Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Sisi kama nchi tunapitia wakati mgumu sana, niliwahi kusikiliza ibada flani cjui hata ya nani, mmama anasema tangu apeleke mtungi wake wa gas uombewe sasa ni mwaka wa tatu anatumia tuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]asee,kansa[emoji23].....aende ocean road akaombee[emoji2902][emoji2902]

Bibi yangu inamtesa ya titi yaan[emoji9]
 
Haya hayaaaa,rombo tena
bcb248d0ec974c1f9c997cc3c07ca5af.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]asee,kansa[emoji23].....aende ocean road akaombee[emoji2902][emoji2902]

Bibi yangu inamtesa ya titi yaan[emoji9]
Tatizo hawa wachungaji wakikuombea usipopona wanakimbilia kusema huna imani, sasa unajiuliza inakuaje mtu anaumwa halafu hana imani kwamba atapona.
 
Hivi huo mkongo ni kweli hufanya kazi? Maana huwa naona Wabongo wakiusifia sana.
Sijawahi kujaribu Mkongo mkuu ila nasikia inafanya kichwa cha dushe kiwe na ganzi na hivyo kufanya usipige bao mapema. Ila sasa bila ya kichwa kuwa sensitive hata sijui unapataje utamu. Kama kuna vijana waliowahi kutumia bila shaka wataleta ushuhuda.
 
Haileti mantiki maana kupunguza sensitivity kwenye kichwa hata kudindisha itakua tabu.
Bora niendelee na mbegu za maboga ambazo ni scientifically proven japo huchukua muda kabla kuanza kuona matokeo, ilinichukua miezi kadhaa, pia mbegu za mlonge au moringa seeds.
 
Mbegu za maboga zinasaidia nini mkuu?

Walnuts pia ni scientifically proven kuongeza sperm counts na ubora wa mbegu kama unataka kumtwanga mtoto wa mtu mimba...
 
Back
Top Bottom