Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Usiku wa kuamkia leo kumetokea mapigano makali kati ya ccm na cdm katika kata ya Masanze katika kitongoji cha Mapekenya na kusababisha kuumizwa na kulazwa kwa wafuasi wa CHADEMA katika hospitali...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
  • Closed
"Siwezikujiunga na CHADEMA kwa kuwa mimi si MCHAGGA" hii ni kauli ya Nape, je anauhalali gani kwenda Kilimanjaro tangu atoe kauli hii,,,??
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo nimevuta fikra sana na hatima yake nimeona Slaa anastahili sifa na ikiwezekana anafaa kuwa rais wa nchi yetu. Kikubwa zaidi kilichonifanya niseme hivi ni baada ya kukumbuka majirani zetu...
28 Reactions
114 Replies
9K Views
Zanzibar wahoji katoa wapi maoni serikali tatu Jaji Warioba? WAJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kutoka Tanzania Bara, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi pamoja na makamanda wa hapa jijini Arusha tutakuwa tunawaletea updates za matukio mbalimbali za mikutano ya chadema itakayofanyika leo ikiwa ni yakufunga kampeni za chaguzi ndogo za kata tano...
8 Reactions
189 Replies
51K Views
BILA SHAKA BAADA YA JAJI WARIOBA KUTANGAZA RASMU YA KATIBA HAYA YAMEJITOKEZA 1.kuwa na serikali tatu yaani srikali ya zanziba,serikali ya Tanganyika na serikali ya shirikisho 2.kuwa na raisi wa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
Kutokana na hali ilivyo sasa ya ukosefu ufanisi kwa viongozi, hasa wanasiasa wetu, ningependa tujadili hili suala la ndoa kama lina mchango wowote katika kumfanya kiongozi awe mwajibikaji, awe...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakati chadema ikidaiwa kutumia zaidi ya milioni 600 katika kampenzi zake za udiwani huko Arusha, CCM imetumia kiasi kisichofika hata milioni 100! Swali la kujiuliza kama chadema wanadai Arusha ni...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Mpaka kufikia jana usiku tathmini ya kampeni kutoka kwa makada wa CCM walioko mkoani Arusha na Manyara kwenye kata Saba zinazotegemea kufanya uchaguzi kesho Jumapili(16/6/2013) zinaonyesha hali ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zanguni, Kama mjuavyo, kesho ndio uchaguzi wa madiwani sehemu mbali mbali nchini, sote tunajua CCM watafunika viti vyote Mbeya na sehemu nyinginezo. Lakini kuna sehemu moja tu ambayo nina...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
BAADA YA KUPATA WABUNGE ZAIDI KATIKA UCHAGUZI ULOPITA CHADEMA KIMEDHIHIRISHA YAFUATAYO 1. Kinapenda ubinafsi,kwani kiliamua kuunda kambi ya upinzani peke utadhani vyama vingine havipo 2...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Ni kweli ccm itashindwa vibaya Arusha uchaguzi wa madiwani ,Arusha ni ya chadema na ukweli ni huo ila uchaguzi ni kama mpira dk 90 tusubiri kesho tunaomba Amani tz yetu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania, ni kama ushindi kwa chama hiki cha CHADEMA na kwao ni hatua nzuri kimafanikio katika siasa. Hatua hii waliyopo CHADEMA kwa sasa imeshakaliwa na vyama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Bajeti hizo zilizotangazwa na mawaziri wa fedha wa nchi hizo sambamba na ile ya Tanzania, ni za Uganda, Rwanda na Kenya ambayo iliongoza kwa ukubwa wa bajeti. Bajeti hizo zilitofautiana kwa kiasi...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Ndoto inatafsiriwa kuwa ni kitendo cha ubongo kurejesha tukio au matukio ambayo tayari yametokea kabla ya kuotwa upya. Aidha kuna ndoto ambazo ningependa kusema ni unabii na hizi huwakuta watu...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu nimepokea meseji toka kwa mtu aliyeko Mtwara inasomeka hivi. Kikao cha ges wanafanya Kilwa Masoko na viongozi wengi wa chama tawala na serekali wapo Kilwa.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
SIJUI waliompa nafasi aliyonayo walizingatia vigezo gani. Naambiwa ni msomi "mzuri" tu aliyehitumu kile chuo kikongwe pale Mlimani. Chuo ambacho waliosoma enzi hizo, wakishindana kufuga ndevu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, akiwa pamoja na baadhi ya viongozi, wanachama na wapenzi wa chama hicho wakipata chakula cha mchana kwa kutafuna samaki...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Serikali jana iliwasilisha Bungeni mapendekezo yake kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2013/14. Katika mapendekezo hayo, Serikali imepanga kutumia Sh18,248,983 trilioni kwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom