Mfumo wa kulinda taarifa wa bi mkubwa upo vzr sana jamaa aliturisha matango pori mwishowe kaona isiwe tabu
Siyo mfumo mzuri wala nini. Mwendazake hakuzijua siasa vizuri ndiyo maana miaka yote hii hakuweza kumng'amua ni nani alikuwa mole huko jikoni mpaka siri za moto zikawa zinavuja hovyo hovyo. Mama inaonekana siasa anazijua na kawarudisha akina Kigogo wote kwenye ulaji (Marope, Msoga gang etc) japo bado yule mbunge wa millet. Hatari sana siasa unaambiwa. Kulingana na unyeti wa siri zilizokuwa zikivuja tena kwa haraka ya kutisha, kuna hata wanaodai kuwa pengine hata mayū mwenyewe alikuwa kundini huko huko (rejelea ukaribu wake na Msoga Gang)...Mwendazake was alone na sitashangaa kama hata huko kwenda zake alisukumwa baada ya jamaa kupata kisingizio cha Covid

I believe kama angewaacha akina Kigogo na Msoga Gang wakala watakavyo...probably he would still be breathing today...

Politics is a dangerous game !!!
 
Nilidhan msukuma
Mkuu tuheshimiane pulizi

1419543_1473394723762.jpg
 
Siyo mfumo mzuri wala nini. Mwendazake hakuzijua siasa vizuri ndiyo maana miaka yote hii hakuweza kumng'amua ni nani alikuwa mole huko jikoni mpaka siri za moto zikawa zinavuja hovyo hovyo. Mama inaonekana siasa anazijua na kawarudisha akina Kigogo wote kwenye ulaji (Marope, Msoga gang etc) japo bado yule mbunge wa millet. Hatari sana siasa unaambiwa. Kulingana na unyeti wa siri zilizokuwa zikivuja tena kwa haraka ya kutisha, kuna hata wanaodai kuwa pengine hata vaisi mwenyewe alikuwa kundini huko huko...Mwendazake was alone na sitashangaa kama hata huko kwenda zake alisukumwa

Politics is a dangerous game !!!
Mbuzi wakatolik hawez tendwa alaf mtenda abak salama rejelea ishu ya mamvi na mwakyem
 
Sijawahi kujaribu Mkongo mkuu ila nasikia inafanya kichwa cha dushe kiwe na ganzi na hivyo kufanya usipige bao mapema. Ila sasa bila ya kichwa kuwa sensitive hata sijui unapataje utamu. Kama kuna vijana waliowahi kutumia bila shaka wataleta ushuhuda.
Utaja fia vifuani mwa wajukuu zako mzee mwenzangu. We tulia tu ulee wajukuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom