Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nianze kwa kusema kuwa, hakuna nchi iliyoendelea bila kilimo. Kutokana na kilimo tunapata mazao mengi kama ngozi, maziwa, mazao ya biashara, mazao ya chakula nk. Tanzania umaskini wake ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo kamati kuu ya CCM inakutana kuijadili rasimu ya katiba. Baada ya kikao hicho tutarajie yafuatayo kuwa ndio maoni yao ya CCM 1)kupinga muundo wa serikali tatu na kupendekeza tuendelee na...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
  • Closed
Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare atafikishwa tena mahakamani leo ---------------------- Update:- Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imeshindwa kwa mara nyingine kumpa...
2 Reactions
110 Replies
10K Views
Kwanini CCM watakosa udiwani kwa kata zote za arusha?hili najua kwa wale tulioko hapa Arusha si swala geni lakini naandika kuufahamisha ulimwengu kuhusu kuondoka kwa CCM rasmi Arusha na madhambi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Body guard wa mgombea wa ccm kata ya Themi ajulikanaye kwa jina la Antony Mrema a.k.a Blair Kichwa kubwa amepoteza uvumilivu wa kisiasa na kumvamia kada wa Chadema ajulikanaye kwa jina la Emanuel...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni ushauri wa bure kwa wanaccm,CCM na serikali yake. Nianze kwa kusema tu kuwa,muda wa miaka 50 kutawala nchi inatosha kabisa.Sasa ni muda muafaka wa kukipa chama kingine kinachoonekana kuungwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kikwete's nasty spat with RwandaBy GAAKI KIGAMBO | Sunday, June 9 2013 at 13:47 Two Rwandan Hutu rebels of the FDLR militia based in eastern DR Congo. Kigali puts responsibility for the 1994...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
wananchi wa wilaya ya biharamulo maarufu kama bia na mulo, iliyoko kagera jimbo la mh Mbasa, tunapenda sana kuwaona majembe wa m4c kutoka chama makini sana CDM wakifika kufanya mkutano na...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Wanajamvi nawaza tu hadharani huenda wakatokea wenye maono wakanisaidia: Nafanya some permutation ya marais wetu watatu najua kuna wagombea huru/binafsi, ccm, chadema, cuf tanganyika (binafsi)...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi Katika Muungano tuliona nao sasa tukipunguza hayo mambo ya muungano na kuwa 7 kutoka kwenye 22+ ya sasa kama ilivyopendekezwa na tume ya Warioba na kubaki na Serikali mbili... Hii iko je...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu zanguni. nimesikitishwa sana na yanayotokea ntwara leo lakini nimeshangaa kuona wengine wakichekelea. Mkae mkijua hawa watu leo wanakataa gesi isitoke mnawaona wana haki lakini mkae...
2 Reactions
92 Replies
7K Views
Tanzania hatutapata tena "GOLDEN CHANCE" kama hii iliyotokea ya kupata katiba mpya na kuachana na hili "DUDU" linaloitwa MUUNGANO. Kudai muungano usiwepo kwenye katiba ijayo 2014 kwa sasa siyo...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
CCM ndiye baba wa Tanzania tangu uhuru. Malezi ya baba huyu kwa watoto wake yaliegemea siasa zaidi ambazo udini ndio umekuwa muhimili mkuu. Tangu miaka ya 1970 serikali ya CCM ilihakikisha kwamba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani nchi mbili zinapoungana na kuwa nchi moja inayotambulika nchi moja huwa na serikali moja na Rais huwa ndio kiongozi mkuu wa serikali. Tumeshuhudia mara nyingi itifaki ikipanguka...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Nimesoma Rasimu ya Katiba Mpya- 2013 hasa katika vipengele vya sifa za atakayekuwa Rais, Makamu wa Rais, Waziri na Naibu waziri nikajiuliza nafasi ya Dr. Slaa, Mbowe, Mnyika na Sugu katika...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Tangu Mwigulu arudi kutoka "China" amekuwa akivaa kofia yenye nembo ya nyota, ambayo anapoivaa nembo hiyo huwekwa kwenye paji la uso Lakini kama tujuavyo, Mwigulu hana cheo chochote jeshini au...
3 Reactions
69 Replies
18K Views
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA na Kiongozi wa kambi rasmi Bungeni kamanda Freeman Mbowe kesho atakua katika viwanja shule ya msingi jongo kwa ajili ya kumnadi mgombea udiwani wa kata ya ifakara.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika hali ya kushangaza viongozi wa ngazi za juu wametoa kauli zinazokidhalilisha Chuo kikuu Cha Dodoma (UDOM) kuwa chuo hicho kimejaa rushwa ya ngono na udhalilishaji kwa watoto wa kike...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wote tunafahamu kwamba, Katika kipindi cha miaka zaidi ya ishirini iliyopita chama cha Mapinduzi hakikuwahi kuwa na agenda ya kutengeneza katiba Mpya. Lakini mara tu baada ya uchaguzi mkuu wa...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
NAIBU Spika wa Bunge, Job Ndugai, amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakina uwezo wa kuunda serikali katika Uchaguzi Mkuu wa 2015. Ndugai, amesema hatua hiyo inatokana na jinsi...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Back
Top Bottom