Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nipo mtaa wa Kimbangulile Ghana(Mianzani-Mbagala), CHADEMA wanaomba kura kwa wananchi,naona kuna Mada Mahugo kaingia CHADEMA
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama kuna chama kimejipanga kimkakati ni nccr mageuzi kinaendesha siasa za kistaarabu na kiungwana na si siasa za matusi kebehi na kujiona. Kina sera zinazoeleweka na si kama ccm au chadema ambao...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Haya ni baadhi ya majimbo ambayo ccm wataya kabidhi upinzani 1.jimbo la Aeshi. 2.jimbo la wassira 3.jimbo la mkulo 4.Jimbo la magufuli 5.Jimbo la kafumu 6.jimbo la mkuchika 7.jimbo la...
2 Reactions
105 Replies
8K Views
Tumejianda andaaje? Turejee kulekule? Coat of arms ilikuwa hivi Jamhuri ikakopi (angalieni tofauti zake hasa rangi nyekundu iliyoletwa na mapinduzi ya Zanzibar) Katiba ya awali kabisa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana Jf naomba kuwasilisha hii mada kama mzalendo ktka taifa hili, kwa uoni wangu sioni mantiki ya hii rasimu hasa kipengele cha serikali ya shirikisho (serikali tatu) kwa sababu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Ndugu zanguni, Kwanza kabisa napenda kumtakia Maxence Melo afya njema na namuombea Mungu amponye haraka majeraha aliyopata kwenye ajali ya gari. Kama mjuavyo hakuna binadamu alie sawa asilimia...
16 Reactions
149 Replies
15K Views
By ELISHA MAGOLANGA Tanzanias strategic position in the continent, its abundant natural resources and countering Chinas advances to Africa have been cited as some of the reasons why President...
0 Reactions
52 Replies
8K Views
Maelezo yafuatayo ni kwa mujibu wa ushauri wa serikali ya Canada kwa raia wake kuhusu hali ya Tanzania . Kwa maelezo zaidi ingia katika tovuti http://travel.gc.ca/destinations/tanzania Security...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Uongozi wa CHASO-SEKOMU unaomaliza muda wake Uongozi teule wa CHASO-SEKOMU wakiwa na mwenyekiti anaye naliza muda wake kamanda Agness. Kamanda Ednah Jacob (mweka hazina) akiwa katika harakati...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
SAFARI YA KUELEKEA MAMLAKA KAMILI IMEPIGA HATUA KUBWA: Na Ismail Jussa Mamlaka ambayo tayari Zanzibar itakuwa imeyarejesha kwa kuondolewa kwenye Muungano kupitia Rasimu ilotangazwa leo ni...
7 Reactions
224 Replies
19K Views
Kama kuna mtu yeyote anayejua anisaidie; ni wapi katika Katiba ya sasa ambapo Rais au mtu yeyote yule amepewa madaraka ya kuanzisha mchakato wa kuandika Katiba Mpya? Ikumbukwe kuwa viongozi wote...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
KUNA BAADHI YA VIONGOZI wanaona jambo la katiba ni lao wao na wanaweza kuwachagulia watanzania wanachotaka wao eti ndo sauti ya wananchi,Wanatoa kauli mbalimbali kwamba watawaambia wananchi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1.Serikali ya jamhuri ya muungano tunadaiwa deni kubwa. 2.pesa za deni hilo zilitumika bara na visiwani 3.kwa sasa serikaali ya muungano ndio wanalipa. 4.je nani atalipa deni la sasa kwa...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mbeya/Dar. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman ameweka bayana kuwa wanaunga mkono Rasimu ya Katiba na hasa suala la Muungano wa Tanzania kuundwa na Serikali tatu kama ilivyopendekezwa na Tume ya...
0 Reactions
4 Replies
984 Views
Kutokana na rasimu ya katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuruhusu serikali tatu kwa maana ya serikari ya Tanzania bara, Serikali ya muungano na serikali ya mapinduzi ya Zanziba. Rasimu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF, Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wanawachanganya watanzania kutokana na msimamo wao kwenye suala la Katiba ya nchi, mwanzo walitaka serikali tatu, Tume ya Katiba kwenye rasimu...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Waziri wa fedha Manaibu waziri wa madini Naibu waziri wa maghufuri Naibu waziri wa mwakyembe Naibu waziri wa utalii Waziri wa kilimo Waziri wa afya Nao wakumbuka mimi ni mwakyembe sababu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
(3) Muundo, madaraka na mambo mengine ya kiutendaji yahusuyo Serikali yaTanzania Bara na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yataainishwa katika Katiba za Washirika wa Muungano. Ina maana hizi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kukiwa na serikali 3 means kila bunge litakuwa na jengo lake kujadili mambo yake na hili la Dodoma kwa vyovyote lazima liwe la Tanganyika je la shirikisho litajengwa wapi? Maana la dodoma ni kubwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Swala la Serikali tatu limeanza kupigiwa kelele na baadhi ya watu has wakidai ni mzigo kwa taifa. Wengi wa hawa wanaonekana ni wanaccm. Amelisemea Sumaye, Leo Sita naye kalisemea. Swali je, hawa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom