dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,381
- 16,974
Mimi sana sana nachokumbuka ni lile godoro nililomnunulia sijui ntalipataje alale chini umbwa yule[emoji23]
Mimi sana sana nachokumbuka ni lile godoro nililomnunulia sijui ntalipataje alale chini umbwa yule[emoji23]
Chukulia kama vile ulitoa sadaka tu mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]Mimi sana sana nachokumbuka ni lile godoro nililomnunulia sijui ntalipataje alale chini umbwa yule[emoji23]
Hakuna anayeweza kulea moyo wa mwanamke. Hakuna!
View attachment 1976700
Sasa mtu unakumbuka godoro lako yeye anasema unamkumbuka yeye au niseme tu nachokumbuka???Chukulia kama vile ulitoa sadaka tu mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Dunia hii haina mbabe mtumishi. Na hao wanaojifanya wababe deep down they are the weakest [emoji706][emoji706][emoji706]Uache ubabe sasa
Dunia hii haina mbabe mtumishi. Na hao wanaojifanya wababe deep down they are the weakest [emoji706][emoji706][emoji706]
[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Amesema watulivu ndiyo wanaweza kulea moyo wa mwanamke na sio wababe. Wewe umesema haiwezekani kabisa kulea moyo wa mwanamke; kwa nini?
[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Moyo wa mwanamke (hasa hawa wa siku hizi) hauleleki. Huwezi kulea moyo wa mwanamke ambaye yeye mwenyewe hajui anataka nini. Kisichojilea hakiwezi kuleleka! Ni kanuni ya jumla.Njoo uninong'oneze hiyo sababu basi
Moyo wa mwanamke (hasa hawa wa siku hizi) hauleleki. Huwezi kulea moyo wa mwanamke ambaye yeye mwenyewe hajui anataka nini. Kisichojilea hakiwezi kuleleka! Ni kanuni ya jumla.
[emoji56][emoji56][emoji120]Asante sana SHIMBA YA BUYENZE ...... kila kitu kiko poa. shida ni kuna mjanja aliniotea akapita na simu ndio maana nilipotea ghafla.Hatimaye umeonekana eeh! I hope everything is OK. Karibu tena aisee...