Ninasikitika sana na mwenendo wa CCM ya sasa. CCM inayoratibu matukio mengi ya kutisha kama kutoa kucha watu, utekaji na mateso, kuua viongozi wa dini, kulipua nyumba za ibada, kulipua mikutano ya...
Toka avuliwe uanachama ndani ya CHADEMA diwani wa mahakama kata ya Igoma Adam Chagulani amekuwa akiweweseka kisiasa hadi kupelekea kutumika na chama cha magamba (ccm) Kana kwamba haitoshi amekuwa...
Siasa za hapa sijui ni kwa nini,
jambo dogo kama hili linamleta katibu mkuu wa chama? hii ni aibu kwa Kinana.
sababu za ujio wake na mengine ni kama yalivyoanishwa hapa jana...
Ndugu wana JF,
Sisi kama watanzania tuepukane na siasa chafu za kisiasa ambazo mwisho wake inchi yetu
iliyokuwa na amani sasa inatoweka,ccm inawatu wengi wasomi kwanini inahalibu siasa
kwa...
CCm imetutawala zaidi ya miaka 50.Ikatunyonya , ikafilisi, ikauza, ikaisambaratisha kidini nchi yetu iliyokuwa nzuri sana na ya kupendeza. Bado hawajatosheka na hayo yote waliyotufanyia, na sasa...
mama yetu mpendwa uliye ishi na mzee wa taifa hili hayati baba wa taifa tunakuomba utoe kauli yako juu ya maisha ya watanzania...uwaeleze viongozi kuwa mbona mzee nyerere akuongoza nchi katika...
Kilichotokea Arusha ni utekelezaji wa Mpango mahsusi ulioandaliwa na Chama Tawala kwa lengo la kuwatisha Wapiga kura na Watanzania kwa ujumla wenye mapenzi na Vyama Upinzani wasiuunge mkono...
Kwa wafuatiliaji wa siasa ulimwenguni watakuwa pamoja na mimi kuwa siasa za majitaka wakati wa uchaguzi haziepukiki, kinadhalia inawezekana lakini kwa utekelezaji ni haiwezekani kabisa. Uchaguzi...
Naangalia jedwali katika aya ya 132 ukurasa wa 120 wa houtuba ya bajeti (http://www.mof.go.tz/mofdocs/msemaji/HOTUBA%20YA%20SERIKALI-BAJETI.pdf). Matumizi ya Kawaida (katika mstari "G") ni...
​
President Barack Obama's trip to Africa later this month could be one of the most expensive of his tenure, costing the government as much as $100 million.
According to a confidential...
WADAU NAOMBA TUJADILI DHANA HII YA UGAIDI WA KISERIKALI "STATE TERRORISM" TUKILINGANISHA NA MATUKIO YANAYOENDELEA NCHINI KWASASA!
"Official or State Terrorism "referring to nations whose rule...
Ndugu wana-JF,
Mbunge wa Arusha bwana Lema na wafuasi wake wapatao 100, wameripotiwa kuvamia kituo kidogo cha polisi cha Sombetini, kwa lengo la kushinikiza askari wa kituo hicho kuwaachia huru...
Kwanza natoa pole kwa watanzania wote wapenda amni nchini Tanzania kwa tukio baya kabisa lililotokea jana katika Jiji la Arusha.
Natoa pole za dhati kwa wafiwa na majeruhi wote wa tukio la bomu...
Kituo changu ni kijenge kati,naenda kumchinjia baharini Gamba kama kawa,SIHANYI bomu wala bunduki.Siogombi mbinu yoyote ya Mwigulu Savimbi,nachagua mgombea wa cdm kwa Hasira zote.HII NI OPERATION...
Katibu wa CHADEMA jimbo la ulanga Magharibi amejeruhiwa vibaya na hajitambui.
Hii imetokea jioni hii. Wamo viongozi wengine walio waliojeruhiwa pia. Hii ni Kwa mujibu wa cmu niliyoipokea hivi...
polisi zanzibar hufyatuwa risasi huku raiya wakiwa wametulia hayo yametokea darajani
walianza kutega mabomu munamo miaka ya ya elfumbili na kuwabebesha makosa uamsho cuf
hicho ndio kilikuwa...
Binafsi nimehuzunishwa sana na maafa yaliyotokea Arusha.
Nahisi hata mimi ningeweza kukumbwa na matatizo kama hayohayo kwani huwa nahudhuriaga mikutano ya hadhara ya vyama vyote.
Nashauri...
katika hali ambayo haikutarajiwa wakazi wa kata za Genge na Tingeni wilayani Muheza wameapa kuwachagua madiwani wa cdm. Tumeamua kuanza na mabadiliko bila kujali tofauti zetu za vyama. Walisema...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na madaktari wa kichina waliofika ikulu mjini zanzibar kumuaga baada ya kumaliza muda wao wa kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.