Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Viongozi hawa wakuu kuanzia waziri wa mambo ya ndani, Emmanul Nchimbi na mkuu wa jeshi la polisi nchini, Saidi Mwema hawana sababu tena ya kuendelea na nyadhifa zao. Matukio ni mengi na kila siku...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Closed
Jamani naomba ufafanuzi au kama kuna mwenye tetesi kwa nini iwe hivi? Kulikoni? Inaumiza sana tena sana,balaa gani hili linalotukumba watanzania? Kwa kweli,tunakoelekea sielewi!! Kama hali ndiyo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Je baada ya pigo la bomu CHADEMA imejipangaje kuhakikisha watu wanaenda kupiga kura? Maana hakuna muda tena hapamna hii ilipangwa tangu mwanzo nape anawaomba watu wasiende huko maana mikutabo ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi uwongozi ni bora kuliko maisha ya watu? hivi ni kweli milipuko ya mabomu arusha yana uhusiano na dini au uwongoziiiiii? je matendo hayo tatakwishaaaa liniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii? mimi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri wa Fedha jana alitamka kundoa Kodi kwenye Bodaboda , kwa lengo la kuongeza Ajira zaidi kwa Vijana . Nnachokifahamu ,Opportunity yoyote ya Ajira hutengenezwa kwa kuzingatia Mazingira...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Ibara zote 240 za rasimu ya katiba ziko kimya kabisa juu ya suala la ndoa, mahusiano ya kimapenzi na familia. Je, ukimya huo hautakuwa upenyo kwa watu wanaotetea masuala ya ndoa/mahusiano ya...
2 Reactions
38 Replies
7K Views
na Abdallah Khamis WAFUASI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Nachingwea, Mkoa wa Lindi, wanadaiwa kumteka, kumpiga na kumvunja pua Katibu Mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Bwana Mbowe (kamanda wa anga) nae ana mpango wa kwenda shule ili ajiendeleze kwani amekuwa akidhalilishwa sana na watu hasa wana-CCM kuhusu ufaulu wake wa daraja sifuri (0). Maamuzi haya magumu...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
President and Mrs. Obama are planning a trip to sub-Saharan Africa later in the month, but the White House has scotched a plan to include a Tanzanian safari on the agenda after a reporter...
1 Reactions
121 Replies
15K Views
kwanza natoa pole kwa wale waliofiwa na wale waliojeruhiwa katika bomu huko mkutano wa chadema arusha;lakini ngoja tuendelee na mapambano ya kuikomboa nchi hii.leo mbeya hali ilikuwa nzuri huku...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wimbo wa Taifa wa CUF unasema hivi: “Ni haki sawa kwa watu wote, kuendeleza taifa letu Utajirisho itikadi yetu, tukatae kuonewa. Siasa itumikie, uchumi wa Nchi yetu Ni mwiko huo uchumi...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Amesema hayo katika mahafali ya wanachuo!Kazungumzia suala la wabunge 2 kila jimbo haliwezikani.Pia ma rais 3 katika nchi moja haiwezekani watanzania wasikubali.Kama kawaida yake huwa hasemi hayo...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Ushahidi wa vidio jinsi ccm ilivyofunika ifakar na mzee samweli sitta.chadema na sugu,afande sele,taarabu ya mzee yusuph na prof j
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh Mbowe jana alifanya MIKUTANO MIKUBWA MIWILI ya kuwanadi wagombea udiwani kata ya GENGE Yosepher Komba, na Kata ya TINGENI Omary Khatibu! Wilaya ya Muheza Mkoa wa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ukisoma na kusikiliza bajeti iliopita inadhihirisha wananchi bado tutaendelea kutaabika 1. Serikali bado kimya juu ya misamaha ya kodi kwa makampuni ya madini 2. Bado serikali kimya juu ya...
3 Reactions
147 Replies
10K Views
Mh Samweli Sitta amezomewa sana Ifakara akimnadi mgombea udwani CCM mzee Masebo. Picha zinafuata
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Chadema kijjiji cha Kwekitui jana alikiponda Chama cha Ccm kwa kusema ni chama mfilisi kwa sera kwani walimtishia kifo, lakini kwa sasa ameamua kuwatumikia Wananchi wa Kijiji hicho...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Wasalaam wapendwa, Najiuliza sana juu ya uamuzi wa ghafla wa Serikali kuzizuia timu za Yanga na Simba kushiriki Kombe la Kagame huko Darfur..... Je, ni kweli ni uamuzi wa kiusalama au ni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Anamsifu Lema, nimpigania chama, ni askari asiye na woga, Chadema itaendelea kumtumia Lema Anawaombea madiwani kura.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni kata ya ngangange katibu wa ccm wa wilaya akishirikiana na wezake wamemvamia Mzee Nyaulingo na kumvunja mkono na
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom