ajili ya kuwakilisha wananchi bungeni bali ni wawakilishi wa chama chao na walinzi wa serikali yao bungeni. Ni heri wabunge wa CDM wameamua kurudi majimboni wakifanya kazi ya kuelimisha wanachi juu ya haki yao kuliko hao wanaobaki bungeni wakipitisha bajeti isiyo na tija kwa wananchi. Ni miaka 50 tupate uhuru, bunge lilikuwepo na wabunge wamekuwa wakihudhuria vikao na vikao vya bajeti lakini mbona maisha wa wananchi wanaowawakilisha habadiliki? Uchumi wa Tanzania mbona hauleti unafuu? Serikali mbona imeendelea kufanya kazi kwa mtindo uleule, staili ileile kila mwaka il-hali kuna wabunge wa kuishauri? Kwa kadri ulivyotoa rai kwa CDM na mm natoa rai kwako kwamba kwa sasa Tanzania halina bunge la wananchi bali kuna bunge la vyama vya siasa likisimamiwa na chama tawala (CCM). Bunge hili ni muhuri wa serikali. Ni lazima wananchi tuamue kuunda bunge letu litakalokuwa linajadili maslahi yetu kama walipa kodi na kuachana na hili bunge la vyama vya siasa.
 
Ushauri wa mtoa mada ni mzuri sana. Chadema mnapaswa kuufanyia kazi. So, mnaiga kama wabunge wa ccm hawapo na nyie mnachomoka, mlipaswa kutulia bungeni hata kama wa ccm wamehepa. Msijilinganishe na ccm hata kama wanafanya opp.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom