CCM yazidi kuvuna Arusha: Shonza, Mtela, Mwigulu waongoza kwa kuvuna


I

Imma Saro

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Messages
394
Likes
37
Points
45
Age
30
I

Imma Saro

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2012
394 37 45
Chama cha mapinduzi chazidi kuvuna aibu jijini arusha ni baada ya mikutano yao kukosa watu na mvuto japo jana jioni Mbunge wa CCM alizomewa, leo hii wanafanya mkutano karibu na ngome ya CHADEMA huku zaidi ya magari matatu ya polisi Wakiwalinda Mtela, Shonza Mwigulu msiondoke subirini hadi Jpili mwondoke na mavuno mengi ya aibu"
 
sk2000

sk2000

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2012
Messages
756
Likes
252
Points
80
sk2000

sk2000

JF-Expert Member
Joined May 19, 2012
756 252 80
Nilitaka kushangaa
 
M

malaka

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Messages
1,323
Likes
6
Points
135
M

malaka

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2012
1,323 6 135
Viewers wa hii mada watakuwa wengi kuliko watakao comment.
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
32,819
Likes
15,290
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
32,819 15,290 280
Lameck Mkumbo atakuja tena kukanusha lol
 
DALLAI LAMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Messages
8,614
Likes
409
Points
180
Age
37
DALLAI LAMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2012
8,614 409 180
Wengine hawasomagi cöntent,angalia bungeni na m23 na MAFILILI wasikupendekeze malipo via Heading.hiyo ngome ambayo Kibuyu Mwigulu yupo ni Ipi? MTELA namfananisha na mwalimu wa UPE kwa akili yake
 
G Sam

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
6,891
Likes
12,846
Points
280
G Sam

G Sam

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
6,891 12,846 280
Mkuu hiyo title watakuja kwa pupa akina ZeMarcopolo,chriss,maswaswa,mafilili, CCM 4real na mingine kibao wakiifungua wataishia kuporomosha mitusi....dah umewatega lazima waingie nyavuni!
 
master peace

master peace

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Messages
1,450
Likes
3
Points
0
Age
39
master peace

master peace

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2012
1,450 3 0
Hiyo ndo Arusha, na bado hamna rangi ambayo hawata ona.
 
L

Lilambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Messages
2,524
Likes
6
Points
135
L

Lilambo

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2013
2,524 6 135
Hizo mbwembwe jumapili jioniiiiiiii
 
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Messages
12,614
Likes
3,472
Points
280
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2012
12,614 3,472 280
hao ni vituko kwa wana arusha msijidanganye....
 
B

baba ye2

Member
Joined
Jun 8, 2013
Messages
67
Likes
0
Points
0
B

baba ye2

Member
Joined Jun 8, 2013
67 0 0
Mwongo mmetuma tanroad wang'oe matawi ya chadema barabaran eti yako kwenye hifadhi ya barabara, ushahidi uko imma saro. Yaan mbunge wa arumeru magaribi bahati nzuri akatokea walipofika kwenye tawi la filips wakafurumishwa.
 
Zekidon

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Messages
1,883
Likes
55
Points
145
Zekidon

Zekidon

JF-Expert Member
Joined May 29, 2013
1,883 55 145
mkuu chadema ya jf ni hatari sana kwa uongo
 

Forum statistics

Threads 1,273,308
Members 490,351
Posts 30,477,653