Gachuma, Mathayo na matajiri wengine wakutana kuinusuru Manchira

M

maguzu masese

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Messages
283
Likes
3
Points
0
M

maguzu masese

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2013
283 3 0
Jana
wameshangazwa na kauli walizo kutana nazo vijijini na mitaani, wanapesa nyingi lakini wananchi kauli mbiu yao ni, "WAO WANA PESA, SISI TUNA MUNGU" Uchaguzi huu mdogo wa udiwani umewekewa nguvu nyingi sana na CCM kiasi cha kuwashangaza wananchi kwa wingi wa magari ya kifahari yaliyoko hapa. CHADEMA itashinda kwa sapoti imdmayopewa.
 
Z

zamlock

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Messages
3,846
Likes
57
Points
145
Z

zamlock

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2010
3,846 57 145
kwani hao ndo nini? Gachuma mbona amekuwa tajiri kabla sijazaliwa lakini akuna alicho kifanya kwenye jimbo lake la tarime mpaka saizi rorya? Yeye arudi na peter zakari wake wakaopowe mabinti wadogo pale mwanza hotel waendelee kula pesa zao...na huyo mathayo musoma mjini imemshinda sasa mgumu ndo wataiweza? Saizi wananchi awababaiki na magari na kuwa eti huyu ni tajiri saizi wananchi wanataka maendeleo...tena nilibahatika kumsikia chandi anasema chadema inamuumiza sana kichwa sijui afanye nini? Hao matajiri wa mgumu ni wezi sana wameimaliza halmashauri tena huyo chandi na kaka yake ndo balaa sana awafai hakika wana mgumu kuweni na maamzi magumu juu ya maisha yenu
 
K

kingukitano

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
1,971
Likes
2
Points
0
Age
39
K

kingukitano

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
1,971 2 0
Jana
wameshangazwa na kauli walizo kutana nazo vijijini na mitaani,wanapesa
nyingi lakini wananchi kauli mbiu yao ni,"WAO WANA PESA,SISI TUNA MUNGU"Uchaguzi huu mdogo wa udiwani umewekewa nguvu nyingi sana na ccm kiasi cha kuwashangaza wananchi kwa wingi wa magari ya kifahari yaliyoko hapa.Chadema itashinda kwa sapoti imdmayopewa.
Mungu sio mwanachama wa chadema komeni,Mungu wa Isaka na Yakobo hafungamani na siasa zenu,wokovu wake hauna mrengo wa kiharkati,Mungu haandaani kudzu halo wala hamwagii watu tindikali kulazimisha Uungu wake,Mungu hana uchu wa Madaraka kama ninyi mlivyo,acheni kulitumia jina la Mungu wangu katika siasa za dunia hii,mbazo kwa hakika zitakoma kitambo ajapo Bwana Haleluyaaaaaaah
 
K

kingukitano

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
1,971
Likes
2
Points
0
Age
39
K

kingukitano

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
1,971 2 0
Wanasiasa komeni kudzu Yehovah Yire ni mwanasiasa eti sisi tuna Mungu,toka lini Mungu akaamini katika ushetani wa Power of the People,hamjui wayahudi waliandamana na kupaza sauti Power of the People Na afunguliwe Baraba lakini Hutu yampasa kufa Na Asulubiwe ,Na asulubiwe,Kuna nguvu ya shetani ndani ya Maandamano na kitu mnachokiita Power of the people hiyo ni power of the Devil,ombeni mfunguliwe
 
Z

zamlock

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Messages
3,846
Likes
57
Points
145
Z

zamlock

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2010
3,846 57 145
Mbunge wetu makini tunakuomba uibe muda wako ukimbie Manchira mkachukue ile kata kwa sababu matajiri wa mkoa wa Mara wamekwenda pale kudanganya wananchi na sijui kuna nini kwenye ile kata mpaka hawa matajiri waende kufanya kampeni pale...

Pliz ndugu yangu kawape nguvu pale kama ulivyo fanya Arumeru tuweze kuichukua ile kata akina Chandi wamemaliza halmashauri ya Serengeti.
 
P

politiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Messages
2,374
Likes
191
Points
160
P

politiki

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2010
2,374 191 160
inabidi aende na Takukuru mkononi na kuhandaa mtego wa kuwadaka maana watakuwa hawana lingine bali ni kuwaonga wananchi.
 
Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Messages
3,396
Likes
19
Points
135
Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2011
3,396 19 135
Huyo Gachuma ni mkwepaji kodi maarufu na hasumbuliwi kwasababu anadhamini shughuli nyingi za CCM, ni vema kupitia katiba mpya kuwe na Independent Economic Intelligency kuwachunguza watu kama hawa sambamba na maofisa wa TRA!
 
