Chama
cha mapinduzi kimdpoteza wenyeviti wanane na kujiunga na chadema
leo,hayo yametokea baada ya Kamanda Mawazo kutoa hotuba yenye ushawishi
mkubwa kwenye kampeni za udiwani.Wa kwanza ni...
Mwaka jana mkuu wa kwanza wa majeshi nchini Meja Jenerali Sarakikya alilalamika kuwa serikali ya Kikwete inamlipa pesheni kidogo sana akiitaja kwa kiwango kamili cha shilingi elfu hamsini...
Kumekuwa na manung'uniko na malalamiko ya kila mara yanayotoka kwa viongozi na wafuasi wa Chadema hasa katika kampeni zinazoendelea za chaguzi ndogo za udiwani zinazoendelea maeneo mbalimbali...
Naomba ueleze vyvyote utakavyojiongeza mwenyewe juu ya mtu kama huyo kwani Tanzania tulipofikia hatuna tofauti na mtu kama huyo
Mchango wako ni muhimu
MAWASILISHA.
Akizungumza hayo wakati wa arambee ya saccoss ya waalimu mkoani kilimanjaro amesema kuna haja ya kufumua mfumo wa elimu Tz ili wanafunzi wameze kufaulu vizuri....Elimu Kabla,Kilimo kwanza.
Friday, June 14, 2013
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kata ya Themi na kuwaambia wasirudie kosa la kudharauliwa kwa kuchagua watu wasiotambua thamani ya kura...
Tabia ya aliyekuwa waziri mkuu Ndugu El si nzuri kwa muktaba ya baadae hapa nchini mwetu. Sasa hivi amekuja na njia ya kukosoa serikali ili hali na yeye yuko katika chama kinachotawala. Mfano wake...
Tabia ya aliyekuwa waziri mkuu Ndugu El si nzuri kwa muktaba ya baadae hapa nchini mwetu. Sasa hivi amekuja na njia ya kukosoa serikali ili hali na yeye yuko katika chama kinachotawala. Mfano wake...
Wadau, nimekutana na makala ya bwana mmoja WP...
"....Specifically, a U.S. court in 2008 issued a $1 million judgment against a Tanzanian diplomat stationed in Washington because he and his...
na Happiness Mnale
MBUNGE wa Ubungo, JohnMnyika (CHADEMA) amesema kuendelea kwa mgogoro kati ya serikali nawafanyabiashara ndogo ndogo machinga ni matokeo ya kutokutekelezwa kwa...
CHAMA CHA CUF kimeprove kuwa chama kilichokomaa na kisichobebwa na mtu bali sera zake
1. Mwanachama yoyote anaeenda kinyume na katiba ya chama anafukuzwa maramoja bila kubembelezwa
2...
Wana-JF,
CHADEMA ni chama cha siasa ambacho nadiriki kukiita 'gereza la fikra' kwa namna ambavyo kinafanya uendeshaji wa masuala ya kisiasa hapa nchini!!
Chama hiki kinatumia mfumo wa kibabe na...
Kwa mujibu wa Mwananchi (2013), Maoni hayo yanatolewa wakati juzi Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt alitaja sababu za Obama kuja Tanzania kwamba ni kutokana na sifa nzuri za Tanzania...
Moderator naomba thread hii ibaki kwa muda inawezekana wakubwa wakapita na ikatusaidia.
katika kodi ya kila mwaka ya vyombo vya moto,magari ni kuwa imepangwa kwa ujazo wa engine.
Nahisi hii si...
Lema anasema mawaziri sita wa serikali ya magamba wako Arusha kupiga kampeni za madiwani.
Anasema wapo mawakala wazuri, Wabunge wa kanda ya kaskazini wote ni mawakala wakiongozwa na Mbowe
haya mambo yanazidi kupamba moto tanganyika
sasa na wao wamaigunduwa ccm kuwa ni kikundi kinachofaa kuepukwa
sitaki nisema zaidi msikilizeni padri akimwaga sera na mitikasi yake nyeti
bonyeza...
Mhe Mbowe, mbali na uenyekiti wa CHADEMA taifa ila wewe ni mbunge wa Hai, jitihada zako kubwa za kukitumikia chama chako kila mtanzania ana ziona, ila hoja ya msingi ni kwamba, umesahau kuwa wewe...
1.Je ni Kweli mikataba iliyosainiwa juzi kwnye uwekezaji wa Bandari ya Bagamoyo baadhi yamakubaliano yanawapa nafasi Wachina kumiliki bandari hiyo kwa manufaa yao wenyewe kwa Muda wa miaka mia...
Hayo yalisemwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Kikwete mara baada ya kupokea Taarifa ya Mkoa wa Mbeya.
Kwa mujibu wa Sensa ya Mwaka 2012 Mkoa wa Mbeya una watu Mil 2.8...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.