Ccm itashindwa vibaya Arusha


E

Erasto..sichila

Member
Joined
Apr 9, 2012
Messages
77
Likes
0
Points
0
E

Erasto..sichila

Member
Joined Apr 9, 2012
77 0 0
Ni kweli ccm itashindwa vibaya Arusha uchaguzi wa madiwani ,Arusha ni ya chadema na ukweli ni huo ila uchaguzi ni kama mpira dk 90 tusubiri kesho tunaomba Amani tz yetu
 
Communist

Communist

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Messages
5,382
Likes
43
Points
135
Communist

Communist

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2012
5,382 43 135
Kama asilimia ngapi hivi?
 
james chapacha

james chapacha

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
942
Likes
19
Points
35
james chapacha

james chapacha

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
942 19 35
Wengne wanasema upinzani ni kati cdm na cuf! Kwani ualisia ukoje?
 
K

kibugumo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Messages
1,388
Likes
133
Points
160
K

kibugumo

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2011
1,388 133 160
Leo ndio leo asemae kesho ni muongo
 
Ngalikivembu

Ngalikivembu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
1,920
Likes
364
Points
180
Ngalikivembu

Ngalikivembu

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2010
1,920 364 180
Jifunzeni kulinda kura pia kumbukeni Mwigulu yupo huko, atagawa chumvi na buku
 

Forum statistics

Threads 1,272,349
Members 489,924
Posts 30,448,232