B

Breki sina

Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
96
Likes
0
Points
0
B

Breki sina

Member
Joined Jun 3, 2013
96 0 0
Jana
wameshangazwa na kauli walizo kutana nazo vijijini na mitaani, wanapesa nyingi lakini wananchi kauli mbiu yao ni, "WAO WANA PESA, SISI TUNA MUNGU" Uchaguzi huu mdogo wa udiwani umewekewa nguvu nyingi sana na CCM kiasi cha kuwashangaza wananchi kwa wingi wa magari ya kifahari yaliyoko hapa. CHADEMA itashinda kwa sapoti imdmayopewa.
Hongera Magugu,huyu Gachuma na Mathayo hawana lao kwa wana Serengeti zaidi ya kugawa pesa ambazo zingine hatujui kama wanatoa kwenye mifuko gani!au la hasha!mie naamini wana Serengeti wanataka mabadiliko hata 2010 walionyesha ushujaa ndio maana mgombea ubunge alipata kura zaidi 21000,na mie nilikuwepo pale Nyansurura ambapo nilifanya jitihada hatimaye diwani wa pale ni kutoka Cdm hii ni kutokana na uwezo mkubwa ambao watu wa Serengeti wameonyesha kutaka mabadiliko Bravo wana Manchira tunawategemea sana.
 
Z

zamlock

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Messages
3,846
Likes
57
Points
145
Z

zamlock

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2010
3,846 57 145
Huyo Gachuma ni mkwepaji kodi maarufu na hasumbuliwi kwasababu anadhamini shughuli nyingi za CCM, ni vema kupitia katiba mpya kuwe na Independent Economic Intelligency kuwachunguza watu kama hawa sambamba na maofisa wa TRA!
Ni kwel ndo mdhamini wao mara na mwanza kote anawadhamini na mwisho wao umekaribia
 
kibogo

kibogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
9,701
Likes
1,217
Points
280
Age
28
kibogo

kibogo

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
9,701 1,217 280
Mungu sio mwanachama wa chadema komeni,Mungu wa Isaka na Yakobo hafungamani na siasa zenu,wokovu wake hauna mrengo wa kiharkati,Mungu haandaani kudzu halo wala hamwagii watu tindikali kulazimisha Uungu wake,Mungu hana uchu wa Madaraka kama ninyi mlivyo,acheni kulitumia jina la Mungu wangu katika siasa za dunia hii,mbazo kwa hakika zitakoma kitambo ajapo Bwana Haleluyaaaaaaah
Mbona unajitoa fahamu kwa kutoelewa vizuri msemo huu''WAO WANA PESA SISI TUNA MUNGU" kumbuka kauli hii ina mifano mingi sana inayoshabihiana na maneno hayo Kumbuka Mauaji ya Mwangosi, Swala la Lwakatare, Uteswaji wa Kibanda na Dr. Ulimboka, Kuvamiwa kwa Mama yake na Zitto yote haya yanaonyesha jinsi gani CDM ilivyo upande wa Mungu huku wanayafanya hayo kwa lengo la kuichafua CDM wakishindwa na shetani wao
 
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
11,192
Likes
433
Points
180
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined Jul 29, 2010
11,192 433 180
Jana
wameshangazwa na kauli walizo kutana nazo vijijini na mitaani, wanapesa nyingi lakini wananchi kauli mbiu yao ni, "WAO WANA PESA, SISI TUNA MUNGU" Uchaguzi huu mdogo wa udiwani umewekewa nguvu nyingi sana na CCM kiasi cha kuwashangaza wananchi kwa wingi wa magari ya kifahari yaliyoko hapa. CHADEMA itashinda kwa sapoti imdmayopewa.
Tarehe 16 inatakiwa muwaonyeshe kuwa mchanga ni mwingi kuliko mawe...
Hayo magari ya matajiri ndiyo yatatumika kupenyeza kura za wizi na rushwa kwa watu. Hakikisheni mnayafuatilia kila yanapoenda. Naamini hamtakosa vjana kama 10 wa kujitolea pikipiki zao...
 
USTAADHI

USTAADHI

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
1,518
Likes
6
Points
135
USTAADHI

USTAADHI

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
1,518 6 135
ujinga wa mtu kama gachuma na umri wake vinatosha kabisa kuonesha jinsi CCM ilivyochoka mpaka sasa kinachotakiwa ni kuwakamata wakigawa hela na kushughulikiwa vilivyo maana hata tukisema waje takukuru hawatasaidia chochote
 
USTAADHI

USTAADHI

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
1,518
Likes
6
Points
135
USTAADHI

USTAADHI

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
1,518 6 135
GACHUMA huyu huyu ndiye anayeanda aa mamluki ndani ya chadema MWIBARA NA TARIME ana mbinu za kizee sana na silaha yake kubwa ni fedha ila hajui hata familia yake ina hali ngumu sana anakaa kupambana eti anaweza kuiua CHADEMA
 
Forum statistics

Threads 1,273,319
Members 490,351
Posts 30,477,938