mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,951
- 131,281
asee,kansa.....aende ocean road akaombeeSisi kama nchi tunapitia wakati mgumu sana, niliwahi kusikiliza ibada flani cjui hata ya nani, mmama anasema tangu apeleke mtungi wake wa gas uombewe sasa ni mwaka wa tatu anatumia tuu
Bibi yangu inamtesa ya titi yaan