Dr.Slaa:Amani ya nchi haihubiriwi.

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Hili alisema mkoani morogoro tarehe 01.06.2013. Dr Slaa alisema,amani ya nchi haihubiriwi kwenye nyumba za ibada bali hupatikana indirectly baada ya kuwa na mazingira conducive yanayoruhusu amani kuwepo.
Alisema kuendelea kuombea amani kwenye nyumba za ibada ni kumjaribu Mungu.
Dr.aliendelea kusema,migogoro na dalili zote za uvunjifu wa amani chanzo chake ni serikali ya CCM.Alitolea mfano migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji,mtu na mtu imesababishwa na serikali.Hii ni kwa sababu serikali ndiyo yenye mamlaka ya kugawa ardhi kwa wananchi.
Aliongeza,serikali ndiyo chanzo cha migogoro kwa kuwa imekuwa vigumu kwa serikali kuchukua maamuzi sahihi.Na matokeo yake ni kuja na kauli za kejeli na dharau kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom