JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,327
5,507
Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali.

Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19 wanaodaiwa kuwa Bungeni kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

2c76b5b3-56c1-41cb-be94-91a8b55695c9.jpg

664de67d-ea36-468d-972d-0a6209bee7fd.jpg

abf0f438-ff81-4138-9566-358651f216a5.jpg
 
Mbowe na makundi yake wana taabu sanaa 🤣🤣🤣

Waje kuandamana huku nyumbani Tanzania kwani Wamarekani hawatoweza kuwasaidia lolote katika hoja yao ya katiba mpya 🤣🤣

#Siempre JMT🙏
 
Nilimwambia mama, sio kila kitu cha jpm ni cha kukipotezea. Ukatili kwa hawa wanaojiita 'wapinzani' ni jambo muhimu sana na lazima ,kiongozi mkuu wa nchi hii, au ya kiafrika yoyote, lazima uwe na ukatili fulani; tofauti na hapo tegemea kina lema, lissu na mbowe kukuchezea kama hivi.

Na bado, wataleta hizi drama zao kila leo na kila siku utaona zinakaribia zaidi na mwishowe utawakuta mpaka nyumbani kwako kabisa ukiwa mapumzikoni.

Hawa ni kuwakagame tu hata hukohuko, shenzi zao!! Ukiwa na hawa jamaa hautofanya shughuli yoyote ya kimaendeleo na mwishowe warship kukunanga na kukutukana. Na kama ukiyafsnya maendeleo huku unawachekea hawa basi hayatoonekana maendeleo hayo na badala yake yataonekana mabaya tu dumb daima!!!

MAMA HUJIFUNZI KWA KIKWETE?!!!!!!!!! Aliwaheshimu na kuwajali kupita kiasi walimlipa nini zaidi ya matusi na kejeli za kudhalilisha kabisa zinazomuandama hadi leo?!!!!!! Mwamba jpm alijua akiwachekea hawa hatofanya na halitoonekana lolote jema lake, AKAWAFINYIA MBALI huko na akajipatia nafasi ya kufanya mambo yake kwa uhuru na mwishowe nchi yote ikaimba jina lake........mpaka ya kikwete yakawa yake na kikwete amebaki mweupeeee km aliyepita na kulala tu pale ikulu.

MAMA UNATAKA YAKUKUTE HAYA YA KIKWETE?!!!! Si mazuri kwa hadhi ya uraisi......TWANGILIA MBALI wapuuzi hao km alivyofanya jpm. Kuongoza hakuhitaji huruma za dini kwa sababu kuna mishetani imejazana kukuharibia.....TWANGILIA MBALI HAOOOOO!!!
 
Baadhi ya walioko katika maandamano wanafahamika....

Ni vijana wa wenye nazo,maisha bora na wenye pesa waliolelewa Masaki ,Kichanga Chui ,Mikocheni maeneo ya Regency na mitaa ya Ursino,Ada Estate ,Upanga....

Hivi kweli hawa ndio WANAWASEMEA watanzania wote hata wa kule Nyanguge ,Kwimba ,Sakura ,Kibinda ,Mkwaja ,Bweni ,Mwera ,Kipumbwi ,Pembeabwe,Ipinda ,Matema ,Tanganyika Masagati ,Mlimba na Mkoka Nachingwea?

Yaani watanzania hao nao wanahitaji katiba mpya ?!!!😳🤣🤣

#Siempre JMT🙏
#Katiba Iliyopo Inatosha 👍
 
Baadhi ya walioko katika maandamano wanafahamika....

Ni vijana wa wenye nazo,maisha bora na wenye pesa waliolelewa Masaki ,Kichanga Chui ,Mikocheni maeneo ya Regency na mitaa ya Ursino,Ada Estate ,Upanga....

Hivi kweli hawa ndio WANAWASEMEA watanzania wote hata wa kule Nyanguge ,Kwimba ,Sakura ,Kibinda ,Mkwaja ,Bweni ,Tanganyika Masagati ,Mlimba na Mkoka Nachingwea?!!!!

Yaani watanzania hao nao wanahitaji katiba mpya ?!!!😳🤣🤣

#Siempre JMT🙏
#Katiba Iliyopo Inatosha 👍
Wazazi wetu wamestaafu miaka Kumi iliyopita hakuna hata mbunge mmoja anayewasemea hawana pesa yoyote hadi popote ulipo mtanzania tangaza katiba mpya
 
Wazazi wetu wamestaafu miaka Kumi iliyopita hakuna hata mbunge mmoja anayewasemea hawana pesa yoyote hadi popote ulipo mtanzania tangaza katiba mpya
Yaani ustaafu kihalali halafu usilipwe hata baada ya miaka 10 ?!!!😳🤣🤣

Mbunge wangu mimi anawaongelea sana wazee wetu...pole yako wewe kwa kuwa na mbunge asiyegusa maslahi yenu....

#Siempre JMT🙏
 
Back
Top Bottom