Kikao cha Gesi Mtwara kinafanyika Kilwa Masoko


Philip Dominick

Philip Dominick

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Messages
1,022
Likes
4
Points
135
Philip Dominick

Philip Dominick

JF-Expert Member
Joined May 26, 2013
1,022 4 135
Wakuu nimepokea meseji toka kwa mtu aliyeko Mtwara inasomeka hivi.

Kikao cha ges wanafanya Kilwa Masoko na viongozi wengi wa chama tawala na serekali wapo Kilwa.
 
K

KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
943
Likes
1
Points
0
K

KIBE

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2010
943 1 0
wakuu nimepokea meseji toka kwa m2 alieoko mtwara inasomeka hivi.

Kikao cha ges wanafanya kilwa masoko na viongozi wengi wa chama tawala na serekali wapo kilwa
sio kikao cha gas. Ni kikao cha kamati ya ulinzi na usalama mikoa ya lindi na mtwara.ni vikao vya kawaida tu.hkn ajenga ya gas.
 
Philip Dominick

Philip Dominick

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Messages
1,022
Likes
4
Points
135
Philip Dominick

Philip Dominick

JF-Expert Member
Joined May 26, 2013
1,022 4 135
sio kikao cha gas. Ni kikao cha kamati ya ulinzi na usalama mikoa ya lindi na mtwara.ni vikao vya kawaida tu.hkn ajenga ya gas.
taarifa nilzopokea ndo hzo mkuu
 
A

afwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Messages
4,087
Likes
111
Points
160
A

afwe

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2010
4,087 111 160
Agenda ya gas lazima ipo kwa kuwa usalama mkoani Mtwara umeyumba kwa sababu ya gas.
 
K

KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
943
Likes
1
Points
0
K

KIBE

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2010
943 1 0
Yes ni wajibu wa serikali kuweka ulinza. Wahakikishe wachochezi wote wanafungwa
 
Mkoroshokigoli

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
14,621
Likes
2,691
Points
280
Mkoroshokigoli

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
14,621 2,691 280
Kuna kila dalili ya mtwara kuwa kanda maalum ya kipolisi,,,,
stay tune
 
Kamanda Kazi

Kamanda Kazi

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Messages
2,618
Likes
82
Points
145
Kamanda Kazi

Kamanda Kazi

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2012
2,618 82 145
kama gesi yetu imekuwa laana ya sisi kupigwa na kuuawa basi tuigeuze kuwa maji tunywe!!!
 
A

afwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Messages
4,087
Likes
111
Points
160
A

afwe

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2010
4,087 111 160
Badala ya kukaa Mtwara wamelazimika kukaa Mkoa mwingine. Hawa lazima wanamambo yasiyo na tija kwa wanamtwara.
 

Forum statistics

Threads 1,275,113
Members 490,908
Posts 30,533,066