Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,255
- 1,077,559
Oh no!Asante sana SHIMBA YA BUYENZE ...... kila kitu kiko poa. shida ni kuna mjanja aliniotea akapita na simu ndio maana nilipotea ghafla.
Hawa wajanja hawa wangejua jinsi wanavyoturudishaga nyuma basi tu. Pole sana!