Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mbegu za maboga zinasaidia nini mkuu?

Walnuts pia ni scientifically proven kuongeza sperm counts na ubora wa mbegu kama unataka kumtwanga mtoto wa mtu mimba...

Hii hapa taarifa, mimi binafsi ni shuhuda zinasaidia ila baada ya miezi kadhaa, kila siku tafuna kama karanga tu.

pumpkin-seeds-l.jpg
 
Back
Top Bottom