Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

rasimu imetoka ikiwa na mapendekezo juu ya serikali 3 tu, hakuna njia nyingine ya kupinga zaidi ya kuikataa rasimu yote or kuunga mkono serikali tatu na kuziboresha zaidi i.e hizi serikali za...
0 Reactions
2 Replies
871 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: 09/06/2013 MAONI YA AWALI YA MWENYEKITI WA CUF KUHUSU RASIMU YA KATIBA MPYA UTANGULIZI; Kwanza naipongeza Tume ya Jaji Warioba kwa kazi kubwa waliofanya ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Chama cha CUF kimedhamiria kuchukua majimbo yote ya Zanzibar, Tanga,Lindi,Mtwara,Tabora,Pwani,na Dar. Chama cha NCCR Mageuzi kimedhamiria kuchukua mkoa mzima wa Kigoma, TLP wamedhamiria kuchukua...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Salama WanaJF. Bondia maarufu nchi Mada Maugo almaarufu King Junior amejiunga na chama cha demokrasia na maendeleo Chadema. Muda mfupi ujao atakabidhiwa kadi na mjumbe wa kamati kuu kamanda...
14 Reactions
90 Replies
9K Views
Watanzania tumelalamika mda mrefu madaraka makubwa ya raisi lakini cha kusikitisha ni kuwa rasimu ya katiba mpya imeshindwa kutatua tatizo hili. bado ndani ya rasimu hii raisi anateua kila kitu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo jumapili kulikua na mkutano wa ccm kata ya Themi Arusha tawi la Fire. Mkutano huu ulipangwa kufanyika jana ila ulihairishwa kwasababu wakazi wa maeneo husika waligoma kujitokeza na hapo ndipo...
3 Reactions
60 Replies
5K Views
1. Serikali ya shirikisho - salim ahmed salim 2. Serikali ya tanganyika - dr. Mwakyembe / dr. Magufuli 3. Zanzibar - nawaachia wenyewe waseme nawachieni wana jf mzungumze zaidi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni huu mwenendo wa kuangalia maslahi ya watu binafsi na vyama vyao badala ya ku focus kwenye mustakabali wa nchi,utaona mtu anatoa povu kisa rasimu imemgusa pabaya,inahusu? .......mara oh kwenye...
3 Reactions
2 Replies
978 Views
CCM nawauliza, wapinzani wenu ni CHADEMA tu hapa Tanzania? Bungeni CHADEMA,kwenye kampeni CHADEMA,mitandaoni CHADEMA na kila mahali CHADEMA. Tangu wajiunge rasmi na CCM Mtela Mwampamba na Juliana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mfano mzuri ni kenya narc walifanikiwa kuitoa kanu madarakani hapa tunaweza ila bila kuwa na chadema kwani ni wabinafsi na waroho wa madaraka tuwaache wabaki kuwa chama cha upinzani daima na...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Wabunge kadhaa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameunga mkonohoja ya Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, James Mbatia (NCCR-Mageuzi), kuhusuudhaifu uliopo katika sekta ya elimu. Miongoni mwa wabunge...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HABARI Na Godfrey Kahango, Mbarali. (email the author) Posted Ijumaa,Mei24 2013 saa 21:56 PM KWA UFUPI Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, wametoa mapendekezo yao...
0 Reactions
112 Replies
14K Views
Salaam Jukwaa, Ni muda sasa nimekuwa nikikereketwa na jinsi ambavyo wizara yetu ya elimu ilivyoamua kushughulika na ugawaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wa vyuo hapa nchini na...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Leo ilikua siku ya kuaga mwili wa askari wa usalama barabarani aliyepata ajali maeneo ya New Sokoine Road. Katika zoezi hili la kuaga mwili wa Marehemu Mbunge wa Arusha Mjini Mh.Godbless Lema...
1 Reactions
105 Replies
9K Views
Naibu katibu mkuu akiwasili kwenye viwanja vya kata ya Themi Jijini Arusha kwenye kampeni za Uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya Themi.Huu ni mfululizo wa mikutano ya kampeni anayoifanya...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Nimeisoma Rasimu ya Katiba, nimepata simtofahamu juu ya hasa Rasimu hii ni ya nchi gani. Nasema hivyo kwa kuwa, Rasimu inayaongeleea mambo ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huku ikisema ya...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Wadau wa JF, Salam. Mwenyekiti wa Bavicha Taifa Kamanda John Heche anaelekea Wilayani Serengeti kuongeza nguvu katika kampeni za uchaguzi mdogo wa kata ya Machira. Kwa taarifa za uhakika ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau Kuna huyu mtu anaitwa John Komba mbunge wa Mbinga magharibi (Nyasa) huyu mtu napata wasiwasi na kiwango cha uelewa wake hivi majuzi tumepata wilaya mpya kawahadaa wanyasa wenzangu kuwa ni...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba, amesema chama hicho hakijatengwa na vijana wa elimu ya vyuo vikuu kama inavyosemwa na wapinzani. Makamba, ambaye...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifuatilia Mikitano ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba . Huwa anaongozana na Kijana aliyemwagiwa Tindikali Igunga, kisha kupelekwa India na CCM (Ingawa naamini kwa fedha za...
1 Reactions
85 Replies
7K Views
Back
Top Bottom