Ndiyo Wakuu , heshima kwenu ! Awali ya yote naomba nianze na nukuu ifuatayo :- " TAIFA LETU,TAIFA LOLOTE NI ZURI NA MAHALI PAZURI PA KUISHI KAMA RAIA WAKE WATALIFANYA LIWE HIVYO .UONGOZI...
Wadau,kuanzia Jumatatu na Jumanne,gari la matangazo lilikuwa linatangaza mkutano wa CCM,ambao ulikuwa ufanyike mbele ya ofisi ya CCM wilaya,Shinyanga mjini,siku ya Jumanne,na mgeni rasmi kuwa ni...
Ccm imefilisika kifikra,hawan jipya tena la kuwaambia wananchi.Danganya yenu ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA haina jipya tena,sijui uchaguzi ujao mtatumia kauli mbiu ipi?.
Nasema ccm...
Habari zilizotufikia hivi punde kutoka kwa wasamaria wema ambao wamepewa kadi feki pamoja na elfu thelathini kila mmoja hili wakampigie kura mgombea udiwani wa ccm bw emmanuel laizer na kadi hizo...
Makamu mwenyekiti wa chuo kikuu cha sauti Dr Kitima,yupo Star tv kwenye kipindi cha tuzungumze asubuhi, ameiponda bajeti ya serikali kuu kuwa ni tegemezi kutoka kwa wahisani,anasema huwezi kutatua...
Hizi ni baadhi ya picha za jana katika kata ya Elerai mjini Arusha, Tukiwaeleza wana elerai wasikubali kuongozwa na Chama kilicho poteza dira na Mwelekeo ccm, Nilikuwa na Kamanda James Millya...
Kesho kutakuwa na matukio mawili mhimu katika taifa letu. Kwa upande wa chaguzi ndogo tayari tumeshaanza kusikia matukio mabaya ya viongozi wakubwa wa ccm wakikamatwa na chadema wakiwa wanagawa...
Wana Jf,
Leo kampeni za uchaguzi wa diwani ziliendelea katika kata mbali mbali nchini, ambapo kwa upande wa Kimandolu ccm walikuwa upande wa soko la kimandolu, mkutano wao uliongozwa na Naibu...
Mwenyekiti BAVICHA John Heche leo amewakurupusha na kuwakamata makada kadhaa wa CCM wakigawa Rushwa katika uchaguzi mdogo wa udiwani huko Serengeti.
Taarifa zinasema mara baada ya kuwakamata...
Ccm kwa kutambua au kutotambua inakusudia kumtuma rais mstaafu mh Benjamin Mkapa kuja kufunga mkutano wa kampeni kuwania udiwani kata ya ifakara mjini. Mkapa ambaye ataongozana na bend ya TOT...
Benchmarking is the practice of CCM being humble enough to admit that CHADEMA is better at constructing ideas and plans to revive this country from all the mess, and wise enough to try and learn...
Hello JF.
Nimesoma makala hii na kushtushwa sana na kilichoandikwa kuwa viongozi wa CHADEMA walimuomba huyu Profesa Safari kujiunga nao. Najiuliza, huu ni utaratibu wa wapi? Katika hali ya...
Joshua Nassari amkurupusha mwenyekiti wa kijiji CCM Monduli akigawa rushwa..!!Tumemkuta katibu wa tawi la CCM kijiji cha Naiti, anaitwa Peniel Olodi akikusanya shahada za kupigia kura za wananchi...
WanaJF.
Tujikumbukishe maandiko ya Joseph Ludovick masaa machache baadaa ya kushambuliwa na kuumizwa kwa Absalom Kibanda.
"Ndugu,leo usiku yapata saa tano na nusu niliachana na Maggid Mjengwa...
LEO KATIKA GAZETI LA MWANANCHI:WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa amesema kuna haja ya kutathmini upya mfumo wa elimu nchini, ili kuona kama bado unafaa au la.Alisema hatua hiyo inapaswa...
Hivi kwa nini Serikali za nchi zilizoendelea zikitangaza kubana matumizi watu wanaandama. lakini Tanzania baadhi ya wananchi, wanaharakati na wanasiasa kila kukicha wanataka serikali ibane...
Nawashangaa kuwaona wanaccm,ccm na serikali yake wakitamba majukwaani kuwa wameleta maendeleo.Kutamba majukwaani/kujisifia sio kazi yenu wanaccm.Hii ni kazi ya wananchi wenyewe.Mfano,mtu anafanya...
Ndugu wana jukwaa,ikiwa imebaki siku moja uchaguzi wa kupata madiwani katika kata 26 za mikoa mbalimbali ya nchi hii ufanyike,huku upepo ukiwa mzuri kwa ccm katika kata zote ambapo ni wazi kabisa...
Hii nchi imekuwa ya amani pengine sio amani bali utulivu kwa muda sasa, kwa maaana mtanzania sio mtu wa kung'ang'ania jambo hata kama linagusa maisha yake ya kila siku. Ipo mifano mingi yakiwemo...
Habari zilizothibitishwa na wafuatiliaji wa duru za siasa jijini Arusha zimebaini kuwa Ndg. Rayson E. Ngowi ambaye ni mgombea udiwan kata ya kimandolu, Arusha, kwa tiketi ya CHADEMA hayupo kwai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.