Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,147
- 159,068
Ndio ni hakiYaani hii gender kuna mtu mahali aliiaminisha kabisa kuwa ni haki yake kupewa hela. Eti bebi gani huna hela kha!
Etihata buku!!!! ....Hata buku hana
Sawa Naona amebadili mwelekeo baada ya kujulikana.
Hii ni mind game chief,washajua wabongo wanapenda music gani,kwahiyo yameweka,ila baada ya siku si nyingi yanabadili wimbo,hapo ndio utajua mchawi wa mtanzania ni mtanzania.
Mimi sina!
Yako yana hali gani?
Haishangazi. Watu walitoka Afrika Kusini wakaja kuishia Namtumbo unategemea nini?
Mimi sina!
Too much stress halafu mambo menyewe utopolo tu
Sisi kama nchi tunapitia wakati mgumu sana, niliwahi kusikiliza ibada flani cjui hata ya nani, mmama anasema tangu apeleke mtungi wake wa gas uombewe sasa ni mwaka wa tatu anatumia tuuNitampeleka bibi yangu,anateseka sanaView attachment 1976879