Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 9,904
- 8,920
Anderlecht na Mkewe PORTO🤣🤣🤣🤣🤣
Fungate lao kenge hawa sio la Nchi hii
Fungate lao kenge hawa sio la Nchi hii
watu mna hatari.Bang!!!
Be inspired or Ignore!! 700k😊View attachment 2936766
Huku kwenye over 1.5 napo hakufai🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani unatami bora ungeweka over 1.5 au Bookings au Corners
Aliegundua Betting system aisee very genius
Hongera mkuu siku yako imeanza vyema kabisa.Bang!!!
Be inspired or Ignore!! 700k😊View attachment 2936766
For sure, zinaonekana rahisi ukila ila mziki wake sio poa. Mfano mechi ya Alhilal mpaka dk ya 79 ilikua 0-0 nikajua imechana but Mungu mwema magoli yamepatikana dakika za mwishowatu mna hatari.
tip ya over 1.5 na over 2.5 zinaonekana kama simpo, lakini ngumu kishenzi. kwenye mechi 3 ni kawaida kuchana mechi moja.
mi nimeona isiwe tabu, nimeamua kuzitema
Thanks buddyHongera mkuu siku yako imeanza vyema kabisa.
Hongera ila shida hutupiagi code broBang!!!
Be inspired or Ignore!! 700kView attachment 2936766
Porto kakufanyaje??Anderlecht na Mkewe PORTO
Fungate lao kenge hawa sio la Nchi hii
we miso missondo.....Bang!!!
Be inspired or Ignore!! 700k😊View attachment 2936766
Akikujibu nistueHongera ila shida hutupiagi code bro
aseno hawez kata moto kirahis jomba sema kapandanishiwa mechiPumzi zimekata ni km aseno tu atakata motoo soon
Mkuu naomba huu mkeka wa bookingsBookings tafsiri fupi ni Kadi za Njano au Nyekundu
Uwiano ni kama wa magoli
League ya Netherlands waanza mpaka 1.5 baadhi ya Mechi kwenda juu
Sasa ikiwa 1.5 basi Kadi za Njano ziwe zaidi ya Moja,ikiwa 2.5 Kadi iwe zaidi ya mbili NK
Sasa Red Card yaa moja kwa Moja inahesabika kama Yellow cards mbili,sasa ikiwa over 1.5 mtu Akala straight red card basi imetiki,ila ikiwa Mchezaji alipewawanzo yellow card then akipewa red basi ni Kadi mbili tu hizo,ile red inakuwa kama second yellow card
Kuna mkeka Asubuhi nistue nitakupa Codes ya bookings tu uweke Buku tu,Ili uwe
unajifunza kwavitendo
Huu hapa ila hii ni Tuition haina assurance on tickMkuu naomba huu mkeka wa bookings
Kwamba umeoteshwaWENYE MTAJI TUWASILIANI ODDS NINA UHAKIKA NI 4 MALIPO BAADA YA KULA SIO MCHAWI ILA BETTING NAIJUA